Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Blah blah kibao.
Lakini sote tunakubaliana mambo matatu. Mzee aliugua sana, taarifa zake zikafichwa na amefariki dunia.

Je, alipata Covid? Hilo atajua mwenyewe, halituhusu kwa sasa.
Je, alihujumiwa? Hilo tumuulize nani ambaye anaweza kuwa ba jibu sahihi?
 
Back
Top Bottom