Kwamba Marekani ndiye anaweza kuwa mbaya wa Magufuli na siyo China....!!!!
Baada ya ule mradi wa uchina wa Bandari ya Bagamoyo kupigwa Chini, bado mchina atakuwa na furaha?
Kama huamini Taarifa ya Rais (Samia) kuhusu kilichosababisha Magufuli kupoteza maisha na ukadhani ameuawa, kwa mini usihisi China badala ya Marekani...!!!
 
Kiukweli mm sina utaalam wa huo mfumo wa peacemaker ila lazima tukubali kwamba mabeberu bila Africa never survive kwahiyo kiongozi wa nchi akiwashitukia lazima wafanye mbinu ya kuharibu mipango maana wao hawataki tujitambue, kikubwa tuwe wazalendo tuweke utaifa mbele

R.I.P
MAGUFURI , maono yako yalikuwa ni yakizalendo
 
Mtambo wa mabeberu sio?
Sasa mbona kila kukicha ni kuwatukana?
 
Ha
Halafu ni mjinga gani ataamini version yako? Hahahaha duh...aisee...
 
kifo ni wajibu wa kila mtu hivo hatuna budi kukubali ya kuwa muda alokuwa amepangiwa na Mungu kuishi hapa duniani umeisha.

Tuache blaah blaah na conspiracies za ajabu sababu hakuna kitu chochote chenye uhai kitadumu hapa duniani
Sio wajibu ni hatima.....

Wajibu ni kitu mtu anatakiwa au anatazamiwa kufanya au kufanyia wengine.....
 
Hawakujua kwamba yanaweza kuwakuta walikufa watu wengi sana mwisho WA siku walisema walikufa wawili walituumiza sana Zanzibar hasa Pemba naomba kila aliyeshiriki kwa vyovyote ikiwemo kuratibu kwa njia zote mpaka mauwaji na manyanyaso yakawafikia watu wasio nahatia Mungu awachukue mmoja mmoja mpaka waishe kwa njia anazozijua yeye muumba. Hatuwasamehe.
 
huwez sema he was targeted wkt huna hata clue who is responsible. and usiniambie muda ni mwalimu.. muda unaweza ukapita ni kisipatikane kitu.
it means huna jib lenye uhakika?

Don’t crush him down Chief, Hebu let’s discuss like grown ups and GTs!

Turudi nyuma mpaka Mwaka 2017 ambapo ghafla ulinzi wa mheshimiwa Rais (hayati JPM) ulibadirika kutoka kuwa tu na wanausalama wachache mpaka kudeploy almost the all PSU team kila alikoenda!

Wengi walisema ni kibiti’s effect lakini it wasn’t confirmed by any authority!

But kingine tujiangalie hata sisi wenyewe humu kwa platforms za social media hasa Tweeter & JF, funny enough bado baadhi ya nyuzi zimo humu JF! Very controversial topics and even threats to the late! Nyuzi hizi zilienda sambamba kabisa na muda ulinzi wa the late ulipobadirika! 2017!

Anyway maybe sijui nisemacho pia!
 
Nice talk as gentleman dud
 
Endeleeni kushupaza Shingo hivyo hivyo!

Tuvae barakoa! Tu-keep distance! Tunawe maji tiririka Bila kusahau matumizi ya vitakasa mikono inapobidi!
Ulaya wanavaa barakoa kila siku wanatutajia maelfu wanakufa.
 
Katika hali ya uwiano unaweza kuona ,washirika wake wa karibu wote wametangulia Mbele ya haki.

Alipaswa asipuuze janga la Covid - 19 hata kidogo.

Maana virus vile ni hatari ukiwa na Changamoto za kiafya vinakushambulia kwa haraka sana .

Ona wimbi la 3 linavyopukutisha watu hapa kwa jirani zetu Kenya.

Sisi bado tumeziba Masikio , chukua tahadhari achana na Mambo ya wanasiasa.
 
Hebu na nyinyi tajeni takwimu za kweli halafu tuanze kujiringanisha na hao uliowataja!
Kama unaogopa korona nenda kachanjwe na jipige lockdown kaa ndani,sisi tupo kama kawaida na hatufi
 
Hebu na nyinyi tajeni takwimu za kweli halafu tuanze kujiringanisha na hao uliowataja!

Kwani mwenzetu unaishi ughaibuni kusoma hujui hata picha huoni!!serikali sio wajinga ingekua ya kutisha hivyo sote tusinge bwabwaja mtandaoni maana tungezikana kila siku tuachage unafki!
 

Hajakatazwa mtu kuchukua tahadhari!!usije ukawa unabwabwaja tu mtandaoni halafu huchukui tahadhari nikushauri anza kwanza kuwaelimisha waliokuzunguka majirani na familia yako kwa ujumla alafu njoo upaze sauti na huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…