FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Suala ni weupe wa nywele, huitaji kuambiwa kujua kwamba ni symbol ya ukoloniMzee umeona hao majaji tu? Tena mavazi?
Mfumo wa Bunge, ni wa kikoloni, anavyovaa spika vazi lake pamoja na kanuni karibu zote pale ni za kikoloni, mavazi ni ya kikoloni, dini zetu ni za kikoloni, ujenzi wa nyumba na miundombinu ya kisasa ni za kikoloni, rasilimali tunazoringia mfano madini ya almasi ama dhahabu ni wakoloni ndio wamefanya hadi tunaona yana thamani, mfumo wa mawasiliano ni wa kikoloni...mbona ume target hao majaji tu?
Aliyeanzisha technology ya mawasiliano ni mzungu hao wamekopi tu,.Nambie simu ya kwanza kuingia ilikuwa inaitwaje na ilitengenezwa wapWaChina (Huawei) na WaKorea (Samsung) walikuwa na koloni lipi hapa Afrika?
una basha wa kizunguMkwawa alikuwa na serikali gani yule??
Ile ilikuwa serikali au uhayawani tu!!
Pwahahahaaaaa.... Serikali????
Mbona unapaniki hovyo??Kwani serikali ni nini mpaka useme ile haikuwa serikali, utumwa mbaya sana aisee, nakuhurumia kwa jinsi ulivyoipiga ganzi akili yako
Kama wakileta simu zenye wigi jeupe la kizungu nitazipiga vita pia, ila kwa kuwa simu hazina wigi jeupe au ishara zinginezo za kikoloni, basi sina shida nazoAliyeanzisha technology ya mawasiliano ni mzungu hao wamekopi tu,.Nambie simu ya kwanza kuingia ilikuwa inaitwaje na ilitengenezwa wap
hahahahaUnaeza kuta ushaTIWA hatiani
Hilo anzishia uzi, katika uzi huu jibu hoja iliyopo mezani, 'two rongs don't make it right'Mbona unapaniki hovyo??
Nimekwambia usiondoe wigi tu.
Ondoa kila kitu kuanzia bunge, serikali kuu, shule, mavazi yako, dini, na kila kitu ulichonacho.
Ninyi waafrika ni watu duni tu, hakuna hata kimoja kilicho chenu!
Eti utamaduni wetu?? Utamaduni gani?
Utamaduni wa kuchimba mizizi? Hahahaaa
Kichaa mmoja hapo juu ananiambia mkwawa alikuwa na serikali.
Mmestaarabishwa na kuwekewa namna bora za maisha na hao wazungu, halafu anakuja kichaa kama wewe kulilia "utamaduni"??
Jinsi unavyotaja hiyo migololo na mashuka ya kimasai kwa dharau inaonyesha jinsi ulivyoathiriwa na utumwa, unadharau kila kilicho chako na kutukuza cha former colonial masterBora wavae hata migololo au mashuka ya kimasai?
Hapa tutaambiwa na wanajeshi wavae yale masempele ya jeshi la Mkwawa au Shaka Zuru
Sasa wewe...... hivi haujui hata hicho kiingereza uchwara unachokiandika hapa ni cha wakoloni???Jinsi unavyotaja hiyo migololo na mashuka ya kimasai kwa dharau inaonyesha jinsi ulivyoathiriwa na utumwa, unadharau kila kilicho chako na kutukuza cha former colonial master
Hilo anzishia uzi, ila kwenye uzi huu jadili hoja iliyo mezaniSasa wewe...... hivi haujui hata hicho kiingereza uchwara unachokiandika hapa ni cha wakoloni???