Punguza kelele kamsaidie Musiba kulipa Deni la bilioni 9. Kelele nyingi kumbe hamna lolote.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
HakikaItabidi tuanzishe chama kwa kweli
KaburiniCCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
HakikaItabidi tuanzishe chama kwa kweli
Swali zuri sana hili Mimi kama msemaji wa wanachato tutakachofanya madiwani na ubunge tunawapa Wapinzani. Hususani Chadema.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Unaweza kudhibitisha serikali ilihusikaje kuwatia watu kwenye viroba na walitiwa kwa kosa gani na ni kina nani?Falsafa gani za kutiana kwenye viroba?
Anzisheni Chama mkiite Mirembe Hospital Party.
IQ ya Kisukuma ndogo sana.Unaweza kudhibitisha serikali ilihusikaje kuwatia watu kwenye viroba na walitiwa kwa kosa gani na ni kina nani?
Kaumoja part aitapewa usajili izikula kumi nilizokuwa pamoja NAMI sitakuwa likizo mpaka 2030CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Yeye mwenyewe Magufuli ilibidi apore uchaguzi ili apate matokeo aliyoyataka, sasa hiyo advantage ya jina lake inatoka wapi akiwa kafariki, wakati alipokuwa hai hilo jina lake lilishindwa kumbeba yeye mwenyewe hadi akapora uchaguzi?Pamoja na mapungufu yake lakini jina la magufuli bado lina advantage kubwa kisiasa hapa bongo. Kama akijitokeza mwanasiasa akapita nalo anaweza kunufaika.
Kapigieni kwenu BurundiCCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
HahahahahaaSwali zuri sana hili Mimi kama msemaji wa wanachato tutakachofanya madiwani na ubunge tunawapa Wapinzani. Hususani Chadema.
Kura za uraisi tunaharibu tunaziandika JPM Afu tunadumbukiza Mwenye sanduku
Hata mimi naona niko njia panda kwa kweli hivi akina polepole lukuvi hawez kuanzisha chama kwa muda huu uliobaki maana naona tumebakiwa na muda mchache sana .na kamwe siwezi kuipigia kura CDM wala CCM abadaniCCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Mpelekee huko aliko.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Labda ni kweli usemayo lakini hebu jiulize kitu kimoja, kama kuna kundi kubwa la watu wenye access na infomation humtetea humu jf wakati hayupo na hawalipwi chochote, hali itakuwaje kwa watu wengi mtaani ambao hawana access na information na ndio wapiga kura??
Kama unaweza, wakusanye wenzako, mkasajili chama.Hata mimi naona niko njia panda kwa kweli hivi akina polepole lukuvi hawez kuanzisha chama kwa muda huu uliobaki maana naona tumebakiwa na muda mchache sana .na kamwe siwezi kuipigia kura CDM wala CCM abadani
Hata mimi naona niko njia panda kwa kweli hivi akina polepole lukuvi hawez kuanzisha chama kwa muda huu uliobaki maana naona tumebakiwa na muda mchache sana .na kamwe siwezi kuipigia kura CDM wala CCM abadani