Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Kulikuwa na vibaka? Walimpora nani?

Kariakoo kuna vibaka wengi sana. Go shoot everyone there.
Hivi kwanza hicho kibali cha kuandamana mlikitoa wapi na nani alikiidhinisha jioni hiyo kwamba muandamane?.....Nyoka uliyemfuga kakuuma mfugaji sasa unamlalamikia nani!?Unachokula ndiyo vha kwako hiyo ndiyo chakula yenu maana ndiyo mmeipika wenyewe.msitusumbue
 
Indeed
Goddess Isis!
Please don’t be surprised!
Karma does not have menu
Your saved what you deserve!
Mwenye Enzi Mungu hadanganyiki hata siku moja!
OMBEA AMANI KINONDONI
Naombea haki. Naombea amani ya ndani rohoni ni sio nidhamu ya uwoga huku roho zikijaa manung'uniko.

Kuna vitu viwili vya uhakika ambavyo hakuna binadamu anayeweza kuvikwepa. Kifo na Karma. Karma is a bitch and death is her sister.
 
Usibishane na Watu Wajinga,wabinafsi,wanaosubiri matukio kama haya washangilie maana ndiyo furaha yao....!!Kwa hili tukio Chadema wamefurahia mno maana huwa wanasubiri matukio kama haya wanyanyue Midomo yao juu Kama Fisi....Haki wanachosha.Pinda Mizengo alisema na ninamuunga mkono.Wapigwe tu
Kuna jambo najifunza kwanini hatusemi ukweli kwenye tukio lolote likitokea? Hao polisi wasingetumia risasi kisha wakauawa polisi hata watatu ungeona chadema wanajisifu kuwa lazima kinuke wakimfatisha dada yao mange. Ila likitokea hili ndo wa kwanza kulia mitandaoni... Nashindwa kuamini moja kwa moja kama kweli huyo binti alikuwa kwenye daladala... Maana hakuna tukio la mauaji walilowahi kukosea chadema... Na utashangaa kusikia anazikwa kikamanda wakati mmeambiwa hakuwa kwenye maandamano, sasa unajiuliza wamejuaje ni mfuasi wao
 
Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Acha maswali ya kijinga ndugu..kua na iman anagekua mdogo wako ungeuliza hilo swali?? Muda mwingine nyamaza kutokuonesha roho yako isivyo ya majuto na huruma...unfikiri wote wanaosikitishwa na hilo ni wafuasi wa chadema...hapa tunaongelea utu
 
Hivi kwanza hicho kibali cha kuandamana mlikitoa wapi na nani alikiidhinisha jioni hiyo kwamba muandamane?.....Nyoka uliyemfuga kakuuma mfugaji sasa unamlalamikia nani!?Unachokula ndiyo vha kwako hiyo ndiyo chakula yenu maana ndiyo mmeipika wenyewe.msitusumbue
Kwanini nihitaji kibali kutoka kwa aliyegandamiza haki yangu ili niipate haki hiyo?
 
Na huyo Mtoto Chadema ndio Mmesababisha kifo chake ama siyo kumuua kabisa....Mungu ampe pumziko la milele.
 
Kuna jambo najifunza kwanini hatusemi ukweli kwenye tukio lolote likitokea? Hao polisi wasingetumia risasi kisha wakauawa polisi hata watatu ungeona chadema wanajisifu kuwa lazima kinuke wakimfatisha dada yao mange. Ila likitokea hili ndo wa kwanza kulia mitandaoni... Nashindwa kuamini moja kwa moja kama kweli huyo binti alikuwa kwenye daladala... Maana hakuna tukio la mauaji walilowahi kukosea chadema... Na utashangaa kusikia anazikwa kikamanda wakati mmeambiwa hakuwa kwenye maandamano, sasa unajiuliza wamejuaje ni mfuasi wao
Polisi wasingetumia risasi nani angehangaika nao?
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
shidaaaa sio amani wala kutuliza fujo, Shida nnguvu iliotumika kweliii uende kutuliza ghasia za watanzania wakinondoni kwakutumia silaha za moto......thus unprofessional kabisa
 
Tutakuja na swali kama hili siku moja mwanao akiwa kwenye jeneza

Kkuwa mwanafunzi inamanisha akubali kila kitu !??
mkuu usibishane naye sana!! huyo dada alikua kwenye daladala na hakujua lolote na wala hakuhusika nahayo maandamano!!
Rip
 
Back
Top Bottom