Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Unajua kulikuwa na vibaka wangapi,unajua ni nani alikuwa anaandamana kwa dhati,unajua ni yupi alikuwa chadema na yupi hakuwa chadema......!? Haya mambo lazima uangalie kwa kubalance
Mpaka maandamano yanatokea kulikuwa kumetokea matukio mangapi ya uporaji njiani walikokuwa wamepita.?
 
Mimi kama mwanamke nina uchungu nae sana!
Laana ni kwa hao wanaowapandisha jazba na wakijua wazi matokeo yake ni nini!
Na ndiyo maana nasisitiza watu kuwa waangalifu kwenye matukio kama haya. Katika nyuzi zangu zote nasisitiza maisha kwanza!
Sasa hao wanao ndio wako mashakani maana mtu huvuna analo lipanda na inaitwa KARMA!
Umeipenda itakufuata mpaka nyumbani mwako!
KARMA HAICHAGUI IT SAVES YOU WHAT YOU DESERVE!
hivi siku hizi maandamano na mikutano inafanyika kwenye daladala? ule utafiti wa watanzania wengi vichaa ni kweli nimeamini
 
Kwann hakuwa xhuo akakaa na kusoma kuangaika na wanasiasa waongo.
Mtihan sana mtoto bado mdogo huyu

Mie nliwah kukoswa na vipira vile police walrusha bado kdg vntoe jiko vkanpga shavuni tangu cku hyo ctk mambo ya kijinga

Vijana tusitumiwe kufankisha mafankio ya watu wengne

Pole familia ya marehemu
Pascal ujasimulia vzr kifo kilivotokea vp police wamesababisha
 
Sitafuti chanzo, nalaani matumizi ya silaha za moto yanayoweza kusababisha vifo. Matumizi ya silaha za moto si jambo la kulipa uhalali kirahisi rahisi hasa kwenye mazingira ambayo raia wa kawaida pia wanakuwepo. Haya makosa ya namna hii hayatakiwi yapewe uhalali sababu maandamano mengine(halali na yasiyo halali) huko mbeleni yatafanywa na watu wa aina mbalimbali, sasa silaha za moto zikitumika kuzuia tutazika wangapi?
Tumetofautiana baada ya kusema Mtulia ni chanzo......all in all Matumizi ya silaha za Moto hayakubaliki lkn nini unadhani kifanyike!?....Je Chadema wafanye wanavyotaka kufanya!?Je serikali iwape kila wanachotaka?!....
 
Ccm mmekuja kuua na kujeruhi watu wasio na hatia bure kisa kutaka kilazimisha ushindi wa mtulia aliyejiuzuru mwenyewe na hawa walinzi wetu mbona mnatuua ndugu zenu wenyewe hivi ndio kazi yenu mliyopewa cheki mmekatisha ndoto ya kijana mdogo ambaye ata akuwa kwenye maandamano damu hii iwe juu yenu malipo ni hapa hapa duniani
 
R.I.P
Poleni wafiwa

Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..

Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.

NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
wahi mapema hospitali ukapimwe akili. hivi siku hizi maandamano yanaganyika kwenye daladala?
 
Kwann hakuwa xhuo akakaa na kusoma kuangaika na wanasiasa waongo.
Mtihan sana mtoto bado mdogo huyu

Mie nliwah kukoswa na vipira vile police walrusha bado kdg vntoe jiko vkanpga shavuni tangu cku hyo ctk mambo ya kijinga

Vijana tusitumiwe kufankisha mafankio ya watu wengne

Pole familia ya marehemu
Pascal ujasimulia vzr kifo kilivotokea vp police wamesababisha
Binti alikuwa kwenye harakati zake tu
 
Baba Yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe;
ufalme wako ufike,
utakalo lifanyike
duniani kama mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
utusamehe makosa yetu,
kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
Usitutie katika kishawishi,
lakini utuopoe maovuni.
Amina
 
Kwann hakuwa xhuo akakaa na kusoma kuangaika na wanasiasa waongo.
Mtihan sana mtoto bado mdogo huyu

Mie nliwah kukoswa na vipira vile police walrusha bado kdg vntoe jiko vkanpga shavuni tangu cku hyo ctk mambo ya kijinga

Vijana tusitumiwe kufankisha mafankio ya watu wengne

Pole familia ya marehemu
Pascal ujasimulia vzr kifo kilivotokea vp police wamesababisha
hivi wewe unaakili timamu kweli? umeambiwa alikuwa anapita yupo ndani ya daladala wewe umekaza kwanini alikuwa kwenye maandamano sijui mkutano. nyie ndo wote wauaji tu
 
Mwenyekiti wa ulinzi na usalama ni Bashite, unategemea nini.
Waziri ni mwi.gu.lu unategemea nini,
zirro nae ndo mkuu wa hawa wafyatua risasi unategemea nini!!
Kali kuliko zote kuna mwenye mbwa sasa ambae kwake damu ni kama sherehe hivi ya kulinda vibuyu, unategemea nini!
Wastaafu wa nchi wako kimya,
viongozi wa dini kimya.
Tuende tukashitaki wapi,
waandishi wa habari wa ITV, STAR TV, CHANNEL TEN kimya!
Magu tuonee huruma na sisi ni watanzania tunahitaji uhai wetu ulindwe na haki zetu zisimamiwe.
I hate CCM.
 
Kwani wao wanaotoa amri au kufanya hivi vitendo hawana watoto? Kwa mfano huyo poluce aliyofyatua lisasi, alikuwa anafamya hivyo amri alipewa na nani? Lazima utakuya ametumwa maana ktk mazingira ya kawaida tuu maandamano ya amani polisi uende kufyatua lisasi ya moto hovyo hovyo badala ya lisasi ya mpira hii aingii akilini atakuwa alitumwa tuu, polisi wanatumiwa wawatishe watu kwamba wasiende kutekeleza zoezi lao LA haki ya kikatiba, Na iingie akilini mwa watu kwamba wasitoke kwenye mikutano ya kisiasa kwamba wanaweza kuuwawa na iwe mtaji wa watu kwa manufaaa yao kisiasa.
 
Back
Top Bottom