Undeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.
Hivi vikundi vyetu vya ulinzi mara nyingi huwa hawazidi watu 6-8, but hao vijana panya road huwa ni pairs kuanzia 12 mpaka 24.Mtaa unapaswa uwe na Ulinzi shirikishi,
Kama hauna, wanaume wa mtaa huo hasa wababa wa familia waitishe kikao cha dharura kuwakabili hao wahuni.
Wanaangaliaga na mitaa ya kuonea😂Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi.
Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam.
SINA HAKIKA NA ULICHOA ANDIKA, NIKO HAPA JIJINI NA SIJATEKWA
INAWEZEKANA HAO PANYA WAPO SEHEMU YENYE WANAUME DHAIFU.
KAMA PANYA WANASOMA UJUMBE HUU BASI NA WAJE HUKU, MAKONGO JUU, GOBA, MBEZI, TEGETA, KAWE, MIKOCHENI, BUNJU, BOKO.
HUKU TUNAKAMATA, TUNAPIGA, TUNA FIR@!
USHAURI KWA MAENEO YALIO ATHIRIKA KAMA YAPO: NANYI UNDENI "PAKA ROAD"
Mkuu Ukigawa bunduki kila kaya ina maana utagawa bunduki hadi kaya ya mapanya road hapo itakua ni fire fire,, Cha msingi mkikamata vibaka ua mwacheni mtaani kweupee ili wengine waone.Miaka 60 ya uhuru bado suala la usalama wa raia ni kitendawili kweli? Si bora wagawe bunduki kwa kila kaya ili ijilinde.
Bora iwe fire fire kuliko kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyoshindwa na makundi ya watoto yenye visu na chupa.Mkuu Ukigawa bunduki kila kaya ina maana utagawa bunduki hadi kaya ya mapanya road hapo itakua ni fire fire,, Cha msingi mkikamata vibaka ua mwacheni mtaani kweupee ili wengine waone.
Hao ndo siku twawadaka hakuna huruma maana wakudake utajua hujuiVitoto hivi visenge sana, vinatembea na viwembe vipya - ukigoma kutoa pochi, walllet, simu / saa / viatu kama umevaa ndula kali unalabwa viwembe vya kutosha. Ni hatari sana.
Magu hakucheka na majambazi, Siro kalemaa wakati huuHivi kumbe panya road wameibuka kipindi cha Magufuli?
Mkuu, Magufuli amekusababishia stress ile mbaya!
Na bado atakubutua sana hata baada ya kufa.
Mkuu daka mguu wa kuku Rwanda apo kama laki 4 hivi, risasi 10 unapata hakikisha hupotezi ata risasi moja apo unaangusha wote 10 alafu wawekee bastola sema ulipola kwao na kuwaua.Bora iwe fire fire kuliko kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyoshindwa na makundi ya watoto yenye visu na chupa.
Polisi watafuata Sheria,hao mbuzi na vibaka wengine huwa tunawatuliza kwa vifoNimeona milard ayo akpost kuonesha baadhi ya madogo wamekamatwa na wanawa press kuwafanya wawataje na wenzao, hiyo inaweza kuwa mwanzo wa ku eliminate the whole gang kama polisi wataweka mkazo
Kwasababu kupitia hao 9 nahakika wanaweza taja kila member ambaye yupo kwenye makundi ya panya road kila mitaa
Jamaa yangu mbona huku kinondoni hawapo,dar gani waliyoiteka!?Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi.
Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam.
SINA HAKIKA NA ULICHOA ANDIKA, NIKO HAPA JIJINI NA SIJATEKWA
INAWEZEKANA HAO PANYA WAPO SEHEMU YENYE WANAUME DHAIFU.
KAMA PANYA WANASOMA UJUMBE HUU BASI NA WAJE HUKU, MAKONGO JUU, GOBA, MBEZI, TEGETA, KAWE, MIKOCHENI, BUNJU, BOKO.
HUKU TUNAKAMATA, TUNAPIGA, TUNA FIR@!
USHAURI KWA MAENEO YALIO ATHIRIKA KAMA YAPO: NANYI UNDENI "PAKA ROAD"
sungusungu wa nini wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi zetu kwa kazi hiyo mkuu!Sungusungu ndio dawa yao, hao polisi wa Siro wanajua kupiga na kuzuia mikutano ya wapinzani ,kuiba kura na rushwa tuu msipoteze muda wenu
Kunakipindi walichomwa pia lakini bado wanarudia labda kuwachoma sio sawa wakamatwe wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondowake.😎
Nasikia chanika huko wamechachamaaJamaa yangu mbona huku kinondoni hawapo,dar gani waliyoiteka!?
Chanika ni pwaniNasikia chanika huko wamechachamaa
Kama mzimu wa Bruce Lee🤣🤣🤣Hizi zali za kuvamiwa na Panya road na hamu na natamani zinitokee huo mkono ntakavyoutembeza itakuwa gumzo nchini kwa mda mrefu sana
Hivi kumbe panya road wameibuka kipindi cha Magufuli?
Mkuu, Magufuli amekusababishia stress ile mbaya!
Na bado atakubutua sana hata baada ya kufa.