Washtakiwe wapi? Hebu tuache ujuha!
Sio kwamba polisi hawana akili timamu. Wanajielewa na hupokea order(maagizo) kutoka juu.
Ikiwa wanao simamia sheria wamekua corrupted basi wananchi na nchi yao wachukue jukumu. Polisi hawajui uchungu wa kuonekana au kuondoka kwa wanao wapenda.
Ifike wakati sheria isimamiwe na mwananchi mwenyewe maana vyombo vimeshindwa. Tunaishi nao, tupo nao mashuleni na ndugu zao tunafahamiana. KWANINI TUSIANZE KUWATENGA? NDIO TUWATENGE MAANA HAWAJUI NINI MAANA YA UTU!