Asieee wewe ni tahila kabisa, Chadema kama ni wa halifu kwanini serikali haiwakamati na kuwa fungulia case? Bila shaka unaweza kuwa askari, nguvu nyingi akiri kidogo sanaNdiyo maana mlistahili risasi za moto...wauaji wakubwa nyie!!Hata lissu ana Mungu wake tu kwa mipango yenu haramu hiyo. siku si nyingi mtaumbuka na kuwajua viongozi wenu vizuri ni watu wa aina gani....shubaaaaaamit!Kupiga mpige nyie vilio mlete upande wa pili Hatukubali!CCM Oyeee×8
Polisi walilenga kuua watu ovyo ndo maana risasi zilimwagwa ovyo bila shabaha ili kuua yyte itakayemkuta. Imagine mtu yupo kwenye daladala anapigwa risasi na skari aliyepochinAnga zipi binti alikuwa kwenye daladala akapigwa risasi akiwa hukohuko kwenye daladala
Sasa mwenye makosa hapo nani
Hata mauaji ya arusha si walikufa wasio na hatia?? Leo imekuwa haijawahi kutokea tena?Bora congo kuliko kuishi tanzania,haikuwahi kutokea tangu enzi za mwalimu lakini kwa utawala huu na kila uchao anaomba aombewe?aombewe ili azidi kuua,?mungu tunakuomba muue yeye ili nchi ipate amani
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Ulitakiwa uishi SA wakati wa ubaguzi, usingetoa fahamu kiasi hiki.NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Fikra kama hizi ndio zinakwamisha ndoto ya viwanda, mbona watu wengine mnakuwa na reasoning ndogo kiasi hiki? Yaani mnataka kusema polisi waruhusiwe kutumia risasi za moto kwenye jambo dogo kama lile na mnataka lionekane ni dogo? Hivi kulikuwa na makabiliano yoyote ya risasi mpaka polisi wakaamua kufyatua risasi za moto hovyo.NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Polisi tunaishi nao,tunakokaa sisi ndiko wanakokaa wao.
Hukumu zao zimefukiwa na ujinga wetu.
Wakishaacha hizo bunduki zao vituoni wanarudishwa na bodaboda zetu na sisi ndio tunawarudisha .
Wakija baa tunakaa nao na sisi ndio tunawachomea nyama baada ya kupokea rushwa zetu toka kwa bodaboda.
Wanapambana kutafuta mademu mitaani na sisi ndio tunawafanikishia.
Wanauguliwa na watoto zao,mama,baba na ndugu wengine na sisi tunawatibu hao ndugu zao, jamii inashirikiana nao katika kila jambo,furaha na huzuni .
Polisi wakifika siku wakafahamu kuwa mtaani wakiamua kuanzisha operation ngumu dhidi yao,dhidi ya familia zao hapatakalika.
Tutauana bure wote sisi Watanzania.
Pumbavu kabisa[/QUOTE
Hayo ndo maneno enough is enough!
Alikuwa kwenye daladala nduguAnga zipi binti alikuwa kwenye daladala akapigwa risasi akiwa hukohuko kwenye daladala
Sasa mwenye makosa hapo nani
CCM, bila Polisi ccm hawana chao .Nashindwa kuelewa ccm inavyojitapa mtaani wanakubalika kumbe ni polojo tu
Yaani mambo mengine ni heri mtu kunyamaza kuliko kuongea ujinga namna hii,NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Mmesema alikuwa kwenye daladala. Sasa umejuaje hakuwa kada wa chama?Inauma sana ila damu yake itabakia kuwa mbegu ya ukombozi wa taifa
Ndio maana umeshindwa kuama kwa shemeji yako zaidi ya miaka 10. Utoto na ujinga unakusumbua.Ndiyo maana mlistahili risasi za moto...wauaji wakubwa nyie!!Hata lissu ana Mungu wake tu kwa mipango yenu haramu hiyo. siku si nyingi mtaumbuka na kuwajua viongozi wenu vizuri ni watu wa aina gani....shubaaaaaamit!Kupiga mpige nyie vilio mlete upande wa pili Hatukubali!CCM Oyeee×8
Kwanini hampendi kusoma au kuuliza jambo ili mpate kuelewa kabla ya kuchangia? Kwani ukiwa mshabiki wa ccm huruhusiwi kutumia akili zako? Umeambiwa risasi imempata binti akiwa ndani ya daladala wewe umekadhania walikuwa wanafanya fujo, huyo binti hakuwa sehemu ya hayo maandamano kabisa.R.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Umesoma bandiko ukaelewa au ni mihemko ya Lumumba..R.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Swali zuri sanaMkuu, kwa nini wao kina Deus, Kibamba na sio wewe??