Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Mbona mnamtukuza na kumlilia sana mtu ambaye ni chukizo mbele za Mungu?.
Unadhani Mungu kama angekuwa anampenda angeshindwa kimlinda na hila zote?
Screenshot_20210321-075606~2.jpg
 
Amazing revelations. But, vipi ushahidi mwingine wa kimazingira kuhusu vifo vya viongozi wengine inner circle vilivyofuatana kwa ukaribu!??? Mfano, JPM alimaliza tu kumzika Ambassador Kijazi, haikupita muda naye akafuata.
Ndo amesema inawezekana ujio wa china haukuja kwa mema...inawezekana wakawa poisoned wote waliokuwa pale
 
Listen son Some things are better left unspoken,some secrets are better left untold,and some dreams are better left as a dream......Why and who for what? justice? Satisfaction or justification for vengeance? .....let's stop with the assassination conspiracy ideas; . As a nation lets embrace He died of Cardiac complications after a long battle let's take it as it was officially disclosed before the public.

Unfortunately some of us have been blessed with minds that have ability to think on its own, ability to question authority and confront the hard truth.

I am sorry to say that I have Mind that does not take things as they appear to ordinary minds like yours .

May be your mental strength is too small to fit into this discussion.

Pole
 
Don't hack me my bro...


hackingpace1.jpg
hacked-medical-devices.jpg
DoanPacemaker.jpg
 

Attachments

  • hacked-medical-devices.jpg
    hacked-medical-devices.jpg
    66.2 KB · Views: 1
Listen son Some things are better left unspoken,some secrets are better left untold,and some dreams are better left as a dream......Why and who for what? justice? Satisfaction or justification for vengeance? .....let's stop with the assassination conspiracy ideas; . As a nation lets embrace He died of Cardiac complications after a long battle let's take it as it was officially disclosed before the public.
Hujawahi kusoma: Those who cannot learn from history are doomed to repeat the very same mistakes!??? JFK alipopigwa risasi, mfumo mzima wa presidential protocals & security ulibadilishwa milele. Ndiyo maana kumuua US president sasa hivi hadi labda uwe rafiki muhibu sana wa the supposedly ^Israeli Mtoa-Roho^
 
Hizo propaganda tu..CDF leo alisema wazi aliongea na mkuu kuwa alimuomba marehemu 26/02/2021 ahudhurie na kwenda kutoa nishani kwa wanajeahi waliohitimu mafunzo ..lakini ulipokaribia huo muda alimwambia CDF amebanwa na ratiba hivyo aliomba wasogeze hadi March 6..na ilipofika March 6 akamwambia hajisikii vizuri wasogeze mpaka March 10 lakini haikuwezekana tena....

Sasa kwa maelezo hayo tu hanaonesha Mh Rais alianza kuumwa siku nyingi..pia hata Makamu wa Rais kabla ya kuapishwa alisema mzee alilazwa mara mbili akiwa anaumwa ...

Siamini kama kuna watu walimuua,isitoshe hata kipindi cha kampeni mzee alionesha mgonjwa na hata laishindwa kufanya kampeni sehemu zote na kila akitembea alikua anatembea na mafeni(sijui kama nimepatia jina lake)... bila shaka hapa kuna watu mnawatafuta muwape zigo la Mavi
 
Basi na Samia naye anaweza kuwa hatarini...kama atafuata ya jpm
Ofisini jalada la kwanza kabisa linalomsubiri ni muelekeo wake wa covid19 akifuata msimamo wa jpm tutakuwa hatunaye kinyume chake ni kutukanwa na kudhalilisha na media zao kwa kushirikiana na wachache wenye maslahi dhidi ya nchi hii.
Ukitaka kuamini corona ni biashara wala sio ugonjwa tazama sarakasi za Kenya
Unaambiwa usiku huu ndio virus wameamka wajipige lockdown asubui virus watalala hivyo lockdown inasitishwa hadi usiku tena
 
uwezekano wa Corona kuwa kisababishii ni mkubwa sana ila imebidi kupindisha ukweli kwa sababu...lakini matokeo yake sasa tumeanza tafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu, kutokana na kutokuepo uwazi wa seala hili wengi wetu tuliamini maandishi ya ‘bwana yule’ wa ughaibuni na hii inatokana wasaidizi wake kuto tuambia ukweli tangu mapema, yaani kiongozi anasimama hadharan na kutudanganya kuwa mkuu yupo safi kabisa na anachapa mzigo kumbe nyuma ya pazia mkuu tayari alikwisha tangulia mbele za haki. Baada ya hapo wanatuletea habari za pacemaker ....
 
Kama nimekuelewa vzr mkuu kwa huu uzi, unajua majuzi nilileta uzi ambao ulionekana wa kawaida kwa kuwa ulikuwa katika mfumo wa Code (Sauti kutoka chumba cha siri) ili kuufanya uishi na wachache waelewe kisha waeleze wengine, , , kwa bahati mbaya hata wale wachache hawakuwelewa.
Anya way niachane na nayo, Iko hivi kuwa na PSU ndani ya PSU siyo bongo tu, hiyo ilitokea Kwa Moi/Kenya bahati nzr akafanikiwa lkn Mugabe alishindwa mwishoni ingawa mwanzoni alifanikiwa kupenya.

