Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Pumzika kwa amani, tunaomba damu yako iwe juu yao wauaji na aliyewatuma, AMINA[emoji120] [emoji120]
 
Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Malipo ni hapa hapa mkuu
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu polisi walioufanya,wanafikiria kutumia nini makalio ama???
Wanatugombanisha na wananchi,CCM hatujawatuma myafanye hayo,Polisi acheni kutugombanisha. Waziri wa mambo ya ndani kama umeshindwa kazi kaa pembenii....So sad.
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Issue ni je kulikuwa na umuhimu wa kutumia risasi za moto kwenye issue tu ya maandamano tena ya amani ya watu wasio na silaha hata za jadi?. Kwanini askari wetu hawawezi kutumia hata busara kidogo?
 
Hivi kwa akili yako kwenye vurugu kama hilo kuna dala dala litapita?
Matatizo ya kuzaliwa kupitia njia ya haja kubwa..kwa akili yako lile lilikuwa ni daladala la Chadema? Kuna maandamano ya amani watu hawana silaha unategemea shughuli zote zisimame? Mambo ya kujifanya wakereketwa wa chama ilihali ni mbwa wa madale mtaendelea kuishi kwa kuvaa manguo ya chama muda wote.
 
Na ndio mana hata wapatapo majanga mbali mbali yasababishayo vifo kwao binafsi huwa sisikitiki.
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417]Ahsante sana Mkuu.


Wewe NI MPUMBAVU NA TAAHIRA USIYEJIELEWA,
Hawana makosa kwa kumpiga risasi raia asiye na hatia,hana jiwe mkononi wala fimbo unamshambulia kwa risasi halafu unasema POLISI hawajakosea????
Utakapokuta mama yako,dada yako,baba yako watoto wako wamefanyiwa hayo urudi tena kuandika utumbo wako hapa!!!
 
Ccm ndo wanachotaka hiki lakin najiuliza huyu angekuwa ndugu wa mpolepole au nchemba cjui leo wangeamkaje....dunia ni mapito
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Sasa huyo binti kaingiaje katika anga zao?

I wish angekuwa dada yako ndipo ungeelewa vizuri.
 
Ndio maana wengi wanakufa masikini kwani hao wanao waua bila sababu damu zao huwa fuata kila waendako na kwa majigambo ya mambo sasa tayari ameshaua na roho yake imefurani.
 
Kiongozi kwa hilo Unaeleweka...tatizo humu watu wana attack direct bila kuangalia hayo mavyama yao ndiyo kimekua chanzo cha kuzima ndoto za binti huyu.....Kiongozi hapo chadema wasingeingia barabarani kungetokea hii balaa?!na Mambosasa alisema toka mapema zaidi ya mara moja lkn hawasikii.
Wewe kiazi mbatata kweli sasa ulitaka Chadema wabaki nyumbani kwao wakiwa hawana hizo fomu ili kesho wakasindikize wenzao,cha ajabu ni kuwa hujui hata kuwa ni kosa kwa polisi kutumia silaha za moto kwenye maandamano ya kawaida ilihali virungu vipo na mabomu ya machozi,acha unafiki.
 
Back
Top Bottom