Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Siku wakimpiga mama yako risasi ya matako ndio useme ivyo tusijiingize kwenye anga zao, pumbavu sana we mtoto wa kahaba, walishindwa nn kupiga risasi hewani au kuwasindikiza mpk ofisi ya huyo mkurugenzi
 
mbali sana huko mkuu,inatakiwa kumalizana nao hukuhuku,mbiguni Mungu mwenyewe ataamua pa kuwaweka
Umefichama kwenye keyboard halafu unajitutumua kama nini? Haya ndo yanayosababisha upuuzi kama huu kufanyika kisa matumbo yenu, mnashawishi watu ujinga halafu wakiuawa mnakuja kulialia humu... Polisi wakifa 50 jiulize raia watakufa wangapi? Tuache kuchocheana ujinga wa kihivyo hii nchi ni yetu sote
 
Kila ukiamka ukiangalia vyombo vya habari na mitandao sasahivi ni mtu kauawa, katekwa, kapotea na kuokowa akiwa kauawa au hajiwezi. Kwanini TZ ya sasa inaenda kasi hivi kwenye mauaji??? Serikali iko wapi kulinda wananchi wake??
Siasa ndio zinapelekea haya au kuna zaidiya siasa??
Nimeamka nawaza kukana URAIA kwa sababu haya yanayojiri sasa sio mambo ya kawaida kwa nchi yetu hii! JE serikali imeshindwa kuhahakisha wananchi wako salama ama ndio muhusika maana kwa kiwango kikubwa polisi wamekuwa wakitajwa kuhusika na hakuna uchunguzi makini kuondoa kero hii.
 
Ndoto iliyozimwa!​
Siasa, hizi siasa , jamani why lakini why?
Hebu tujiulize, kisha tujiulize​
Ni kosa gani alililitenda huyu malaika
Ni sheria gani aliyovunja​
Hata ikampasa Kifo?
Oh Mola, moyo wangu umezizima​
Ganzi imeupiga mwili wangu
Huzuni imenivaa
Nikiuangalia uso wa huyu mtoto
Katenda kosa gani?
Wana Hatia
Hatia
Hatia
Wameua!
Oh Mola nyoosha mkono wako
Ponya Taifa hili​
Yaani kila nikaangalia haka kabinti nahisi moyo unasimama
Maumivu nlo nayo basi tu
 
Ingekuwa ni Mdogo wako ungeandika hivyo,inasemekana marehemu alikuwa abiria ndani ya daladala,je kosa lake ni kuwa ndani ya daladala,au hakupaswa asafiri,au ulifikiri na yeye alikuwa anandamana?.Hata kama unatetea chama chako unapaswa ujue all in all uzembe aukustahili kuwa chanzo cha kukatisha ndoto zake,hata kama angekuwa ni mwanachama wa chama cha upinzani,sina chama lakini kuna mambo yanatokea unajiuliza maswali mengi ya yasiyo na majibu
Huyo angekuwa mwanao ungejaribu kutafuta njia ya kutuliza watu jazba ili leo na siku nyingine yasitokee tena nchini kwetu!
Siku ya leo kila mtu anayejali Amani na busara atatamka maneno ya Amani ili liliotokea jana lisitokee tena Leo!
Na Mola ni mwaminifu kwani huwa hadanganyiki anajua motives and intentions za Kila mtu, na walahi kila mtu atavuna ayapandayo!
DAMU YA AQULINA HAIKUMAMWAGIKA BURE!
 
Huyo angekuwa mwanao ungejaribu kutafuta njia ya kutuliza watu jazba ili leo na siku nyingine yasitokee tena nchini kwetu!
Siku ya leo kila mtu anayejali Amani na busara atatamka maneno ya Amani ili liliotokea jana lisitokee tena Leo!
Na Mola ni mwaminifu kwani huwa hadanganyiki anajua motives and intentions za Kila mtu, na walahi kila mtu atavuna ayapandayo!
DAMU YA AQULINA HAIKUMAMWAGIKA BURE!
 
Usirahisishe vitu kwa mtazamo huo
Kujua kama maandamano yalikokuwa yamepita yalisababisha uporaji, uhalibifu wa mali kuumiza watu wengine nk
Hayo ndio mambo ya muhimu kuamua maandamano yalikuwa ya amani au la au kwako kuna vigezo tofauti.
 
huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Wewe ni kichaa?

Umeambiwa huyu binti alikuwa ndani ya daladala, alikuwa abiria. Hivi unadhani chuo kikuu ni kama shule ya msingi ambapo ikitangazwa kuna mtihani, wanafunzi wote wanakuwa na mitihani?

Waulize waliosoma mpaka chuo kikuu watakupa mwanga kidogo masomo na mitihani ya chuo kikuu inavyoendeshwa.
 
Huyo kiongozi watu wanampenda mpka wanajiuzulu udiwani,ubunge ila kwenye box la kura hawampendi kabisa.
Ndio mana anatumia police na DED kufanya vurugu za kipumbavu na kugharimu roho za wasio na hatia.tumeona mengi kwake na kujifanya anahofu ya mungu kumbe ni shwetani kabisa
 
Hii mi polisi hii haki ya nani mm naichukia hataree

Hii mijitu haina weledi katk kazi zao imepewa mitutu ndo inajiona imekua miungo inaweza fanya chochote watakacho laiti tungekua somalia au free guns access country wangepata somo takatifu
 
Uwezo wa kufikiri wa police wengi ni mdogo sana, kuna siku nimeenda makao makuu ya mkoa flani wanaongea ongea ujinga tu au kukuliza vitu vya kawaida sana. Hii sector imejaa wajinga wengi sana.
Nguvu nyingi akiri kidogo sanaa
 
Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Hapo ndo mwanzo wa ujuha wetu unapoanziaga jamani, Ukicheka na nyani tutavuna Mabua, ni kweli anayehukumu ni Mungu lkn jukumu la kumpelekea wahalifu ni letu.Hivyo basi tunatakiwa tuanze utekelezaji mara moja, wakishafika huko basi yeye ndo atajua atawahukumu saa ngapi.
Kazi yetu ni moja Kumpelekea MUNGU hawa waharifu akahukumu.
 
Back
Top Bottom