Mimi ni kada damu damu![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]. Uchungu?????? Unaandika kikada kada na ulumumba unasema Una uchungu??? Tena kwa herufi kubwa???
Chadema wapo wangapi mpaka wawe tishio kiasi cha kupigania kuleta amani iliyopotea kwa mtutu wa bunduki?Chadema walaaniwe kwa Kuwa sehemu ya sababu ya kifo cha binti huyu.....!!Polisi walikuwa katika sehemu yao majukumu yao kulinda amani Baada ya Chadema kuivuruga.
Hakuna dala dala litakalopita katika vuruguHivi Hata ndani ya daladala ni anga za polisi?
Anajua sana! Ni kujitoa ufahamu tu!Hujui unachomanisha
Usibishane na Watu Wajinga,wabinafsi,wanaosubiri matukio kama haya washangilie maana ndiyo furaha yao....!!Kwa hili tukio Chadema wamefurahia mno maana huwa wanasubiri matukio kama haya wanyanyue Midomo yao juu Kama Fisi....Haki wanachosha.Pinda Mizengo alisema na ninamuunga mkono.Wapigwe tuHivi kwa akili yako kwenye vurugu kama hilo kuna dala dala litapita?
Usituletee ban humu!! Wewe kwanini hujiulizi ni kwanini DED kukatalia viapo vya CDM wakati wenzao CCM wakiwa wameshapewa?!Wa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Anakera[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]. Uchungu?????? Unaandika kikada kada na ulumumba unasema Una uchungu??? Tena kwa herufi kubwa???
Wakuwashitaki nani?Labda washitakiwe kijamii(mahusiano)
Dah! Haya maneno yamenitoa machizi. Pole sana mkuu.Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huu
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha
Sijuwi analipwa Million mangapiJinga kweli we. Soma habari vizuri mtoto alikuwa anaenda kwao yupo kwenye daladala. Pumbafu Sana usilete upuuzi kisa ukijani
Wa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Mkuu chanzo ni Mtulia...CCM na police kutumia live ammunition ni kosa kwa raia wao Mimi imeniumiza sana kuwa na matukio yanayosababisha vifo kuwa ya kijinga sijapenda kabisa iwe kifo kitokee kwa MTU yeyote wa chama chochote ni ujinga huo na kushabikia uvyama katika ishu ya kifo ni ujinga plus...Chadema walaaniwe kwa Kuwa sehemu ya sababu ya kifo cha binti huyu.....!!Polisi walikuwa katika sehemu yao majukumu yao kulinda amani Baada ya Chadema kuivuruga.
Deus Kibamba ni mtu wa " mshahara" siyo mwanaharakati!Tanzania tunahitaji wanaharakati kama Okiya Omtata... Hawa wa kwetu wakina Kijo, Deus Kibamba washachoka.
Unajua kulikuwa na vibaka wangapi,unajua ni nani alikuwa anaandamana kwa dhati,unajua ni yupi alikuwa chadema na yupi hakuwa chadema......!? Haya mambo lazima uangalie kwa kubalanceChadema wapo wangapi mpaka wawe tishio kiasi cha kupigania kuleta amani iliyopotea kwa mtutu wa bunduki?
Ni kesi zinazofanana kwa Mwangosi hawakujifunza.Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huu
Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?'
Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha