Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

Kabisa mkuu kwa Sasa chadema imebaki Ni historia, haina ushawishii Tena, haina Sera Wala ajenda zenye mvuto kwa watu, mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa inayagusa maisha ya watu ndio maana anaungwa mkono na mamillion ya watanzania, sisi vijana tupo na mama na tunamuunga mkono
Ungebahatika kuwa na pesa hata kidogo na zikawa Bank ukaona unachofanyiwa ukitoa za matumizi usingeandika hayo.
Bahati mbaya ni kijana masikini huna kitu na pengine huna kipato zaidi ya upambe kama wa Babalevo ndio unakuweka mjini. Ungejiuliza vyema kwa nini wenye elimu, kipato halali na wanaojitambua wanapinga uendeshaji nchi hii kuwa mbovu? Pengine nawe ungefunguka akili kidogo
 
Vijana wengi wote wa kike na kiume, wanajipodoa sana na hata kujichubua ngozi zao ziwe nyororo ili wapate kuwa warembo zaidi. Ndio uenezi wenyewe wa sera za chama.
Haya umeyatoa wapi kiongozi?

Mambo ya uzuri wa Mungu ni takwa la Mungu tu hilo,
 
Shaka anaushawishi GANI,? Kama vipi nipe Jimbo naye tena huko Zanzibar nikitokea TANGANYIKA , saa nne asubuhi nimemaliza KAZI
Ccm watu wenye ushawishi mpaka mda huu simuoni,KWa mbali Bashe, wengine tupakule
Unamaanisha Bashe huyu kibaka maarufu mzungu mweusi? Mwizi na fisadi wa kitambo? Hujawa makini
 
Unamaanisha Bashe huyu kibaka maarufu mzungu mweusi? Mwizi na fisadi wa kitambo? Hujawa makini
Anaweza kuwa kibaka ila anajitambua, kwani sio kibaka, au mwizi ,ila wezi au vibaka wanatofautina, mkubali msikubali huyo Bwana anajitambua, Ongezea na Rais na Bwana mdogo Mh Mwinyi,Mh Mtaka, huyu pia anatakiwa kuwa WAZIRI mkuu, japo ccm mnafukia kipaji chake,
Kwangu Hawa ndo watu nawaangalia KWa mbali wanaweza isaidia ccm
 
Umeongea Ukweli Sana aise
 
Back
Top Bottom