1. Hujuma katika kifaa cha Pacemaker
Katika Lugha nyepesi kabisa, kazi ya kifaa cha Pacemaker ni kuratibu mapigo ya moyo. Ni katika mazingira magumu sana kifaa hiki kuleta shida. Aidha, Kutokana na evolution ya technology, mfumo wa kifaa hiki unaweza kuharibiwa kwa kutumia data base na access code zilizotumika ku program kifaa.
Unahitaji kupata access ya zile code kisha uwe na muhusika umbali mdogo ili kuharibu mfumo wa kifaa kwa kukihamuru kusababisha shock na kufanya mapigo ya moyo kutorandana tena. Kama kutakuwa hakuna wataalamu wa kuliona hilo kwa haraka na kuwahi kukibadili kifaa, hatari itakuwa ni kubwa kwa maana muda mwingi utapotezwa kwenye first aid za ku support maisha yake badala ya kuondoa kifaa kilichoharibiwa mfumo. JPM alivyokuwa anahudhuria mikutano yake na kujichanganya na watu, ni dhahiri kwamba ilikuwa ni rahisi kwa mtu mwenye nia ovu kutekeleza dhima hiyo kwa msaada wa Mabeberu na vibaraka wa ndani.
View attachment 1735207
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu, JPM hajafa na Corona. Kama angekuwa na corona, ina maana alikuwa na pre infection kabla ya kufanya mkutano Mbezi, kwa age ya JPM na jinsi Virus wanavyozalisha chemicals zinazoharibu mapafu, basi tungeanza kuona dalili siku ile. kama JPM angekuwa na Corona, ni dhahiri kwamba asingeweza kumuapisha Dr Bashiru ikulu, Corona huanza na pre infection kisha symptoms zisizojificha. Ni ukosefu wa maarifa na elimu sahihi kuamini JPM kafa na Corona.
Vyombo vya nje vinatoa taarifa za chuki na uzushi
View attachment 1735264
Hivyo, uwezekano ni mkubwa juu ya kifaa kuharibiwa mfumo wake. Inashauriwa Serikali na Mamlaka husika kuruhusu intelligence waliobobea kwenye technology hii kwa ajili ya uchunguzi yakinifu.
View attachment 1735265
2. Ujio wa Ugeni kutoka China
Tanzania na Africa kwa ujumla haijawahi kuwa rafiki wa china wala mataifa ya magharibi. Wazungu na wachina wanaichukulia Tanzania kama ni sehemu ya mali ghafi , na ikiwa kuna pingamizi lolote, basi hufanya lolote ili kukidhi mahitaji yao.
View attachment 1735213
Dhamira ya JPM ilikuwa kwenye madini na natural resoureces zote za nchi. Mwisho kabisa ali dispute uzushi wa Corona, na mwisho kabisa mabeberu wakataka TZ ipokee chanjo. Hili JPM hakulikaribisha kwa haraka huku akiendelee kupinga dhana hii kwa muktadha wa gharama za chanjo hizo.
View attachment 1735225
Out of the blue, Ujio wa Chinese state councilor and foreign minister January 2021 in Tanzania, Chato. Inaaminika kwamba ujio huo haukuja na heri hata kidogo. Kwa evolution ya technology kwa sasa, hakuna anaetumia bastola kuleta madhara kwa viongozi. Probably viongozi wetu walipewa inayooaminika ni kinga dhidi ya Corona. Au poison powder, gas ambayo humpeleka mtu ardhini kwa taratibu.
Tumeona baada ya Ujio ule, afya ya viongozi wetu haijawa the same. Inashauriwa Serikali na Mamlaka husika kuliangalia kwa mapana na kuruhusu intelligence waliobobea kwenye sayansi hii kuingia kazini na kufanya uchunguzi yakinifu.
View attachment 1735228
View attachment 1735230
View attachment 1735233
3. PSU ndani ya PSU
Katika mataifa ya Africa, Afya ya Rais aliye madarakani ni lazima iwe siri. Hatuna mifumo inayojiendesha yenyewe na hii ndio sababu kuu ya kutotangaza vifo vya marais kwa wakati.
Je kulikuwa na PSU ndani ya PSU?
