Ambacho huwa najiuliza hii corona inachagua?

Msingi wa swali langu ni kwa sababu huku mtaani tunajichanganya sana vijana na hata wazee, na wenye presha, visukari tena wazee lakini mbona hawafi iwe hao vigogo tu?
Ndiyo. Corona inachagua. Idadi kubwa ya watu wanaopata hawafi na wengine hawaugui kabisa na wengine hawaugui sana. Vigogo unaosema wanakufa ni kwa sababu wanajulikana. Leo hii mtu wa kawaida akifa eg Gongo la Mboto na wewe uko Mwenge unafikiri utajua? Huwezi kujua kwa sababu siyo maarufu hivyo hatatangazwa. Lakini kama ni mtu maarufu atatangazwa.
 
Corona inachagua?
Upo dunia gani ambayo hujui kuwa kuna watu wengi tu wanapatwa na corona na wanakuwa hawana dalili zozote? Corona inachagua ndiyo. Watu wenye kinga ndogo za mwili i.e. magojwa mengine wako kwenye hatari zaidi. Na wazee pia.
 
Very stupid ..stupid indeed...kamdanganye mkeo na wazazi wako...hujui kitu..hapo ulipo una barakoa?...maelezo yako na version yako imegonga mwamba to millions and millions of Tanzanians and non.Tanzanians...baba yako hapo alipo ana barakoa? Muulize Lissu what killed Magu...stupid guy...Lissu and Amsterdam right now are trembling....Journalists in Kenya who spread lies are also trembling in fear...wewe mwenyewe hapo ulipo you are a coward, huwezi kusema hayo hadharani au kwenye daladala isipokuwa kwenye smartphone au lap top...hata simu yako hata ulipo unaificha watu wasione messages na comments zako...you are also living in fear...
 
Hivi unafikiri lisu ni mwepesi kiasi hicho, eti trebling with fear, sio jabali lile,

Wkt fulani kipindi fulani wkt uchaguzi unakalibia mlisema hawezi kurudi nyumbani na kuja kugombea, hatimaye alirudi.

Lisu ni Tiss, siku ukija kujuwa utashangaa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu anaingiaje hapo.. mbona mnaweweseka sana na jamaa!! Na bado!
 
Fact: Magufuli amekufa kwa corona aliyoipuuza!
 
Hata mm naamini kimedukuliwa 😢😢😢😢😢 RIP Mr President
 
Kama hamtakuwa wakweli kuhusu Corona mtawapoteza wengi.
Haya mawazo ni very primitive,fahamu kwamba katika uongozi wa Magu kumekua na ongezeko kubwa sana la utambuzi kwa watanzania,usifikiri watanzania wa sasa wana akili za kizamani.
 
Kweli uchawi wa Mtanzania ni wa kishamba sana, ko huu ndo ujinga mnaotaka kuja nao Nyie wajinga wa Chato, hamuoni hata waliokua wanafiki wameanza kuvaa barakoa. Maana huu ujinga sidhani kama ccm wenye akili wanaweza kuusema. Mama Samia amesema ni wakati wa kushikamana na kuweka tofauti zetu pembeni. Lakini kawaida ya mchawi hataki kabsa Amani. Yeye siku zote ni kuvuruga.
Nimetumia neno Uchawi maana sidhani kama Nyie wajinga mnaoropoka mkiitwa mthibitishe hizi shutuma zenu kwa Lisu atajitokeza kuthibitisha.
 
hata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja
Lisu awe amehusika au hakuhusika,ukweli unabaki palepale kwamba yeye ni kabaraka wa mabeberu.

Kwa mtanzania yeyote yule ambaye ndani ya mfupa wake wa kichwani kuna ubongo unaofikiri sawasawa,anajua wazi kabisa kama Lisu ni adui wa Tanzania na kibaraka wa mabeberu.Hata kama Magu kaondoka,ameacha legacy ndani ya watanzania wengi ambapo mtu kama Tundu Lisu si lazima ashughulikiwe na serikali,atashughulikiwa na raia wa kawaida tu mtaani.

Historia za vibaraka kama Lisu katika nchi za Afrika ziko nyingi sana.
 
Watakebehi hili bandiko lakini kitendo cha Tundu Lissu kuwa mtoa habari wa kwanza kinaonyesha kuna udhibiti ulikuwa unaendelea.Tumshukuru Mungu kwa yaliyotokea na mengi yatajulikana muda unavyokwenda.Kifaa cha umeme au kielectronic ndani ya mwili kinaweza kupokea mawimbi kutoka nje .
Mwenyezi Mungu atatulipia kwa sababu hatutoi machozi ya bure ila na yeye aishie Ubeligiji hukohuko.
 
Hakuna haja ya speculation. Zaidi ni kwamba wakati wake wa kuishi dunia ukifikia kikomo
 
Yaani Nyie ndo mnaaminishana huo ujinga, inawezekana kuna ukweli unaoujua kuhusu kifo cha Magu. Mwenye akili na ambaye ni Professional angeenda moja kwa moja kufungua jalada la uchunguzi ili dunia na hao watanzania unaowasema wajue kua umefungua uchunguzi wa kilichomuua Magu.
Moja ingesaidia kusitisha kumzika ili uchunguzi ufanyike. Pili ukweli ungekuja kujulikana.
Lakini kwa vile uchawi na sifa ya mchawi ni kujaza sumu kwanza ni tu kuvuruga Umoja ili muuendelee muendelee kufanya wizi wenu.
 
Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!

Conspiracy? YES!
Kumhisi ni lazima. Ndiyo maana alikuwa busy kufuatlia maisha ya JPM, na huckers walipomhakikishia kuwa wamefanikiwa akawa wa kwanza kujifanya anauliza.
 
Magufuli alikuwa na complications; pacemaker na UKIMWI; hivi viwili viilimfanya awe very vulnerable kwa COVID-19, nayo haikuchelewa ikamkamata! Laiti angejali na kuwa mwangalifu, labda angekuwa hai; ila kutofuata masharti ya sayansi na kugang'ania mitishamba na sala, ndo kimetoa mwanya kwa COVID-19 kumuwahi! Watanzania lini mtaachaga kuwa wajinga? Eti kabeteri kalikluwa hacked; dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…