Sasa nije nije kwako, unadhani hao Intelligence wabobezi wenye uwezo wa kufanya uchunguzi huo atatoka wapi? Nje au ndani?
Kama ni nje na unasema huwenda watu wa nje wamefanikisha kumuhujumu Jiwe je watatoa majibu ya kweli?

Na kama ni wa ndani na ndani ya PSU kuna Ka-PSU kadogo unadhani zoezi hilo litafanikiwa bila kutokea hujuma nyingine?

Mimi nadhani SSH kwa usalama wake anakila sababu ya kuijenga upya TISS lkn kusema mara ooh kuna viapo, viapo ni nini si yale maandishi tu mtu anasoma kisha kukabidhi file.
 
1. Hujuma katika kifaa cha Pacemaker

Katika Lugha nyepesi kabisa, kazi ya kifaa cha Pacemaker ni kuratibu mapigo ya moyo. Ni katika mazingira magumu sana kifaa hiki kuleta shida. Aidha, Kutokana na evolution ya technology, mfumo wa kifaa hiki unaweza kuharibiwa kwa kutumia data base na access code zilizotumika ku program kifaa.

Unahitaji kupata access ya zile code kisha uwe na muhusika umbali mdogo ili kuharibu mfumo wa kifaa kwa kukihamuru kusababisha shock na kufanya mapigo ya moyo kutorandana tena. Kama kutakuwa hakuna wataalamu wa kuliona hilo kwa haraka na kuwahi kukibadili kifaa, hatari itakuwa ni kubwa kwa maana muda mwingi utapotezwa kwenye first aid za ku support maisha yake badala ya kuondoa kifaa kilichoharibiwa mfumo. JPM alivyokuwa anahudhuria mikutano yake na kujichanganya na watu, ni dhahiri kwamba ilikuwa ni rahisi kwa mtu mwenye nia ovu kutekeleza dhima hiyo kwa msaada wa Mabeberu na vibaraka wa ndani.

View attachment 1735207


Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu, JPM hajafa na Corona. Kama angekuwa na corona, ina maana alikuwa na pre infection kabla ya kufanya mkutano Mbezi, kwa age ya JPM na jinsi Virus wanavyozalisha chemicals zinazoharibu mapafu, basi tungeanza kuona dalili siku ile. kama JPM angekuwa na Corona, ni dhahiri kwamba asingeweza kumuapisha Dr Bashiru ikulu, Corona huanza na pre infection kisha symptoms zisizojificha. Ni ukosefu wa maarifa na elimu sahihi kuamini JPM kafa na Corona.
Vyombo vya nje vinatoa taarifa za chuki na uzushi

View attachment 1735264


Hivyo, uwezekano ni mkubwa juu ya kifaa kuharibiwa mfumo wake. Inashauriwa Serikali na Mamlaka husika kuruhusu intelligence waliobobea kwenye technology hii kwa ajili ya uchunguzi yakinifu.

View attachment 1735265


2. Ujio wa Ugeni kutoka China

Tanzania na Africa kwa ujumla haijawahi kuwa rafiki wa china wala mataifa ya magharibi. Wazungu na wachina wanaichukulia Tanzania kama ni sehemu ya mali ghafi , na ikiwa kuna pingamizi lolote, basi hufanya lolote ili kukidhi mahitaji yao.

View attachment 1735213


Dhamira ya JPM ilikuwa kwenye madini na natural resoureces zote za nchi. Mwisho kabisa ali dispute uzushi wa Corona, na mwisho kabisa mabeberu wakataka TZ ipokee chanjo. Hili JPM hakulikaribisha kwa haraka huku akiendelee kupinga dhana hii kwa muktadha wa gharama za chanjo hizo.

View attachment 1735225


Out of the blue, Ujio wa Chinese state councilor and foreign minister January 2021 in Tanzania, Chato. Inaaminika kwamba ujio huo haukuja na heri hata kidogo. Kwa evolution ya technology kwa sasa, hakuna anaetumia bastola kuleta madhara kwa viongozi. Probably viongozi wetu walipewa inayooaminika ni kinga dhidi ya Corona. Au poison powder, gas ambayo humpeleka mtu ardhini kwa taratibu.

Tumeona baada ya Ujio ule, afya ya viongozi wetu haijawa the same. Inashauriwa Serikali na Mamlaka husika kuliangalia kwa mapana na kuruhusu intelligence waliobobea kwenye sayansi hii kuingia kazini na kufanya uchunguzi yakinifu.

View attachment 1735228

View attachment 1735230


View attachment 1735233



3. PSU ndani ya PSU

Katika mataifa ya Africa, Afya ya Rais aliye madarakani ni lazima iwe siri. Hatuna mifumo inayojiendesha yenyewe na hii ndio sababu kuu ya kutotangaza vifo vya marais kwa wakati.

