mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
uwe unasoma na kuelewa,unaambiwa kapigwa risasi akiwa ndani ya daladala,huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Kwa maoni yako CDM wangepataje hivyo viapo vyao?Hivi kulikuwa na ulazima wa kufanya maandamano hayo?yalifanyika muda gani?wakati wa saa za kazi au baada ya ofisi kufungwa?kwa nini wanasiasa hawaleti watoto wao kwenye maandamano?nionavyomimi wote wanapaswa kulaumiwa!
Wewe kama hao wanaotumia risasi za moto kutawanya maandamano! What if ikithibitika kuwa marehemu alikuwa mpita njia? Waweza kutetea upuuzi huu akiuawa mwanao asiye na hatia yoyote kisa unamuunga mkono na kumfurahisha mtu mmoja tu? Nenda kwenye maombi!NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Utapigaje Risasi ovyo ovyo hii nchi haikumbolewa kwa mitutu ya bunduki. Kwa hii mbegu inayopanda inazidi kumea kila uchao mwisho mazoea.Ww jamaa nazan una matatizo sasa huyo mwanafunzi alikuwa kwenye dala dala anarudi zake home hajui chochote ile risasi imepiga dala dala na kwa akuwa alikuwa amekaa ndiyo hiyo risasi imempata ( kumbuka vurugu za polis na chadema zimetokea pale mkwajuni yaani pembeni ya rami tu kwahiyo daladala nyingi zilikuwa zinapita hapo) au siku hizi maandamano hufanyika kwenye gari
Hivi ni wanachuo wote hukaa hostel? Acha kuhukumu kwani yawezekana alikuwa anarudi kwenye makazi yake mtaani au alikuwa anatafuta mahitaji yake na hata kama alikuwa anaandamana, kwanini apigwe risasi ya moto badala ya plastic? Fikiri tena na kisha uwaze kama kuna polisi aliyeshambuliwa na waandamanaji wale!huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Unaishi Kremia au Luthinia? Unajigeuza kenge mchana kweupe. Unaulizia picha? Unaijua mitandao ya kijamii? Kama hujui nenda kamuulize nyanya yako.Hi ilipangwa. Iweje tayari mmepata picha yake, kwani aliwaaga wakati akienda kufanya fujo? Ni mtoto gani wa shule anajihusisha na siasa badala ya kusoma? Hilo la Mahakamani unamwuliza nani, si ulipita shule? Hawakukusomesha kuwa hiyo ndiyo kazi ya Mahakama, unatuuliza kututania au kutujaribu? Mbona Mbowe humuulizi, kwa nini hakuenda mahakamani?
Yo are very right, upande mwingine nao inabidi uzike uone uchungu, tukiamua tunashindwa?Ilikuwa kuwe na majeneza zaidi moja wapo liwe LA polis wanapenda kutumika kwa ccm kwa ujinga mkubwa
Aisee! Mauaji yamekuwa sehemu ya utendaji wa polisi.
Are serious??? Polisi hawana makosa?? Ni Sheria gani inawaruhusu kuwashambulia na kuua watu wasio na hatia?? Jitafakari mkuu hapa lazima Polisi walaumiwe hakuna kukwepa lawama hapoNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!