Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

Hao walipelekwa wodi za vichaa afu wakakae huko kama mwaka kisha warudishwe mtaani watatulia tuli hawatarudia tena na ingekuwa mm ndiye nna mamlaka unawapiga sindano ya sumu tuu.
 
Ulinzi shirikishi ndiyo dawa yao

Mkiwanyoosha,mkiwabanika kadhaaa

Msg sent

Ova
 
Namuamini Sana Jumanne Mriro atawakomesha huyo jamaa ni mwamba Sana kipindi yupo Mwanza hizo habari za vibaka na ujambazi wa ziwani aliukomesha kabisa
Akishindwa panya road itakuwa mara ya kwanza kamanda ameniangusha
 
Sasa
Miaka 60 ya uhuru bado suala la usalama wa raia ni kitendawili kweli? Si bora wagawe bunduki kwa kila kaya ili ijilinde.
True
 
Dar Kuna wanaume basi?
 
Mtaa gani huo mlifanya hvo
 
Unaonekana unaweza kuisaidia police
 
Ushasahau kibiti sio?
 
Video ulioiona ikisamba mitandaoni wale ni wakenya, tukio limetokea Kenya [emoji1139]
 
Bora Afande khamsin kaituliza kigamboni IPO tuli
 
Miaka 60 ya uhuru bado suala la usalama wa raia ni kitendawili kweli? Si bora wagawe bunduki kwa kila kaya ili ijilinde.
Halafu kuna mtu anakwambia Magufuli aliturudisha nyuma, huwa nabaki kujiuliza kwani tulikuwa mbele kiasi gani? Ukiacha hao panya road Hadi leo et bado kuna mitaa inatambulika kwa uhalifu kwamba ikifika muda fulani usipite.
 
Undeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.

Halafu hao ni vijana wenu mnaishi nao huko kwenu huenda hayo ni matokeo ya malezi mliyowapa, jiulizeni mlikosea wapi.

Nini kazi ya jeshi la polisi ambalo tunawalipa mishahara kwa kodi kubwa tunazolipa?
 
Panyaroad ni jukumu la Jamii husika kuwamaliza. Nunueni mishale na speaker za kupigia yowe wazingireni wapigeni mishare yenye sumu nusu wakilala chini hawatorudi tena
Sasa wenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao wao wanafanya nini?
 
Hadi kuelezea utalii wamemwachia rais wakati kuna watu wanajilipa mishahara na miposho kule maliasili na utalii.....
 
Hivi kumbe panya road wameibuka kipindi cha Magufuli?

Mkuu, Magufuli amekusababishia stress ile mbaya!

Na bado atakubutua sana hata baada ya kufa.
 
Kwani hadi sasa mnazuiwa kufanya mikutano?

Si dhalimu wenu kafa?
 
Kunakipindi walichomwa pia lakini bado wanarudia labda kuwachoma sio sawa wakamatwe wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondowake.[emoji41]
Dawa ya hao ni malezi ya kijeshi Kambi za kilimo na ufugaji.Tuna Rasilimali Ardhi ya kutosha na JW wapewe jukumu la ziada kulea vijana, tukishindwa kulea tutalelewa na vikundi vya kikabe na magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…