Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Kama NIKWELI HUYU DADA ALIKUWA KWENYE DALA DALA, KAMA NI KWELI POLISI WAMETUMIA RISASI ZA MOTO, NA KAMA NI KWELI KIFO HIKI KIMETOKEA KWA STYLE HIYO, NITAKUWA WA MWISHO KUWAHESHIMU WANAVYUO WA VYUO VYOTE WATAKAPOKUBALI KUUAGA MWILI WA MWANAFUNZI MWENZAO BILA MAELEZO YOYOTE!

WASOMI WA KITANZANIA AMKENI, HAKI ISIPODAIWA NA NYIE NANI ATAIDAI!?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi wao ni wale waliopata division mbayambaya
Wanaongazana watu walio na IQ ya chini au ndogo
Ndio maana hata jwtz haiwachukui watu wa design hii kule jkt maana wanajua vichwa vibovu.
Ndio wakienda polic ndio kabisa, ujinga unaongezeka x 10 zaidi.

Yaaan always wana poor reasoning,poor decision making, poor pressure handling. Ndio hii wanafyatua risas hovyo
 
Acha upumbavu wako wewe ju.ha amani haiwezi kupatikana kwenye dhuluma na udhalimu. Huyo binti amani ipi aliyoivunja akiwa kwenye dala dala hadi kustahili kukatishwa uhai wake. Angekuwa ni mtu anayekuhusu usingeandika huu upuuzi wako.

NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
 
Hivi kulikuwa na ulazima wa kufanya maandamano hayo?yalifanyika muda gani?wakati wa saa za kazi au baada ya ofisi kufungwa?kwa nini wanasiasa hawaleti watoto wao kwenye maandamano?nionavyomimi wote wanapaswa kulaumiwa!
 
Imenitoa machozi" kweli tumefikia hapa? Pumzika kwa amani mama ata aliyefanya hivyo ipo siku naye mahuti yatamkuta.Mwenyezi Mungu akupe pumziko la amani,umepoteza maisha wakati ukiwa katka maangaiko ya kuitafuta elimu yako kwa ajili ya kesho yako.
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Barabara ni anga za Polisi sikuizi?watuwalio kua wanapita bila kubeba chochote,wanaenda kudai haki yao taratibu kabisa bila silaha ya aina yoyote wewe umeona ni anga za polisi kumbe!
 
Sijui kama Aliyekuuma ni binti kupigwa Risasi au Zuio la Kuandamana kwa Genge la hao wahuni!??Kutoka Moyoni Chadema wamefurahia hiki kifo cha binti huyu ili kuitoa kasoro Serikali iliyopo lakini nawaambia kwa siasa za kihuni hizi mmekuwa sababu ya mauaji ya kizembe kama haya.DONE
 

Bora congo kuliko kuishi tanzania,haikuwahi kutokea tangu enzi za mwalimu lakini kwa utawala huu na kila uchao anaomba aombewe?aombewe ili azidi kuua,?mungu tunakuomba muue yeye ili nchi ipate amani
 
Ukiendeshwa na huo ukada/hisia utashindwa kutoa vitu vya msingi na kubaki kutetea ukada wako huo.

Huyo mtoto angekuwa mwanao nahisi ungetoka huko gizani maana sasa hivi huoni kitu na unatetea hao police.
HAMNA KITU KAMA HICHO KICHWA KICHAFU NA KWA SABABU UNAZITETEA HIZO VURUGU KULIKO KUTII AMRI
BASI ZITAKUJA KWAKO KAMA ULIVYO NENA NA KUTAMANI!
 
Hakuna dala dala litakalopita katika vurugu
Kuna risasi zinazotakiwa kupita katika "vurugu"? Hivi, polisi si wana maagizo ya kupiga mabomu ya angani ili kutuliza "vurugu" au hata kutumia rubber bullets? Yaani, polisi aelekeze risasi kwenye daladala Halafu huo si uzembe? Duh, polisi wasiposhitakiwa na vyombo huduma itakuwa ni uthibitisho kuwa ni maagizo toka magogoni.
 
Pole kwa wafiwa.

Chadema waone namna vitendo vyao visivyokuwa na busara vinavyoweza kuleta madhara kwa watu wasiokua na hatia kabisa.

Chadema hawawezi kukwepa lawama kutokana na hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…