Je kulikuwa na PSU ndani ya PSU?

Taarifa za hali ya Rais kwa mabeberu na vibaraka wao zilifika the moment JPM alipoanza kujisikia vibaya. Na hata kifo cha Rais kilijulikana siku zaidi ya 3 before haijatangazwa rasmi. PSU yote inajulikana, na wote wana viapo vya siri katika utumishi wa umma, tena ukizingatia mtumishi yoyote anaekuwa sehemu ya PSU ni lazima afanyiwe vetting ya maana.

Ni nani miongoni mwao aliyeshindwa kusimamia kiapo mpaka kufikia hatua ya kutoa taarifa za utumishi na mamlaka ya Uraisi?

Je haitufanyi sisi raia wa kawaida kuamini kwamba, huenda ndani ya PSU ipo timu iliyotumika kumuhujumu na kumkatisha JPM?

Uchunguzi wa kina lazima ufanyike ili kubaina mnyororo uliohujumu taasisi ya Urais. Taasisi ya Urais ni nchi, kama taarifa za Rais hazipo salama, maana yake nchi haipo salama.

Aidha, weledi wa kazi umepungua sana. Namna ambavyo kifo cha JPM kimetangazwa haikuwa kwa mujibu wa Protocols. Mtu kajifunga hijab ambayo haina hata dressing code, haijulikani ni sehemu gani aliyokaa, haijulikani alikuwa amekaa au kasimama , kisha zinatolewa taarifa za msiba wa kiongozi wa nchi aliye madarakani, like seriously!

Katika mshangao, magari yaliyokuwa yamepangwa kutumika kwenye msiba, yalianza kuonekana before ya msiba kutangazwa.

View attachment 1735247


Nakumbuka enzi ya kifo cha mwalimu, magari yalikuwa yanaandaliwa usiku wa manane tena wakati mwingine umeme ulikuwa unakatwa maksudi ili kupitisha hayo magari kwa kuwa kifo kilikuwa bado hakijatangazwa rasmi na Rais, wakati huo alikuwa ni Benjamin.

Je haitufanyi sisi raia wa kawaida kuamini kwamba, huenda ndani ya PSU ipo PSU ndogo iliyotumika kumuhujumu na kumkatisha JPM? .

Ni nani miongoni mwao anaetoa taarifa za ndani kabisa na zenye usalama wa nchi? We have been tested, we must bear the responsibility. Ni lazima uchunguzi yakinifu ufanyike.

4. CCM Kindakindaki

Katika suala la kiusalama, once watu uliofanya nao kazi kwa muda mrefu wanageuka kuwa maadui wako, the best strategy ni eliminate the risk. Na hii wakati mwingine ni kumfunga mtu hadi utawala wako uishe. JPM alifanya kazi kubwa ya kusafisha chama huku wengine wakifukuzwa, wengine kupewa makaripio na kuwekwa mbali na chama. Lakini watu hawa waliendelea kubaki mtaani. Hii ni hatari katika strategy za kiusalama. Na huenda ndio sababu kuu ya kuzaliwa kwa PSU ndogo ndani ya PSU iliyotumika na mabeberu na vibaraka under cover.

View attachment 1735255

Tumeona JPM alifanikiwa kunasa sauti za wahusika na ni ishara kwamba tayari alikuwa na maadui , kuwafukuza chama, makaripio na kuwekwa mbali haikutosha katika usalama wake. PSU strategically walitakiwa kuliona hili na kuchukua TAHADHARI.

Inashauriwa Serikali na Mamlaka husika kuruhusu intelligence waliobobea kufanya uchunguzi yakinifu juu ya wasiwasi huu.

Hitimisho

Moja wapo kati ya yaliyoainishwa huenda ni ni sababu ya kifo cha JPM, Tunaomba uchunguzi wa kina ufanyike ili kuinusuru nchi yetu na kubaini mnyororo unao hatarisha taasisi ya Urais na nchi yetu.

Baada ya JPM, Chanjo ya COVID itaingia Tanzania kama yote, Madini na natural resources kama kawaida yatasafirishwa nje na haya mawili ndio ulikuwa ugomvi wa JPM na mabeberu pamoja na vibaraka wa ndani waliotumika.

In loving memory of JPM

For your service, They may not understand now, but some days, they will……. time will tell President.

In death, we all meet.

From dust we are, to dust we shall return. Rest easy President, Always in our hearts.

Friday, 26 March, 2021
Windhoek, Namibia
This was a preplanned death, it wasn't a natural one. Insu ya kigogo2014, ilikuwa inaonyesha mamluki ndani ya tiss. Membe, makamba, etc, highly likely
 
Hata kifo cha JFK walisema ni Conspiracy, kwa sasa tumeshajua kuwa haikuwa ni Conspiracy.....he tested the establishment.... and they eliminated him

Keep your eyes open.
Ulinzi saiv uimarishwe kwa viongozi kuwe na physical security na technological security.
Hasa ulinzi kwa kutumia technologia ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom