Yani hizo nadharia zako za uasi za kugeza kwenye majukwaa ya humu JF unajiona una akili sana? Yani unategemea watu wafanye kazi kwa speculations za akili za watu wa aina yako never ? Anyways mzee wa akili kubwa, kaburi la hayati lipo kama lilivyowekwa si kwa bahati mbaya ni kwa ajili ya kujibu maswali ya wajuaji kama wewe ....majibu utayapata soon japo CDF ashaeleza wazi mzee aliumwa sasa wewe endelea na ramli mufilisi


Wasalaam.
 
Hakuna utata wowote mkuu ,kuhusu hicho kifaa kudukuliwa sio kweli maana alikuwa anatembea na jammer muda wote! Kovid is real ,nasasa kuna variant mpya kutoka TZ.
 
Na wale wengije kina kijazi nao unawqweka kundi gani?

Mkuu umeelezea vizuri ila kwenye korona kuna majibu ambayo yako jirani na ukweli. Hao wachina utawaonea bure tu hata uchaguzi wa mwaka jana ulivyokuwa unahujumiwa marekani alipojaribu kutoa onyo mchina alimkanusha.

kwamba marekani aache kuingilia demokrasia ya Tanzania kwani wao wana imani na uongozi wa serikali ya tanzania
 
This was a preplanned death, it wasn't a natural one. Insu ya kigogo2014, ilikuwa inaonyesha mamluki ndani ya tiss. Membe, makamba, etc, highly likely
I have the same feelings kuwa ni pre-planned death (na nani!??? Not quite sure!!!). But no specific evidence, as well. Kitendo cha taarifa za ndani kabisa za kiusalama kujulikania nje na kusambazwa na watu wa nje kinafikirisha sana. But corona is the number one suspect.

Wednesday 17.02 --- Death of Amb. Kijazi & VP Maalim Seif

Friday 19.02 --- JPM on Kijazi's Funeral at Karimjee DSM

Sunday 21.02 --- JPM Last Day in Church

Wednesday 24.02 --- JPM at Kijazi Interchange & Magufuli International Bus Terminal Mbezi Louis

Friday 26.02 --- Dr. Bashiru Takes Oath of Office in Place of Late Amb. Kijazi

Sunday 28.02 --- JPM Unusually Misses Church Service

March 1 - 17 Speculations Regarding Sickness and Death & Eventual Official Announcement by the the VP Ms Samia
 
Hakuna utata wowote mkuu ,kuhusu hicho kifaa kudukuliwa sio kweli maana alikuwa anatembea na jammer muda wote! Kovid is real ,nasasa kuna variant mpya kutoka TZ.
Kweli mkuu na tukifanya masihara tukapuuza huu ugonjwa tutakufa kimasihara hivyo hivyo

Kulikuwa kuna sababu ya kwanini mzee wa nyungu alivaa barakoa siku ile ya maombolezo.
 
Mkuu uzi wa chumba cha siri natamani ingekua ni Pdf nichambue taratibu nilifanikiwa kupata idea ila sikuyapata yote kwa uzuri nna kiu mno ya kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia hili
 
Hata kifo cha JFK walisema ni Conspiracy, kwa sasa tumeshajua kuwa haikuwa ni Conspiracy.....he tested the establishment.... and they eliminated him

Keep your eyes open.
Kwa JFK ilikuwa ni ngumu kusema kifo cha risasi sio conspiracy

Lakini kwa mazingira ya mfululizo wa vifo pale ikulu ilionesha wazi kwamba yule mdudu kaingia mjengoni
 
Possibilities zote zinawezekana kwa sababu si Wachina wote wanaipenda Tanzania. Hata US kuna friends wa China na China kuna friends wa US. But the likeliest answer is corona ambayo imesababisha heart complications.
 
Kwa kifupi MK54 ile dhana ya "mabeberu" wanahusika inatilia mkazo na watu wengi ktk media zillizo huru zinazojaribu kujua kilichosababisha mkuu wa nchi kufariki akiwa madarakani huku akiwa na ulinzi mkubwa pamoja na kuzungukwa na madaktari bingwa.

Tabu ni kuwa hata kama itakuwa kweli mabeberu wamehusika, itakuwa ngumu serikali ya Tanzania kusema hadharani kwani italeta taswira ya udhaifu mkubwa ndani ya vyombo vyake ya ulinzi na usalama.

Ni dhahiri suala hili la mikono ya mabeberu kuhusika, litabaki kuwa siri ya taifa na pia somo kubwa kuwa waimarishe vyombo vyake kupambana na tishio la mabeberu toka nje badala ya kuwekeza nguvu zote za intelejensia, udukuzi, ulinzi na usalama kuwadhibiti waTanzania wenye kupaza sauti za upinzani ktk siasa za Tanzania.

Wakati ukweli ni kuwa wapinzani siyo tishio kwa nchi bali ni sauti za kizalendo hasa zinazoitakia mema zaidi nchi yao ya Tanzania kwa kukosoa sera za kiuchumi, kisiasa na kijamii ila taifa liweze kufikia maendeleo ya juu zaidi ktk maeneo ya siasa, uchumi na jamii kwa ujumla .
 
At first tukio la kudukua Moyo wa mtu nililiona kwenye series ya Homeland 3yrs ago

Kwa evolution na speed ya technology kwa sasa, ni rahisi sana kufanya hilo tukio mno.

Technology is evolving faster than we are.

Technology is making it easier and easier for fewer and fewer people to do greater and greater damage
 
Amazing revelations. But, vipi ushahidi mwingine wa kimazingira kuhusu vifo vya viongozi wengine inner circle vilivyofuatana kwa ukaribu!??? Mfano, JPM alimaliza tu kumzika Ambassador Kijazi, haikupita muda naye akafuata.
Good question
 
Kwa JFK ilikuwa ni ngumu kusema kifo cha risasi sio conspiracy

Lakini kwa mazingira ya mfululizo wa vifo pale ikulu ilionesha wazi kwamba yule mdudu kaingia mjengoni
I fully agree. JPM's last statements (Sunday 21.02 in Church) show tayari naye alikuwa ameshapata wasiwasi kuhusu ugonjwa huo kuvamia himaya ya watu wake wa karibu. Halafu, muda mfupi tu kabla ya hapo, Dkt Mpango alikuwa ndipo anaugulia vya mwisho -- and kwake it is fully established to be corona; and, three days before (17.02 J5) Amb. Kijazi alifariki plus Zenj VP Maalim Seif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…