Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

Heshima tu, mimi rafiki yangu mmoja wa karibu ni mwanaume na ameishia pia kuwa rafiki wa bebi wangu kupitia mimi.
 
Urafiki utadumu tu kama mtwangio na kinu vikitoa ushirikiano .
 
Ukiwa na urafiki na demu usipomla anakuona kama domo zege, asipokuona domo zege basi atakuona we ni shoga ake.. asipokuona ni shoga ake basi atakuona una kibamia...
Akikuona hivyo ndio unakuwa hivyo? JIAMINI,ishi uhalisia wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…