Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

Kukomaa na kumtanguliza mungu pekee ndo silaha yangu nikweli najua maisha ya MTU yako kwa MTU lakini hatupaswi kulazimisha watu wengine watusaidie kama hawataki kikubwa nitafanya kulingana na uwezo wangu naimani mungu atabariki
Pamoja kamanda

Utafanikiwa tu

Ova
 
Ooh sawa mkuu kwa upande wako.
Huenda ikawa mimi nilitaka connection kubwa sana. 100k+ purchase
Uelewe tu linked sio kama yutube ambayo unataka views. Linked unatakiwa ujue unataka nini mtu mmoja tu anaweza kukutoa kutoka sehemu mmoja mpaka nyingine. Unatakiwa kujua unatafuta nini
 
K
Kuna chimbo la kazi abroad nimelistukia majuzi linaaitwa Indeed nimeapply kazi nyingi za sales na marketing kazi za kampuni za Arizona hapa Nina interview kama 4 za online ,
 
Uelewe tu linked sio kama yutube ambayo unataka views. Linked unatakiwa ujue unataka nini mtu mmoja tu anaweza kukutoa kutoka sehemu mmoja mpaka nyingine. Unatakiwa kujua unatafuta nini
You better elucidate well.
Vijana wengi wetu tunapenda mambo yasiyo tija.

LinkedIn ✅
Jamii forum ✅
Quora ✅
WhatsApp ✅

App hizo hutosheleza mahitaji yangu
 
K

Kuna chimbo la kazi abroad nimelistukia majuzi linaaitwa Indeed nimeapply kazi nyingi za sales na marketing kazi za kampuni za Arizona hapa Nina interview kama 4 za online ,
Hongera, jitahidi kuomba kazi nchi ambazo unajua kabisa utapata visa kirahisi, nchi kama canada kazi zipo nyingi tatizo lipo kwenye visa ina masharti kibao lazima ufanye mtihani wa lugha ambao ni laki saba, kama ni kazi za kutunza wazee lazima upite red cross kupata mafunzo, visa inachukua mpaka miezi 6 kupata. Lakini mtu akijipanga akafanikiwa kufika huko kihalali kabisa basi kupata mafanikio ni ndani ya mwaka tuu especially mtu ambae hajaenda na familia
 
Mkuu safari ni ndefu sana Kila tatizo mtu anajitoa kuwajibika ananyoosha kidole kwa mwingine.
 

Maoni fall on deaf ears. Sio kwamba hawajui ila hawataki. Nchi inayokataa uraia pacha kwa nguvu kabisa karne ya leo, nchi inayoogopa kutumia PayPal, what does that tell you? Kuna mtu haiamini paypal ukitoa bongo?

NALA ya mbongo kaitoa bongo sasa is headquartered Kenya, that speaks volume. That is a slap in the face. Ila wao wanaona fresh tu. Hakuna international comapny hata moja inataka kuwa na makao makuu bongo, sasa hadi balozi zote zinahamia Kenya miviongozi ya bongo inaona fresh tu. Ile nchi is doomed.
 
Mbona walianza kitambo? Walizamia meli au kutembea moka Algeria. Unasahau nani alileta Nguruwe (504)?
 
Ukiweka nia utapata mkuu. Kila mwaka Fulbright wanapeleka walimu kufundisha Lugha vyuo mbali mbali nje. Fuatilia.
Jaribu DRC, RWANDA au SA. Tatizo ni kwamba sirikari wanajua lakini hawatangazi kazi hizo.
 
Wanaosema kupata passport Tanzania ni ngumu wapo serious au ni kutaka tu kuonesha serikali haitoi passport.
Mimi passport ya kwanza Nilipata ndani ya siku mbili mwaka 2017 kwa elfu hamsini ile ile,Leo nimetoka kufuatilia passport mpya kwa hela ile ile laki moja na nusu.
Watanzania tunaongozwa na maneno ya mtaani na mtandaoni.
Mtu hujawahi fuatilia passport na kushindwa au kurudishwa unalalamika mtandaoni.
Tuache upuuzi.
 
Jaribu DRC, RWANDA au SA. Tatizo ni kwamba sirikari wanajua lakini hawatangazi kazi hizo.

Najua tunapenda kuongelea serikali lakini najaribu kuwaelimisha vijana mnatakiwa fikra itoke kwako kwanza. Nimeshatoa mifano hapa mingi wakati wetu hatukusubiria serikali kwa lolote kwasababu hakuna cha maana zaidi ya elimu ya tuition miaka ile ambacho serikali tulikuwa tunawategemea. Naona hapa vijana bado mnafikira sana serikali je nyie vijana wa miaka hii mnafanya nini kujikwamua. Je ni jitihada gani binafsi mnafanya ambazo hazihusishi serikali? Ya serikali nayo tumesha yasema
 
Andiko bora la mwaka, vijana wamestuck...... hakuna progress hawana future na wengi wanashindwa hata kuwa na familia sasa tutakuja kuwa na wazee wa hovyo hapo baadae
Huu ni ukweli mchungu. Wazazi na wazee wa kitanzania wamelala usingizi wa muda mrefu sana. Hawakuwa serious katika kuweka misingi ya ustawi wa jamii matokeo yake wamewanyima direction vijana wa kizazi cha kuanzia 1980 kuja 2000.
 
Dah bro ndio unatusema hivyo kweli hadi tunaona aibu. Hapa mimi najiona bonge la mzembe maana hayo unayoyasema kwasasa naona kama hayawezekani.
 
Well said [emoji122]
 
Na hizo nchi mfano India nk zina mikataba na nchi zinazohitaji hizo labour ,watu wanalaumu vijana tu ,watu wako biased ,we unafikiri unaamka tu umevimbiwa Makande unaenda Marekani kufanya kazi Ibm au wherever ? Tu kisa umepata barua ya mualiko ,?
Mnafikiri wamarekani ni wajinga , au unafikiri system ya kuajiri Marekani ni kama wahindi wanavyo ajiri hapa bongo ?
Yaani utoke tu bongo uende Marekani kufanya kazi , mnajua hata taratibu za kuajiri foreigners Marekani na nchi nyingine za magharibi ?

Mnafikiri Kenya ni wajinga serikali yao kuingia hiyo mikataba ili kuondoa vizingiti kwa raia wa Kenya kupenya kwenye soko la ajira hizo nchi za nje ? Kama ingekuwa ni rahisi kama mnavyodhani hizo agreements baina ya mataifa kuhusu ajira zingekuwepo ?.

Tanzania balozi mmejaza mataahira Makada wa ccm na vilaza wa jeshini humo na vimada wenu ,kazi kubenepeana tu huko badala ya kufanya kazi ya scouting opportunities zilizopo huko kwa raia kama ajira nk ,mbona Kenya wanafanya ? , Tanzania mabalozi walioko huko wana mitindo gani wa ubongo kushindwa kufanya kama mabalozi wa Kenya wafanyavyo ?
Kazi kuandaa tu bajeti za mabilioni kila mwaka kutumika katika hizi balozi bila faida yoyote .Upotevu wa pesa za uma
 
Serikali inashindwa kuzalisha ajira ni lazima iwajibike kwa asilimia kubwa kutafutia raia wake alternative nje ya nchi ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…