Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

Gentamacyne: Katika ubora wake.. amemchana boss wenu halafu... mnapwapwata tu badala ya mkujibu kwa hoja...matusi kibao halafu mnajiliwaza kwa usimba na uyanga
 
Ni wapi nimemtaja Dk. Mwigulu Nchemba?
 
Fitina bin manyatu at work!!! Hakuna jipya hapa,Kama angekuwa na Nia, kwanini asiwekeze kwenye timu yake binafsi,au hata kwenye timu ya nyumbani kwake,kwanini awekeze kwenye timu ya taasisi ? Faida yake nini?

Acha uchuro kwa waziri wetu!!
Usimpangie namna ya mtu kutumia pesa yake ambayo kaipata kihalali na kodi kakatwa ana uhuru wa kuifanyia chochote kuhonga,kupeleka kwa mitume na manabii matapeli,kuanzisha timu yake popote nk

pambana na hali yako
 
Fitina bin manyatu at work!!! Hakuna jipya hapa,Kama angekuwa na Nia, kwanini asiwekeze kwenye timu yake binafsi,au hata kwenye timu ya nyumbani kwake,kwanini awekeze kwenye timu ya taasisi ? Faida yake nini?

Acha uchuro kwa waziri wetu!!
Achunguzwe upesi anaiibia Hazina huyo.
 
Ni wapi nimemtaja Dk. Mwigulu Nchemba?
Wewe ni mnafiki na unatabia flan za kujkuta mjuaji juaji na pia kutulaghai laghai kuwa unajua mambo mengi ya siri za watu maarufu hapa tz, kwenye post zako nyingi humu jukwaani. Sasa kama sio Dr Mwigulu unamlenga nani. Unatufanya sisi hatuna akili kuwa unamshambulia nani? Bas mtaje sasa huyo waziri tumjue
 
Kinachonishangaza umekuja na Maelezo mengi, yenye Pumba nyingi na Lawama za Kipuuzi ( Kipopoma ) juu ya huyu Sijui Mumeo / Hawara yako. Ni wapi nimemtaja kwa Majina yake?

Huku Kuwashwawashwa Kwako hadi Umekurupuka hivi kumeanza lini? au akiiba huwa anakupa na Wewe na Kutamba Mjini hapa? Tafadhali Rais Samia mchunguze upesi huyo Waziri na aamue moja Mpira au Kazi ya Wizara yake.
 
JamiiForums ingekuwa na Watu wengi Werevu ( Intelligent ) kama Wewe Mkuu ingekuwa Furaha zaidi Kwangu ila bahati mbaya ni tofauti.

GENTAMYCINE huwa napenda mno Watu wenye Akili nyingi na kubwa kama Wewe na nashukuru kwa Kunielewa na Kuuelewa vyema Uzi wangu.

Ukiona Mtu ama huwa hanielewi GENTAMYCINE au hataki Kunielewa au ananipinga kwa Hoja yangu ( zangu ) just huyo ni Damn Fool mno.
 
Mbona hajauliza Majaliwa kuimiliki Namungo?
Sijauliza kwakuwa najua haimiliki hiyo Timu na nina uhakika na hilo 100% sawa? Nikija na Habari ya Mtu hapa jua nimeshajiridhisha nayo.

Acheni Kumchafua Premier Majaliwa ( mwana Simba SC mwenzangu ) kuwa anaimiliki Namungo FC kwani hana Ubaya wowote na ni Mtu Safi na Makini.
 
Gentamacyne: Katika ubora wake.. amemchana boss wenu halafu... mnapwapwata tu badala ya mkujibu kwa hoja...matusi kibao halafu mnajiliwaza kwa usimba na uyanga
Mkuu nimepiga 'penyewe' na nilijua tu Watetezi wa Mafurikoni FC ni lazima wangekuja tu haraka Kumtetea Mpuuzi ( Popoma ) Mwenzao anayeiba Pesa za Watanzania na Kuifadhili hiyo Timu yake mpya na ya Kimkakati ya DTB FC.
 
Usimpangie namna ya mtu kutumia pesa yake ambayo kaipata kihalali na kodi kakatwa ana uhuru wa kuifanyia chochote kuhonga,kupeleka kwa mitume na manabii matapeli,kuanzisha timu yake popote nk

pambana na hali yako
Anaiba Pesa ya nchi na achunguzwe upesi.
 
Usimba tu umekujaa,kwa vile mwigulu ni Yanga hapo unajua hiyo timu inaweza kuwa tawi la Yanga,mbona uisemi namungo inayomilikiwa chini ya waziri mkuu 80%!
Hivi kumbe anayeongelewa hapa ni huyo Waziri wenu? Halafu ni Popoma ( Mpuuzi ) gani amewadanganya kuwa Premier Majaliwa anaimiliki au yuko nyuma ya Klabu ya Namungo?
 
Ninayemuongelea hapa ni Yule mpenda Urais ila Urais Wenyewe hata haumpendi na hana Hadhi nao pia. Aache Kuiba Pesa za nchi.

Halafu ni kwanini uteseke kwa Mimi GENTAMYCINE kujua Mambo mengi / Vitu vingi? Wewe umekatazwa kuwa Knowledgeable?

Na siyo kwamba najifanya najua Mambo ila ukweli ni kwamba nayajua na nina Uwezo / Mbinu za kutaka Kuyajua na najiamini pia.

Hoja yako imekaa Kimasikini na Kishamba sana na Sikushangaa kwani Watu ambao naturally ni Fools huwa wapo kama Wewe hivi.
 
nahisi ni mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…