Taarifa za hali ya Rais kwa mabeberu na vibaraka wao zilifika the moment JPM alipoanza kujisikia vibaya. Na hata kifo cha Rais kilijulikana siku zaidi ya 3 before haijatangazwa rasmi. PSU yote inajulikana, na wote wana viapo vya siri katika utumishi wa umma, tena ukizingatia mtumishi yoyote anaekuwa sehemu ya PSU ni lazima afanyiwe vetting ya maana.
Ni nani miongoni mwao aliyeshindwa kusimamia kiapo mpaka kufikia hatua ya kutoa taarifa za utumishi na mamlaka ya Uraisi?
Je haitufanyi sisi raia wa kawaida kuamini kwamba, huenda ndani ya PSU ipo timu iliyotumika kumuhujumu na kumkatisha JPM?
Uchunguzi wa kina lazima ufanyike ili kubaina mnyororo uliohujumu taasisi ya Urais. Taasisi ya Urais ni nchi, kama taarifa za Rais hazipo salama, maana yake nchi haipo salama.
Aidha, weledi wa kazi umepungua sana. Namna ambavyo kifo cha JPM kimetangazwa haikuwa kwa mujibu wa Protocols. Mtu kajifunga hijab ambayo haina hata dressing code, haijulikani ni sehemu gani aliyokaa, haijulikani alikuwa amekaa au kasimama , kisha zinatolewa taarifa za msiba wa kiongozi wa nchi aliye madarakani, like seriously!
Katika mshangao, magari yaliyokuwa yamepangwa kutumika kwenye msiba, yalianza kuonekana before ya msiba kutangazwa.
View attachment 1735247
Nakumbuka enzi ya kifo cha mwalimu, magari yalikuwa yanaandaliwa usiku wa manane tena wakati mwingine umeme ulikuwa unakatwa maksudi ili kupitisha hayo magari kwa kuwa kifo kilikuwa bado hakijatangazwa rasmi na Rais, wakati huo alikuwa ni Benjamin.
Je haitufanyi sisi raia wa kawaida kuamini kwamba, huenda ndani ya PSU ipo PSU ndogo iliyotumika kumuhujumu na kumkatisha JPM? .
Ni nani miongoni mwao anaetoa taarifa za ndani kabisa na zenye usalama wa nchi? We have been tested, we must bear the responsibility. Ni lazima uchunguzi yakinifu ufanyike.
4. CCM Kindakindaki
Katika suala la kiusalama, once watu uliofanya nao kazi kwa muda mrefu wanageuka kuwa maadui wako, the best strategy ni eliminate the risk. Na hii wakati mwingine ni kumfunga mtu hadi utawala wako uishe. JPM alifanya kazi kubwa ya kusafisha chama huku wengine wakifukuzwa, wengine kupewa makaripio na kuwekwa mbali na chama. Lakini watu hawa waliendelea kubaki mtaani. Hii ni hatari katika strategy za kiusalama. Na huenda ndio sababu kuu ya kuzaliwa kwa PSU ndogo ndani ya PSU iliyotumika na mabeberu na vibaraka under cover.
View attachment 1735255
Tumeona JPM alifanikiwa kunasa sauti za wahusika na ni ishara kwamba tayari alikuwa na maadui , kuwafukuza chama, makaripio na kuwekwa mbali haikutosha katika usalama wake. PSU strategically walitakiwa kuliona hili na kuchukua TAHADHARI.
Inashauriwa Serikali na Mamlaka husika kuruhusu intelligence waliobobea kufanya uchunguzi yakinifu juu ya wasiwasi huu.
Hitimisho
Moja wapo kati ya yaliyoainishwa huenda ni ni sababu ya kifo cha JPM, Tunaomba uchunguzi wa kina ufanyike ili kuinusuru nchi yetu na kubaini mnyororo unao hatarisha taasisi ya Urais na nchi yetu.
Baada ya JPM, Chanjo ya COVID itaingia Tanzania kama yote, Madini na natural resources kama kawaida yatasafirishwa nje na haya mawili ndio ulikuwa ugomvi wa JPM na mabeberu pamoja na vibaraka wa ndani waliotumika.
In loving memory of JPM
For your service, They may not understand now, but some days, they will……. time will tell President.
In death, we all meet.
From dust we are, to dust we shall return. Rest easy President, Always in our hearts.
Friday, 26 March, 2021
Windhoek, Namibia