Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?


Jinga jingine hili hapa lisilojua chochote kuhusu uchumi wa Dunia!!
 
Usihangaike na hawa UWT mkuu hao ni wapumbavu sn wanataka nyama, pombe na ngono basi
 
Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.

Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Sawa na vije.
Waathirika wa kwanza ni wananchi wa chini wakiwemo CDM. Vikwazo havitowaathiri vigogo wa CCM
 
Kuli kwa Kim hata ukiwaza tu kuandamana kabla hujafungua mdomo kuhamasisha wenzako uko chini ya Kikosi kazi na unapata mkung’uto.

Basi na sisi tuwaambie Jumuia ya Ulaya hatuitaki Demokrasia.
kwani sisi ni koloni la EU?
 
Hawezi kuelewa huyo,kama watetezi wa mzanzibar ni jamii ya mwijaku unadhani wanajua nini juu ya vikwazo?
 
Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.

Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Unaota. EU hawawezi kuiwekea Tanzania vikwazo. Kile kiwanda cha kusindika gesi na ile wanayosafirisha ni kama walipewa bure
 
tuusiombe tuchukue hatua za kuwafahamisha the real situation on the ground
Well said!
Sasa kila mwenye access na mbunge yeyote wa EU kwa email, simu au namna yeyote ile afanye awezavyo. Hata kama ataweza kutuma ushawishi binafsi na afanye.
Ndio njia pekee ya kuwafanya wafahamu situation tuliyonayo.
 
Taabu kabisa...... Hauna nguvu na mnakula misaada tao!!
 
Well said!
Sasa kila mwenye access na mbunge yeyote wa EU kwa email, simu au namna yeyote ile afanye awezavyo. Hata kama ataweza kutuma ushawishi binafsi na afanye.
Ndio njia pekee ya kuwafanya wafahamu situation tuliyonayo.
exactly.... Brenda Rupia take the lead, please Erythrocyte mshitue Brenda afanye hili as of now, NOW
 
Uingereza haipo umoja wa ulaya
 
fuatilia speech za Trump, misaada ni njia za kupiga hela za walipakodi wa ulaya. Mwaka jana dola 8m zilitumika kupromoti ushoga africa, hakuna hata shoga mmoja alipata.
 
Hujui unachoongea:

Weka hapa takwimu, Russia, China na UAE, zote kwa pamoja zimeisaidia au kuikopesha Tanzania kiasi gani katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, linganisha na kiasi ambacho Tanzania imepokea toka nchi za Ulaya.
Russia,China na UAE hawakopeshi huwekeza wazungu hawawekezi wamekamalia kukopesha tu kama Vikoba au Saccos

Tanzania tunahiraji zaidi wawekezaji sio wakopeshaji wanatuogeuza tu kama vikoba au Saccos zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…