FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Suala ni weupe wa nywele, huitaji kuambiwa kujua kwamba ni symbol ya ukoloniMzee umeona hao majaji tu? Tena mavazi?
Mfumo wa Bunge, ni wa kikoloni, anavyovaa spika vazi lake pamoja na kanuni karibu zote pale ni za kikoloni, mavazi ni ya kikoloni, dini zetu ni za kikoloni, ujenzi wa nyumba na miundombinu ya kisasa ni za kikoloni, rasilimali tunazoringia mfano madini ya almasi ama dhahabu ni wakoloni ndio wamefanya hadi tunaona yana thamani, mfumo wa mawasiliano ni wa kikoloni...mbona ume target hao majaji tu?