rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Amesahau alitumbuliwa na mwendazakeUsituone kama hamnazo… akuongoze wewe na …
Hafai period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesahau alitumbuliwa na mwendazakeUsituone kama hamnazo… akuongoze wewe na …
Hafai period
Ndio nani Mshana Jr'Mwanangwa' huyo...!
Kale "katabia" hawezi kuacha kamwe, sasa ccm wanataka kulipa Taifa aibu nyingine 🤣 🤣
Apewe Urais huyuTazama CCM ilivyo na mvuto kwa kijana,
View attachment 2327961View attachment 2327963View attachment 2327965View attachment 2327986
Ungebahatika kuwa na pesa hata kidogo na zikawa Bank ukaona unachofanyiwa ukitoa za matumizi usingeandika hayo.Kabisa mkuu kwa Sasa chadema imebaki Ni historia, haina ushawishii Tena, haina Sera Wala ajenda zenye mvuto kwa watu, mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa inayagusa maisha ya watu ndio maana anaungwa mkono na mamillion ya watanzania, sisi vijana tupo na mama na tunamuunga mkono
Haya umeyatoa wapi kiongozi?Vijana wengi wote wa kike na kiume, wanajipodoa sana na hata kujichubua ngozi zao ziwe nyororo ili wapate kuwa warembo zaidi. Ndio uenezi wenyewe wa sera za chama.
Unamaanisha Bashe huyu kibaka maarufu mzungu mweusi? Mwizi na fisadi wa kitambo? Hujawa makiniShaka anaushawishi GANI,? Kama vipi nipe Jimbo naye tena huko Zanzibar nikitokea TANGANYIKA , saa nne asubuhi nimemaliza KAZI
Ccm watu wenye ushawishi mpaka mda huu simuoni,KWa mbali Bashe, wengine tupakule
Anaweza kuwa kibaka ila anajitambua, kwani sio kibaka, au mwizi ,ila wezi au vibaka wanatofautina, mkubali msikubali huyo Bwana anajitambua, Ongezea na Rais na Bwana mdogo Mh Mwinyi,Mh Mtaka, huyu pia anatakiwa kuwa WAZIRI mkuu, japo ccm mnafukia kipaji chake,Unamaanisha Bashe huyu kibaka maarufu mzungu mweusi? Mwizi na fisadi wa kitambo? Hujawa makini
Umeongea Ukweli Sana aiseAnaweza kuwa kibaka ila anajitambua, kwani sio kibaka, au mwizi ,ila wezi au vibaka wanatofautina, mkubali msikubali huyo Bwana anajitambua, Ongezea na Rais na Bwana mdogo Mh Mwinyi,Mh Mtaka, huyu pia anatakiwa kuwa WAZIRI mkuu, japo ccm mnafukia kipaji chake,
Kwangu Hawa ndo watu nawaangalia KWa mbali wanaweza isaidia ccm