Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

Aisee !!????

Hao Ulaya wenyewe wanashindwa to clean their own acts; Haya mambo ya mtumaini cha mwingine let alone ndugu yako ni kufa masikini...; (By the way Hizi nchi hazijali your well being bali how much they are getting) kwahio kama ni Shamba la bibi na wanaendelea kuchuma basi chochote kinachotokea ni unafiki na siasa...

The only place kwa politician kuwashitaki wenzao ambao wanakiuka mambo ni kwa wenye nchi ambao ni wananchi...
 
Dunia ya leo ukitegemea vikwazo utadumaa na kufanywa tena mtumwa ndani ya nchi yako ,amka ujiiganie hongela Traole.
Urusi analia Kila siku vikwazo viondolewe wewe unaongea usenge gani
 
Kuli kwa Kim hata ukiwaza tu kuandamana kabla hujafungua mdomo kuhamasisha wenzako uko chini ya Kikosi kazi na unapata mkung’uto.

Basi na sisi tuwaambie Jumuia ya Ulaya hatuitaki Demokrasia.
nenda kawaambie mwenyewe uone watakavyo kufirigisa
 
Wajomba wa Oman wapo juzi walikuja kukagua bandari ya bagamoyo.
 
Wakibana mafuta hapo Dubai na Saudia mwezi mmoja tu yasije boda wote wanaingia barabarani nchi inaanguka hii

Yaani Samia anajiona mjuaji Ila kikwazo kimoja tu Cha mafuta atachukua hata miezi 2 Ikulu atakuwa amekimbia au kaja mezani
 
ukiondoa condom tunapata nini EU
Kumbe mnnapokwenda ziara au mikutano yao mnakwenda kuomba kondom. Duuu yajayo yanafurahisha. Kauli ya Nyerere ya umalaya malaya imebeba mambo mengi.

Mmefungua mabalozi kwa ajili ya kuomba kondomu ulaya.

Akili za akina msukuma.
 
Uchaguzi upo palepale OCTOBA, 2025.
chadema wanahaha.
 
Ndiyo, tupo tayari.
Halafu, nyie nyumbu, umoja wa ulaya haijawahi kuwa wa kihanithi kiasi hicho eti wagombane na nchi kisa Kuna chiba flani lofa lofa hivi anataka uraisi ambao haiwezi.
 
Vikwazo vikitangazwa na shilingi itaporomoka sana.
 
Viongozi wa China kila siku wapo Ulaya kutafuta wawekezaji. Kama Chima inaona haiwezi kupiga hafua yamaana bila ya uwekezaji wakutokaUlaya, itakuwa nchi ya viongozi mamburula, kama Tanzania!!
Huku ni aibu tupu
 
Ndiyo, tupo tayari.
Halafu, nyie nyumbu, umoja wa ulaya haijawahi kuwa wa kihanithi kiasi hicho eti wagombane na nchi kisa Kuna chiba flani lofa lofa hivi anataka uraisi ambao haiwezi.
Mbona povu kubwa. Unamkasirikia nani sasa? Piano piano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…