Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Kwamba Marekani ndiye anaweza kuwa mbaya wa Magufuli na siyo China....!!!!
Baada ya ule mradi wa uchina wa Bandari ya Bagamoyo kupigwa Chini, bado mchina atakuwa na furaha?
Kama huamini Taarifa ya Rais (Samia) kuhusu kilichosababisha Magufuli kupoteza maisha na ukadhani ameuawa, kwa mini usihisi China badala ya Marekani...!!!
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.

Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers

Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.

Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.

Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.

Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.

Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.

Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.

Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).

Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?

Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.

Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.

Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!

Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!

Mission accomplished, the rest is history!

NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
URL]
Kiukweli mm sina utaalam wa huo mfumo wa peacemaker ila lazima tukubali kwamba mabeberu bila Africa never survive kwahiyo kiongozi wa nchi akiwashitukia lazima wafanye mbinu ya kuharibu mipango maana wao hawataki tujitambue, kikubwa tuwe wazalendo tuweke utaifa mbele

R.I.P
MAGUFURI , maono yako yalikuwa ni yakizalendo
 
Nafuu huyu Magufuli ametutoka. Gharama za ulinzi wake zikikuwa pasua kichwa. Inawezekana hata nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi yote ilikuwa inalipa ulinzi wake.

Je walikumbuka lile gari SUV nyeusi yenye mitambo? Ni Internet Jammer cum bomb detector. Ile pamoja na kazi zingine ilikuwa inazuia mawasiliano ya internet hususan hackers wasiweze kuingia kwenye pacemaker yake.

Mungu kaingilia kati kasema upuuzi wote huu wa nini? Ngoja waje wasiojitaji ulinzi complicated.
Mtambo wa mabeberu sio?
Sasa mbona kila kukicha ni kuwatukana?
 
Ha
Mambo ya matamko ya serikali ni fake news! JPM alifariki March 11 baada ya matibabu Nairobi Hospital kushindikana. Alipelekwa Nairobi Hospital Jumapili March 7 akiwa na hali mbaya. Jumatano arch 10 alirudishwa Dar es Salaam na kisha kulazwa hospitali ya Mzena alikofariki ndani ya kitambo cha saa 24 (masaa machache baada ya kutoka Nairobi Hospital). March 14 Waziri Mkuu Majaliwa akatoa tamko kuwa Rais Magufuli alikuwa mzima wa afya, akiwa na kazi nyingi za kupitia mafaili. March 16, aliyekuwa Makamu wa Rais akatoa tamko kuwa 'Rais Magufuli alikuwa akiwasalimia wakazi wa Tanga. Rais Samia alisema hayo wakati akijua kuwa ni uongo na kuwa alikwenda Tanga mahsusi kutagaza kifo kesho yake baada ya kushindwa kufanya hivya Dar es Salaa kwa sababu kundi la akina Bashiru na wasukuma walikuwa wakimzonga kumtaka ajiuzulu nafasi ibaki wazi, kisha wao wateue mtu wao (kwa kisingizio kuwa alikuwa ameteuliwa na Rais Magufuli), kisha baada ya hapo watangaze kifo cha JPM halafu mtu wao apandishwe kuwa Rais wa JMT. Rais Samia aliwashinda kete baada ya kupata msaada wa CDF aliyeshauriwa na JK na Davis Mwamunyanga (CDF mstaafu). Ni mjinga gani atawaamini hao jamaa zako au kauli zao?

Halafu ni mjinga gani ataamini version yako? Hahahaha duh...aisee...
 
kifo ni wajibu wa kila mtu hivo hatuna budi kukubali ya kuwa muda alokuwa amepangiwa na Mungu kuishi hapa duniani umeisha.

Tuache blaah blaah na conspiracies za ajabu sababu hakuna kitu chochote chenye uhai kitadumu hapa duniani
Sio wajibu ni hatima.....

Wajibu ni kitu mtu anatakiwa au anatazamiwa kufanya au kufanyia wengine.....
 
