Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

Gentamacyne: Katika ubora wake.. amemchana boss wenu halafu... mnapwapwata tu badala ya mkujibu kwa hoja...matusi kibao halafu mnajiliwaza kwa usimba na uyanga
 
Hii timu kwani imeandikwa mwigulu fc au ni ya benki ya dtb chini ya wizara yake. Sasa ukilaumu hilo mbona kuna KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya Tamisemi ina maana na dada Ummy nae atumbuliwe au asemwe ni mmiliki wa KMC. Mwigulu tumwandame kwa tozo lakini hizi timu za taasisi huwa zipo maeneo mengi tu duniani
Ni wapi nimemtaja Dk. Mwigulu Nchemba?
 
Fitina bin manyatu at work!!! Hakuna jipya hapa,Kama angekuwa na Nia, kwanini asiwekeze kwenye timu yake binafsi,au hata kwenye timu ya nyumbani kwake,kwanini awekeze kwenye timu ya taasisi ? Faida yake nini?

Acha uchuro kwa waziri wetu!!
Usimpangie namna ya mtu kutumia pesa yake ambayo kaipata kihalali na kodi kakatwa ana uhuru wa kuifanyia chochote kuhonga,kupeleka kwa mitume na manabii matapeli,kuanzisha timu yake popote nk

pambana na hali yako
 
Fitina bin manyatu at work!!! Hakuna jipya hapa,Kama angekuwa na Nia, kwanini asiwekeze kwenye timu yake binafsi,au hata kwenye timu ya nyumbani kwake,kwanini awekeze kwenye timu ya taasisi ? Faida yake nini?

Acha uchuro kwa waziri wetu!!
Achunguzwe upesi anaiibia Hazina huyo.
 
Ni wapi nimemtaja Dk. Mwigulu Nchemba?
Wewe ni mnafiki na unatabia flan za kujkuta mjuaji juaji na pia kutulaghai laghai kuwa unajua mambo mengi ya siri za watu maarufu hapa tz, kwenye post zako nyingi humu jukwaani. Sasa kama sio Dr Mwigulu unamlenga nani. Unatufanya sisi hatuna akili kuwa unamshambulia nani? Bas mtaje sasa huyo waziri tumjue
 
Sikufich GENTAMYCINE kaongea utumbo sana kwenye hoja zake. Utakuwa unamchukia mwigulu sababu ni yanga. Kwani inakatazwa mtu kuwa mpenzi wa soka? Sio kila mtu atakuwa shabiki wa simba kaka. Mbona issue ya morrison kuna viongozi wakubwa waliharalisha usajili wake haram lakini hawakupigiwa uchuro kama unaoufanya hapA? Yeye kuhamisha Feitoto imekuwa nongwa. Mwigulu katukwazwa kwenye tozo hili nakuunga mkono lakin kumsimanga kwa tuhoja twako sio uungwana, na ukae ukijua haya ni maisha tu, uspende kushuhudia mtu uongo utapatwa na laana kaka. Mwigulu hawez chukua hela ya serikali kwa matakwa yake akanunua timu, sio mbovu wa akili wa kiwango hicho hata kama phd yake ni ya kubebwa kama mnavyodai. Tuwe na woga kwa Mungu na mara nyngne tupende kuwa na uhakika pale tunapotuhumu watu humu jf. Nikueleze tu usimba na uyanga isifikie muda vikatutengeneza hadi kuzushiana uongo, simba na yanga tutaziacha duniani lakin tuwe na ubinadamu kwenye kusimangana aisee
Kinachonishangaza umekuja na Maelezo mengi, yenye Pumba nyingi na Lawama za Kipuuzi ( Kipopoma ) juu ya huyu Sijui Mumeo / Hawara yako. Ni wapi nimemtaja kwa Majina yake?

Huku Kuwashwawashwa Kwako hadi Umekurupuka hivi kumeanza lini? au akiiba huwa anakupa na Wewe na Kutamba Mjini hapa? Tafadhali Rais Samia mchunguze upesi huyo Waziri na aamue moja Mpira au Kazi ya Wizara yake.
 
