Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Ndiyo maana mlistahili risasi za moto...wauaji wakubwa nyie!!Hata lissu ana Mungu wake tu kwa mipango yenu haramu hiyo. siku si nyingi mtaumbuka na kuwajua viongozi wenu vizuri ni watu wa aina gani....shubaaaaaamit!Kupiga mpige nyie vilio mlete upande wa pili Hatukubali!CCM Oyeee×8
Asieee wewe ni tahila kabisa, Chadema kama ni wa halifu kwanini serikali haiwakamati na kuwa fungulia case? Bila shaka unaweza kuwa askari, nguvu nyingi akiri kidogo sana
 
Anga zipi binti alikuwa kwenye daladala akapigwa risasi akiwa hukohuko kwenye daladala
Sasa mwenye makosa hapo nani
Polisi walilenga kuua watu ovyo ndo maana risasi zilimwagwa ovyo bila shabaha ili kuua yyte itakayemkuta. Imagine mtu yupo kwenye daladala anapigwa risasi na skari aliyepochin
 
Bora congo kuliko kuishi tanzania,haikuwahi kutokea tangu enzi za mwalimu lakini kwa utawala huu na kila uchao anaomba aombewe?aombewe ili azidi kuua,?mungu tunakuomba muue yeye ili nchi ipate amani
Hata mauaji ya arusha si walikufa wasio na hatia?? Leo imekuwa haijawahi kutokea tena?
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Fikra kama hizi ndio zinakwamisha ndoto ya viwanda, mbona watu wengine mnakuwa na reasoning ndogo kiasi hiki? Yaani mnataka kusema polisi waruhusiwe kutumia risasi za moto kwenye jambo dogo kama lile na mnataka lionekane ni dogo? Hivi kulikuwa na makabiliano yoyote ya risasi mpaka polisi wakaamua kufyatua risasi za moto hovyo.
Mnakuwa watiifu mpaka mnayemtii anajisikia kinyaa.
 
Ni kitu cha ncha kali tu kilirushwa na chadema.... Making mepesi tu kama hilo laweza tolewa na wasiojali utu,wenye roho za kutu! Blood hounds.
 
Polisi tunaishi nao,tunakokaa sisi ndiko wanakokaa wao.
Hukumu zao zimefukiwa na ujinga wetu.
Wakishaacha hizo bunduki zao vituoni wanarudishwa na bodaboda zetu na sisi ndio tunawarudisha .
Wakija baa tunakaa nao na sisi ndio tunawachomea nyama baada ya kupokea rushwa zetu toka kwa bodaboda.
Wanapambana kutafuta mademu mitaani na sisi ndio tunawafanikishia.
Wanauguliwa na watoto zao,mama,baba na ndugu wengine na sisi tunawatibu hao ndugu zao, jamii inashirikiana nao katika kila jambo,furaha na huzuni .
Polisi wakifika siku wakafahamu kuwa mtaani wakiamua kuanzisha operation ngumu dhidi yao,dhidi ya familia zao hapatakalika.
Tutauana bure wote sisi Watanzania.
Pumbavu kabisa[/QUOTE
Hayo ndo maneno enough is enough!
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Yaani mambo mengine ni heri mtu kunyamaza kuliko kuongea ujinga namna hii,

amani na utulivu vinapatikana kwa kumwaga damu?? tusijiingize katika anga zao wao anga yao ni ipi na ya kwetu ni ipi?? unajua mazingira ya kifo cha huyo binti??

Walai ungekua karibu tungegawana majengo ya serikali.
 
Ndiyo maana mlistahili risasi za moto...wauaji wakubwa nyie!!Hata lissu ana Mungu wake tu kwa mipango yenu haramu hiyo. siku si nyingi mtaumbuka na kuwajua viongozi wenu vizuri ni watu wa aina gani....shubaaaaaamit!Kupiga mpige nyie vilio mlete upande wa pili Hatukubali!CCM Oyeee×8
Ndio maana umeshindwa kuama kwa shemeji yako zaidi ya miaka 10. Utoto na ujinga unakusumbua.
 
R.I.P
Poleni wafiwa

Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..

Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.

NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Kwanini hampendi kusoma au kuuliza jambo ili mpate kuelewa kabla ya kuchangia? Kwani ukiwa mshabiki wa ccm huruhusiwi kutumia akili zako? Umeambiwa risasi imempata binti akiwa ndani ya daladala wewe umekadhania walikuwa wanafanya fujo, huyo binti hakuwa sehemu ya hayo maandamano kabisa.
Msiwe watetezi wa vitu vya kijinga kwa ushabiki wenu wa mavyama ya kipuuzi.
 
R.I.P
Poleni wafiwa

Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..

Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.

NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Umesoma bandiko ukaelewa au ni mihemko ya Lumumba..

Huyo binti alikuwa kwenye dala dala pamoja na abiria wengine hakuwa sehemu ya maandamano..
Alafu NEC wangetoa hivyo viapo mapema kulikuwa na tatizo gani..

Waache double standards..
 
Back
Top Bottom