Swali : Je, aliyepeleka wanajeshi Zhenj na kuua Watanzania waliopigania haki yao ya kumchagua wamtakaye ni nani?
Suala la kuwapiga na kuwanyang'anya fomu za udiwani na Ubunge wapinzani lilipata baraka kutoka wapi?
Aliyeharibu uchaguzi mkuu wa 2020 ni Magufuli na wanaCCM na si Mzungu.
Mtasema mengi ila kwa ufupi Mungu mwenye haki ameshahukumu.
Hawakujua kwamba yanaweza kuwakuta walikufa watu wengi sana mwisho WA siku walisema walikufa wawili walituumiza sana Zanzibar hasa Pemba naomba kila aliyeshiriki kwa vyovyote ikiwemo kuratibu kwa njia zote mpaka mauwaji na manyanyaso yakawafikia watu wasio nahatia Mungu awachukue mmoja mmoja mpaka waishe kwa njia anazozijua yeye muumba. Hatuwasamehe.
 
huwez sema he was targeted wkt huna hata clue who is responsible. and usiniambie muda ni mwalimu.. muda unaweza ukapita ni kisipatikane kitu.
it means huna jib lenye uhakika?

Don’t crush him down Chief, Hebu let’s discuss like grown ups and GTs!

Turudi nyuma mpaka Mwaka 2017 ambapo ghafla ulinzi wa mheshimiwa Rais (hayati JPM) ulibadirika kutoka kuwa tu na wanausalama wachache mpaka kudeploy almost the all PSU team kila alikoenda!

Wengi walisema ni kibiti’s effect lakini it wasn’t confirmed by any authority!

But kingine tujiangalie hata sisi wenyewe humu kwa platforms za social media hasa Tweeter & JF, funny enough bado baadhi ya nyuzi zimo humu JF! Very controversial topics and even threats to the late! Nyuzi hizi zilienda sambamba kabisa na muda ulinzi wa the late ulipobadirika! 2017!

Anyway maybe sijui nisemacho pia!
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Nice talk as gentleman dud
 
Endeleeni kushupaza Shingo hivyo hivyo!

Tuvae barakoa! Tu-keep distance! Tunawe maji tiririka Bila kusahau matumizi ya vitakasa mikono inapobidi!
Ulaya wanavaa barakoa kila siku wanatutajia maelfu wanakufa.
 
Katika hali ya uwiano unaweza kuona ,washirika wake wa karibu wote wametangulia Mbele ya haki.

Alipaswa asipuuze janga la Covid - 19 hata kidogo.

Maana virus vile ni hatari ukiwa na Changamoto za kiafya vinakushambulia kwa haraka sana .

Ona wimbi la 3 linavyopukutisha watu hapa kwa jirani zetu Kenya.

Sisi bado tumeziba Masikio , chukua tahadhari achana na Mambo ya wanasiasa.
 
Hebu na nyinyi tajeni takwimu za kweli halafu tuanze kujiringanisha na hao uliowataja!
Kama unaogopa korona nenda kachanjwe na jipige lockdown kaa ndani,sisi tupo kama kawaida na hatufi
 
Hebu na nyinyi tajeni takwimu za kweli halafu tuanze kujiringanisha na hao uliowataja!

Kwani mwenzetu unaishi ughaibuni kusoma hujui hata picha huoni!!serikali sio wajinga ingekua ya kutisha hivyo sote tusinge bwabwaja mtandaoni maana tungezikana kila siku tuachage unafki!
 
Katika hali ya uwiano unaweza kuona ,washirika wake wa karibu wote wametangulia Mbele ya haki.

Alipaswa asipuuze janga la Covid - 19 hata kidogo.

Maana virus vile ni hatari ukiwa na Changamoto za kiafya vinakushambulia kwa haraka sana .

Ona wimbi la 3 linavyopukutisha watu hapa kwa jirani zetu Kenya.

Sisi bado tumeziba Masikio , chukua tahadhari achana na Mambo ya wanasiasa.

Hajakatazwa mtu kuchukua tahadhari!!usije ukawa unabwabwaja tu mtandaoni halafu huchukui tahadhari nikushauri anza kwanza kuwaelimisha waliokuzunguka majirani na familia yako kwa ujumla alafu njoo upaze sauti na huku.
 
Back
Top Bottom