Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

Bavicha hawaamini wanachokiona uturn iliyopigwa na maadui wapya wa taifa ni ya hatari πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe uliwahi kuwaunga mkono katika harakati walizokuwa wanazipigania? Ama ulivuta shuka na kujiambia moyoni watajua wenyewe?
Hapa akili na fikra zako zinajitanabaisha bayana kuwa hukuwahi kuwaza Wala kusumbuliwa na harakati zako na Sasa unawalaumu Kwa kuwaita wapiga kelele! Ungezitambua na kuziunga mkono harakati zao za kudai katiba mpya usingewabatiza majina hayo!
Teuzi hazijaisha, endelea kujipendekeza huenda ukaonwa!
 
Unaona unavyojikanyaga sasa. Bila wizi wa kura CCM isingekuwa na wingi wa wabunge wa kuweza kuyumbishwa na watawala. Point ni hasara kuwa na wabunge wengi wanaopokea maagizo toka serikalini.

..ili tufaidi matunda ya demokrasia bunge letu linatakiwa liwe ratio ya angalau 55 / 45 kati ya chama tawala vs wapinzani.

..yaani wapinzani wawe na akidi ya kutosha kuisimamia na kuirekebisha serikali wakati wote.

..chama tawala na serikali hawapaswi kuwa na idadi kubwa ya wabunge kiasi cha kupitisha bajeti na miswada ya sheria peke yao.
 

Ndio nikasema ilaumu serikali yako ya CCM. Kama haina Sera madhubuti ya magereza Hilo Ni shauri lake. Mbowe kashachafuliwa kwa kuitwa gaidi. Movement yoyote atakayoifanya kuipinga serikali atapewa kesi ya uhaini, hivyo ametulia akipanga mikakati mingine.
 

Una matatizo, kwa hivyo shida yako ni kumuona Mbowe akikosoa tu basi. Ila wabunge ambao wanakuwakilisha wewe bungeni hauna tatizo nao?. Nilidhani ungetumia nguvu nyingi kuwasema wabunge waliopitisha tozo na kuondoa fao la kujitoa, kuliko Mbowe ambaye ametangaza kuwa mwaka ujao anaachia uenyekiti wa CHADEMA.
 
Wakati wanapambana walikuwa wanapambana na nani?,Hawa jamaa wamefungwa,wamenusurika kuuwawa!!sasa hapo adui wa Taifa ni nani?
Acha njaa njombaaa,kama huna kitu we toa hata pekee,kuliko kuwa chawa wa ccm/utawala.
Yaani aliyenusurika kuuliwa,ndio adui wa Taifa!!!vipi kuhusu wale waliowashambulia!!?
 
Acha mawazo mgando wameona hakuna cha kupinga maana mama amekaba kila sekta inaenda vizuri ata wanaopinga wanaforce tu lakini ukweli wanajua mama anaupiga mwingi haijawaitokea
 
Hao sio wenzetu tena tujipange upya %95 ya hawa ni watu wa deal za kisiasa kuanzia sasa hata utakapoona wanaongea hawamaanishi chochote.

Kama sio wenzenu mbona kila siku kelele?. Bakini na lichama lenu la CCM mnaloliabudu kila siku. Mnashindwa kuiambia serikali ukweli kuhusu ugumu wa Maisha mmebakia kujificha kwenye mgongo wa Mbowe.
 
Mkuu swali ni kwamba mbona kakaa kimya hakosoi haya yanayoendelea? Hatujasema aanzishe mgomo,maandamano wala movement yeyote bali kinachowashangaza watu ni kimya chake.
 
Kama sio wenzenu mbona kila siku kelele?. Bakini na lichama lenu la CCM mnaloliabudu kila siku. Mnashindwa kuiambia serikali ukweli kuhusu ugumu wa Maisha mmebakia kujificha kwenye mgongo wa Mbowe.
Kumbe Mbowe huwa anawasemea wanachedema tu na si wananchi kwa ujumla?
 
Sijui kama una taarifa kuwa lidikteta na li bwanyenye lenu, mr β€˜jiwe’ tulililaxa chini ya ardhi likiwa halina ujanja kisha tukafukia na juu ya kaburi lake tuka seal kwa nondo na zege ili lisi choropoke???
 
Hao siyo maadui wa taifa Kwasababu hawajahatarisha usalama wa taifa kwa namna yoyote ile.
Ila ni watu walionyamazishwa kwa kupewa stahiki zao.
 
Kusema kweli nilikua nawamini Sana mbowe na lisu lakini Kwa haya yanayoendelea Kwa kweli hatuna wapinzani Tanzania
 
Tatizo lako umeathirika na uccm na uchadema na kufikiri kila mtu ni mshabiki wa vyama, wengine hata kupiga kura tulishaacha.
Halafu wale waliyokuwa bungeni ni wabunge wako pia iwe uliwapigia kura au hukuwapigia kura na siku zote wabunge wa ccm ndio huwa wengi kule bungeni kuliko wakina Mbowe na Lissu.
 
Kusema kweli nilikua nawamini Sana mbowe na lisu lakini Kwa haya yanayoendelea Kwa kweli hatuna wapinzani Tanzania mama kawapa ububu kabisa
 
Kuna haja gani ya kuhatarisha maisha yao kuwapambania wa tz wapumbavu kama wewe?

Ninyi si mliaminishwa na marehemu kuwa wapinzani ni wakala wa mabeberu na kuwa wanachelewesha maendeleo? Mkaiba uchaguzi mkaingia bungeni wenyewe?

Wamepiga kelele nyingi wakati huo wewe huna hata time unachezea tu nyeti za basha wako. Sasa mambo yamebadilika wameona ni upuuzi kupigia mbuzi gitaa!

Pambaneni na hali zenu kmmmk, si mliwachagua wote wapo huko bungeni?

Ndio hapo sasa mjue upinzani una faida zake.

Na tunaomba serikali ibuni namna ya kuongeza tozo nyingine tena iwe hata 1M ili wenye vichwa vibovu kama wewe mleta mada mzinduke. Na badooo!
 
Mkuu mbona kuna watanzania kibao jela wamefungwa kionevu na wako hadi hawana watu wa kuwaaombea kutoka kama ilivyokuwa kwa Mbowe.
Kwa hiyo unaamini kuwa kesi ya Mbowe iliisha kwa kuombewa???!!!! Kulikuwa na ushahidi gani pale hata wa kusema tu kuwa ana kesi ya kujibu? Mbaya zaidi mpuuzi mmoja aliyesababisha hayo anateuliwa kwenye nafasi moja nyeti sana!!!
 
Nionyeshe uzi wowote au bandiko lolote ulilopandisha humu JF ukiilalamikia serikali au hata kuishauri. Wewe si ulikuwa unakejeli watu humu na kutaka mbowe afungwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…