Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?


..raisi anadhibitiwa na KATIBA.

..ktk uchaguzi wa 2020 Lissu alieleza kwamba hataki kuwa Raisi Mfalme asiyedhibitiwa na Katiba, aliyejuu ya sheria.

..wagombea wote wa Ccm wamekuwa waking'ang'ania katiba hii ya sasa hivi inayomfanya raisi kuwa " mungu mtu" na jui ya sheria.
 
Nakuunga Mkuu katika hili,
Mbowe ana busara sana.. ila huyo Tundu hapana Kwa kweli


Mara mia aendelee SSH ila siyo Lisu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
..Maza mwenyewe alisema.

..Pia alisema alikuwa mwanaharakati.

..kwa msingi huo msiwazodoe wapinzani waliowahi kufeli masomoni.

..pia wapinzani ambao ni wanaharakati wasisumbuliwe.
Wapinzani waliofeli masomoni ni wepi?
 
..Maza mwenyewe alisema.

..Pia alisema alikuwa mwanaharakati.

..kwa msingi huo msiwazodoe wapinzani waliowahi kufeli masomoni.

..pia wapinzani ambao ni wanaharakati wasisumbuliwe.
Wapinzani wepi walifeli masomoni?


ni heri upate division 4 yako mwenyewe kuliko division I ya chabo. Watu wanaosoma hizi St. Monalisa huwa wananunua matokeo na kuongea kiingereza.
Kabisa
 
Wapinzani waliofeli masomoni ni wepi?

..Maza hata kufanya teuzi ameshindwa. Huhitaji kuletewa vyeti au matokeo yake.

..toka tupate uhuru hatujawahi kuwa na Raisi anayeteua Mtendaji na kutengua uteuzi baada ya siku moja / chache.

..maana yake ni moja tu kuwa kazi ya Uraisi imemshinda.
 
..Maza hata kufanya teuzi ameshindwa. Huhitaji kuletewa vyeti au matokeo yake.

..toka tupate uhuru hatujawahi kuwa na Raisi anayeteua Mtendaji na kutengua uteuzi baada ya siku moja / chache.

..maana yake ni moja tu kuwa kazi ya Uraisi imemshinda.
Muongo, mbona yupo mtu aliyeteuliwa ambae hata kuapa alishindwa na kutenguliwa hapohapo?
 
..Maza hata kufanya teuzi ameshindwa. Huhitaji kuletewa vyeti au matokeo yake.

..toka tupate uhuru hatujawahi kuwa na Raisi anayeteua Mtendaji na kutengua uteuzi baada ya siku moja / chache.

..maana yake ni moja tu kuwa kazi ya Uraisi imemshinda.
Katiba inamruhusu
Iweje wewe unasema ameshindwa?
 
Hii ndio sera? atoe njia mbadala ya kumaliza hamahama ya wafugaji badala ya kuhadithia tu. Huku ndiko kudandiadandia

View: https://www.youtube.com/watch?v=z5KKEY5FUyc
 
Reactions: Ame
Siyo suala la kukabithi au kuamua kikundi kidogo cha watu! Upatikane mfumo utakaotuhakikishia Fair competition na watanzania wachague wamtakaye! Mambo ya zamu ya nani ipelekwe huko Rwanda na kwa M7. Hapa tunataka demokrasia itamalaki!
 
hana sifa stahiki kwa nafasi hiyo maoni yangu na mtazamo wangu.--- "Mtizamo wako"
si muaminifu,--Kwa kigezo kipi? Kwa mwita "mama" mwizi?
si mzalendo, uzalendo wake wa mashaka.-- Kwa kigezo cha kupambana na wauza nchi wakiongozwa na Saa100
si mstahimilivu- Kwa sababu anapiga kelele majizi ya raslimali akina saa100 wanapofumba macho
si muungwana-- kwa sababu havumilii majizi na wauza nchi wakiongozwa na saa100
ana majivuno na dharau kupindukia,- Anawadharau sana majizi na anajivunia uwajibikaji na usafi
amepungukiwa hekima na Busara,-- Kwa sababu alikosa hekima alipoanza kuwashughulikia majizi
si mtarabibu wala mstaarabu,- Amewaumbua majizi na wauza Nchi yakiongozwa na saa100
ni mbishi asie na utii,-- Tunahitaji Rais asiyetii miongozo/ushauri ya mafisadi kama saa100 anayeongozwa na JK
hana mipango bali lawama,- Mpe Nchi uone mipango yake. Alipendekeza bima ya afya sasa fisadi mkuu amedandia sijui atatekelezaje
haaminiki kitaifa bali ng'ambo kwa watwana,- Kubalini fair competition muone kama haaminiki.
ana uchu na tamaa mno,- Thibitisha
ni mbinafsi hatari,-Thibitisha
ni mpenda fujo sana,-- Aendeleze fujo kwa majizi tu
ana chuki na wanaotofautiana nae kimtazamo,- Thibitisha
ni mjeuri mwenye elimu-- Saa100 ni kilaza asiye na elimu utachagua yupi? Waarabu wameona mteremko wanakomba kila kitu.
ana hasira iliyofichika.--Afadhali aliye na hasira kwa sababu hatavumilia majizi

Hapa chini tunaelewa lengo lako ni kuwagawa CDM umeshindwa puuuuuuuuuuu

nadhani Mbowe anafaa zaidi.
ni mstahimilivu,
Mzalendo asiye na shaka,
si mbishi,
ni mtulivu, mwenye hekima na Busara
hajivuni na wala haringi,
muongea kwa utaratibu na ustaarbu,
Hatukani wala kukejeli mtu,
Hana chuki wala habagui wenye tofauti na mtazamo wake.
si mbinafsi.
Anaaminika kitaifa na kimataifa
Jamaa ni muungwana sana,


nakuja kumalizia ngoja nipande daladala kwanza..........
 
nimeshatoa maoni na mtazamo wangu juu nionavyo mie kwa waungwana mafahali hao wawili....

hata wewe unaweza ukawa na maoni yako binafsi tofauti na yangu, na hiyo ni haki na uhuru wako....

kuthibitisha mtazamo na maoni yangu na yako, sio kwa blalaa na maneno mengi ni kwenye sanduku la kura za maoni ktk vyama. Na katika hilo subra haitajika na kwa wakati muafaka itabainika...

kuhisi nakusudia kuigawa CDM, huo ni mtazamo na maoni yako binafsi, ninayaheshimu sana, japo ni upotoshaji...

This is politics...
 
Au kwa kifupi unatuambia unataka mtu anayeweza/anaependa kuuza rasilimali za nchi hii.
 
Hatakiwi kulalamika na kutoa taarifa kwa watanzania, bali anatakiwa aonyeshe njia sahihi mbadala ya kutenda na kuliendea jambo husika kama ataaminwa na kupewa nafasi ya kuwa Rais. Anapaswa kusema kama mimi mkinipa nafasi ya kuwa Rais nitaziondoa mbuga/hifadhi za wanyama zote na kuwapa wafugaji wachungie, au nitawaondoa wakulima wote au nitawaambia wafugaji wapunguze mifugo yao, nk, nk. Lakini kulalamika tyuuuuu bila kuonyesha njia ingine sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…