Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,136 Reaction score 32,268 Mar 26, 2021 #581 nani huyo mwenye nia ovu?
Mk54 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,996 Reaction score 3,950 Mar 26, 2021 #582 Pablo Blanco said: will be back Click to expand... Karibu kujadili ukweli
Mk54 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,996 Reaction score 3,950 Mar 26, 2021 #583 Rebeca 83 said: nani huyo mwenye nia ovu? Click to expand... Pole kwa kutowajua
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Mar 26, 2021 #584 Haya mapichapicha
N ngebe JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 1,789 Reaction score 5,117 Mar 26, 2021 #585 kwamba yeye si binadamu hivyo hastahili kifo?
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 9,140 Reaction score 15,963 Mar 26, 2021 #586 Tupe mapumziko tafadhali
Mk54 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,996 Reaction score 3,950 Mar 26, 2021 #587 ngebe said: kwamba yeye si binadamu hivyo hastahili kifo? Click to expand... Pole kwa kutoelewa mada.
ngebe said: kwamba yeye si binadamu hivyo hastahili kifo? Click to expand... Pole kwa kutoelewa mada.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Mar 26, 2021 #588 The worst part of it is that wote tunapita ila kuna watu wanafanya kila kiwezekanacho ili kujimilikisha material ya ulimwenguni. Kweli shetani ni mungu wa dunia Rest well my President
The worst part of it is that wote tunapita ila kuna watu wanafanya kila kiwezekanacho ili kujimilikisha material ya ulimwenguni. Kweli shetani ni mungu wa dunia Rest well my President
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Mar 26, 2021 #589 Thank you Mk54 its my Hope they will read this if not,i will try to read this for them..lets keep Digging
Thank you Mk54 its my Hope they will read this if not,i will try to read this for them..lets keep Digging
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Mar 26, 2021 #590 Mwenda zake ameshakwenda...
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Mar 26, 2021 #591 Conspiracy zimeanxa tayari
Mk54 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,996 Reaction score 3,950 Mar 26, 2021 #592 Otorong'ong'o said: Mwenda zake ameshakwenda... Click to expand... Tunajadili mambo yenye kuhitaji clear brain . Jipime
Otorong'ong'o said: Mwenda zake ameshakwenda... Click to expand... Tunajadili mambo yenye kuhitaji clear brain . Jipime
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,592 Reaction score 11,810 Mar 26, 2021 #593 Am glad, it is known to the FULL authority
Siles 01 Senior Member Joined Feb 9, 2015 Posts 107 Reaction score 105 Mar 26, 2021 #594 PSU ndio nn jamani
Mchimba Chumvi JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 2,244 Reaction score 5,500 Mar 26, 2021 #595 Sema kimeumanaaa.
Mk54 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,996 Reaction score 3,950 Mar 26, 2021 #596 Analyse said: Conspiracy zimeanxa tayari Click to expand... Hata kifo cha JFK walisema ni Conspiracy, kwa sasa tumeshajua kuwa haikuwa ni Conspiracy.....he tested the establishment.... and they eliminated him Keep your eyes open.
Analyse said: Conspiracy zimeanxa tayari Click to expand... Hata kifo cha JFK walisema ni Conspiracy, kwa sasa tumeshajua kuwa haikuwa ni Conspiracy.....he tested the establishment.... and they eliminated him Keep your eyes open.
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,199 Reaction score 2,403 Mar 26, 2021 #597 Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Mar 26, 2021 #598 Sote kwakee muumba tujarejea...
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Mar 26, 2021 #599 Mk54 said: Tunajadili mambo yenye kuhitaji clear brain . Jipime Click to expand... Nasema hivii.. mwendazake keshaondoka..... Mods unganisha huu izi
Mk54 said: Tunajadili mambo yenye kuhitaji clear brain . Jipime Click to expand... Nasema hivii.. mwendazake keshaondoka..... Mods unganisha huu izi
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Mar 26, 2021 #600 Blah blah kibao. Lakini sote tunakubaliana mambo matatu. Mzee aliugua sana, taarifa zake zikafichwa na amefariki dunia. Je, alipata Covid? Hilo atajua mwenyewe, halituhusu kwa sasa. Je, alihujumiwa? Hilo tumuulize nani ambaye anaweza kuwa ba jibu sahihi?
Blah blah kibao. Lakini sote tunakubaliana mambo matatu. Mzee aliugua sana, taarifa zake zikafichwa na amefariki dunia. Je, alipata Covid? Hilo atajua mwenyewe, halituhusu kwa sasa. Je, alihujumiwa? Hilo tumuulize nani ambaye anaweza kuwa ba jibu sahihi?