Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Anza mwenyewe kujadili. Kuna Utata gani wewe binafsi unaouona kwenye Kifo cha Mheshimiwa ??[emoji848][emoji848]Karibu kujadili ukweli
Uyo msukuma mleta uzi ni mpuuzi wa kupuuzwa,"Mtu kajifunga hijab ambayo haina hata dressing code, haijulikani ni sehemu gani aliyokaa, haijulikani alikuwa amekaa au kasimama , kisha zinatolewa taarifa za msiba wa kiongozi wa nchi aliye madarakani, like seriously!"
Hii paragraph inafichua mengi kwenye hii makala.
Kuanza na yule ilikuwa ni kutafuta uhalali wa kwamba kuna corona, na hata atayekufa pia ni corona n ndiyo maana hata wewe umepuuza haya madini aliyoshusha jamaa hapaDuuh so hata kijazi naye kifo chake kipo kwenye njama za mchina??
Ana madhara gani kwa wachina sasa mtu kama huyu?
Kama Mungu aliruhusu hata Yesu afe, ingekuwaje kwa Jiwe? Mungu ana makusudi yake na haingiliwiMbona mnamtukuza na kumlilia sana mtu ambaye ni chukizo mbele za Mungu?.
Unadhani Mungu kama angekuwa anampenda angeshindwa kimlinda na hila zote?
View attachment 1735317
Umegoma kula matango pori?Mhhhh.
Halafu ikasingiziwa corona. Mabeberu nuksi[emoji22]Ndo amesema inawezekana ujio wa china haukuja kwa mema...inawezekana wakawa poisoned wote waliokuwa pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122]Ofisini jalada la kwanza kabisa linalomsubiri ni muelekeo wake wa covid19 akifuata msimamo wa jpm tutakuwa hatunaye kinyume chake ni kutukanwa na kudhalilisha na media zao kwa kushirikiana na wachache wenye maslahi dhidi ya nchi hii.
Ukitaka kuamini corona ni biashara wala sio ugonjwa tazama sarakasi za Kenya
Unaambiwa usiku huu ndio virus wameamka wajipige lockdown asubui virus watalala hivyo lockdown inasitishwa hadi usiku tena
Imagine[emoji848]uwezekano wa Corona kuwa kisababishii ni mkubwa sana ila imebidi kupindisha ukweli kwa sababu...lakini matokeo yake sasa tumeanza tafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu, kutokana na kutokuepo uwazi wa seala hili wengi wetu tuliamini maandishi ya ‘bwana yule’ wa ughaibuni na hii inatokana wasaidizi wake kuto tuambia ukweli tangu mapema, yaani kiongozi anasimama hadharan na kutudanganya kuwa mkuu yupo safi kabisa na anachapa mzigo kumbe nyuma ya pazia mkuu tayari alikwisha tangulia mbele za haki. Baada ya hapo wanatuletea habari za pacemaker ....
Kuna nchi ngapi hua zinamonitor resources zake ziwafaidishe watu wao? Nchi zingine zimefanya hivyo kwa zaidi ya muongo mmoja, na viongozi wake wanasurvive. Mfano ni nchi zenye mafuta za kiarabu.
Kama swala ni haki za binadamu na uhuru wa kujieleza mbona Duterte na Edorgan bado wapo? Sisi Makonda aliita mashoga waende kituoni wafikishwe mahakamani Duterte anawakusanya mateja anawaua, Edorgan homosexuals anawafunga na still wapo.
Serikali ya Magufuli ilishtakiwa na Msouth mpaka ndege zikashikiliwa, imeshtakiwa na wakina Zitto a person unayeweza mshtaki unahitaji kumuua kweli? Ordeal ya Acacia, baada ya kuongea alichoongea ila mwishoni alikaa nao meza moja.
Ccm wenzake? Katika chama kinachojua kushikamana na kuvumiliana ili watu wa nje wasijue kama kuna shida ni hichi, hata kama wanaona hawawezani naye wangemsubiri amalize. Hiki chama ndicho kiliprint fomu moja tu ya uraisi ili asipate upinzani ndani ya chama, this shows ni kiasi gani walimhitaji, if so wamuue ili iweje?
My point is this, sioni ni kivipi Kuna assassination hapa kutolea nje hana ubaya wa kuwafikia ambao bado wapo hai na hana ukaidi wa wakina Kim na Ahmadnejad and these two are alive.
Ukweli ni upi ?sikweli
Truth is relative Mk54 kwa msingi wa hili tunalojadili. Ndio maana hatuwezi fananaIt is your choice to seek the truth.