Wimbo wetu wa Taifa siyo TUNU ya Taifa. Hatuna hatimiliki yake. Wenye hati miliki nayo wenye wimbo wao Afrika ya Kusini. Hivyo, unaweza kuupiga hata Bar na kwenye Disco.
PumbaffffNyie mnaona ni sahihi mtume wenu kudhalilisha nembo ya taifa? Imba wimbo wa taifa hadharani kama hujakamatwa na kutiwa ndani.
Yap! Yan ukiyafurahia mema ya nchi yako unaweza kuionesha furaha, shukrani na kuienzi nchi yako kwa kuimba wimbo wa Taifa. Nyie wa huko Dar hamjui wa huku Mikoani tulivyo. Kwa mfano jamaa anaweza akawa anajitokea zake huko kilabuni (kwa huko Dar eti mnaita Club) kuya chapa maji, yuko nzwii; utamsikia tangu mbali akijiimbia wimbo wa Taifa bila shida na huurudia rudia hadi aingie kwake. Vijijini raha sana. aisee.Wimbo wa taifa lolote unapigwa popote pale kwenye nchi husika. Bongo ujinga wa kubania Tunu za taifa sijui ulitokea wapi hadi watu wanashangaa kusikia wimbo wao wa taifa ndani ya taifa lao.
AaaaH! Chey: Boojo; An'ghambire Stchupid. Nayanga.Pumbaffff
Kama mtume anaheshimisha na kutukuza bendera ya taifa then Mungu ambariki
You are very stupid
Sisi Kanisani kwetu, kanisa katoliki, kila mwaka mpya saa sita kamili tunasimama na kuimba wimbo huu, kisha tunaendelea na ibadaLeo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Mkuu hili jambo halikatazwi lakini lina taratibu zake zinazotakiwa kufuatwa na kila mtuWimbo wa taifa, bendera, na nembo zingine zote za taifa inapaswa ziimbwe/kutumika mahali popote pale bila vikwazo. Ni ujinga kubania watu kutumia nembo zao za taifa ndo maana watu wanajaza bendera za USA na Israel kila Kona sababu wajinga wachache wanadhani nembo za taifa ni zao peke yako.
Mwamposa ni muhuni tu kama wahuni wengineLeo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Mkuu hili jambo halikatazwi lakini lina taratibu zake zinazotakiwa kufuatwa na kila mtu
Naomba nijifunze bro, lengo la kuimba Wimbo wa Taifa Makanisani ni nini?Wewe ndio mjinga kweli. Mbona shuleni wanaimba, na hata makanisa mengi yanaimba. Hata wewe hakuna anayekuzuia kuimba hata ukiwa nyumbani kwako unaoga.
Samahani bro, naomba nijifunze kitu kwa nia njema tu bro. Hivi lengo la kuweka bendera ya Israel au Marekani Makanisani ni nini?Taratibu gani? Mtu kuimba wimbo wa taifa anahitaji kibali?
Mnakataza watu kuimba wimbo wao na kutumia bendera zao ila hamuoni aibu kuona watu wakitukia bendera za nje ndani ya TZ?
Karismatiki ni MnyarwandaYupo sahihi. Wimbo wa Taifa ni sala. Kwani GENTAMYCINE anasemaje?
Samahani bro, naomba nijifunze kitu kwa nia njema tu bro. Hivi lengo la kuweka bendera ya Israel au Marekani Makanisani ni nini?
Atafanyaje sasa kuwavutia waumini wapya🤔Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.