Hoja kama umeielewa ni mashaka ya mwandishi juu ya fedha anazotoa kuihudumia hiyo team. Mtoa mada ana mashaka kuwa huenda anajichotea fedha hazina na kuzimwaga huko DTB.
Siku nyingine usijitie upofu.

Kwa maoni yangu: Mh atakuwa anatoa msaada ulio ndani ya uwezo wake. Team kuwa na uwezo kifedha isiwe issue ya kushangaza kwani inamilikiwa na taasisi inayofanya biashara ya hela.
JamiiForums ingekuwa na Watu wengi Werevu ( Intelligent ) kama Wewe Mkuu ingekuwa Furaha zaidi Kwangu ila bahati mbaya ni tofauti.

GENTAMYCINE huwa napenda mno Watu wenye Akili nyingi na kubwa kama Wewe na nashukuru kwa Kunielewa na Kuuelewa vyema Uzi wangu.

Ukiona Mtu ama huwa hanielewi GENTAMYCINE au hataki Kunielewa au ananipinga kwa Hoja yangu ( zangu ) just huyo ni Damn Fool mno.
 
Mbona hajauliza Majaliwa kuimiliki Namungo?
Sijauliza kwakuwa najua haimiliki hiyo Timu na nina uhakika na hilo 100% sawa? Nikija na Habari ya Mtu hapa jua nimeshajiridhisha nayo.

Acheni Kumchafua Premier Majaliwa ( mwana Simba SC mwenzangu ) kuwa anaimiliki Namungo FC kwani hana Ubaya wowote na ni Mtu Safi na Makini.
 
Gentamacyne: Katika ubora wake.. amemchana boss wenu halafu... mnapwapwata tu badala ya mkujibu kwa hoja...matusi kibao halafu mnajiliwaza kwa usimba na uyanga
Mkuu nimepiga 'penyewe' na nilijua tu Watetezi wa Mafurikoni FC ni lazima wangekuja tu haraka Kumtetea Mpuuzi ( Popoma ) Mwenzao anayeiba Pesa za Watanzania na Kuifadhili hiyo Timu yake mpya na ya Kimkakati ya DTB FC.
 
Usimpangie namna ya mtu kutumia pesa yake ambayo kaipata kihalali na kodi kakatwa ana uhuru wa kuifanyia chochote kuhonga,kupeleka kwa mitume na manabii matapeli,kuanzisha timu yake popote nk

pambana na hali yako
Anaiba Pesa ya nchi na achunguzwe upesi.
 
Usimba tu umekujaa,kwa vile mwigulu ni Yanga hapo unajua hiyo timu inaweza kuwa tawi la Yanga,mbona uisemi namungo inayomilikiwa chini ya waziri mkuu 80%!
Hivi kumbe anayeongelewa hapa ni huyo Waziri wenu? Halafu ni Popoma ( Mpuuzi ) gani amewadanganya kuwa Premier Majaliwa anaimiliki au yuko nyuma ya Klabu ya Namungo?
 
Wewe ni mnafiki na unatabia flan za kujkuta mjuaji juaji na pia kutulaghai laghai kuwa unajua mambo mengi ya siri za watu maarufu hapa tz, kwenye post zako nyingi humu jukwaani. Sasa kama sio Dr Mwigulu unamlenga nani. Unatufanya sisi hatuna akili kuwa unamshambulia nani? Bas mtaje sasa huyo waziri tumjue
Ninayemuongelea hapa ni Yule mpenda Urais ila Urais Wenyewe hata haumpendi na hana Hadhi nao pia. Aache Kuiba Pesa za nchi.

Halafu ni kwanini uteseke kwa Mimi GENTAMYCINE kujua Mambo mengi / Vitu vingi? Wewe umekatazwa kuwa Knowledgeable?

Na siyo kwamba najifanya najua Mambo ila ukweli ni kwamba nayajua na nina Uwezo / Mbinu za kutaka Kuyajua na najiamini pia.

Hoja yako imekaa Kimasikini na Kishamba sana na Sikushangaa kwani Watu ambao naturally ni Fools huwa wapo kama Wewe hivi.
 
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.

Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?

Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.

Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
nahisi ni mwigulu
 
Ndio hii timu au

Screenshot_20211012-074109.png
 
Back
Top Bottom