Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

Maza alizungusha form 4.
Elimu kubwa kama ya akina Kapuya, Lipumba, nk ndo inafaa kuwa Rais? Wasomi wetu sisi ni kundi ambalo muda wote na saa zote wanaogopa usalama wa taifa eti utawachukulia hatua kama watadai maslahi yao, watajiunga na vyama vya upinzani, wataandamana, watahoji, wataukiza, nk. Ni kundi linalolipwa kidogo sana nchini. Wasomi wetu sio msaada kwenye demokrasia Wala kwenye uchumi. Phobia of unknown origin. Muda wote wanakenua na kusifia ili wapate kuteuliwa na mamlaka.
 
Tuzitumie siku mbili hizi kumshawishi Mbowe apishe njia mtu aende Ikulu.
P
 
TL anazo fikra za regime change. Ni nini maana ya regime? Ina maana sawa na serikali? Je, chadema ina miundombinu yote inayomudu kuongoza taifa? ina watu wa kutosha? ina wabunge wa kutosha bungeni? change from where to where?
 
Sawa lakini ni lazima tujue na tuwe na uhakika juu ya nani wako nyuma yake; nani walimshawishi kugombea uwenyekiti na nani wamegharimia mkutano wa kutangaza nia na wanatarajia fedha zao zitarejeshwaje, maana nijuavyo mm hakuna cha burebure kabisa duniani; yaani mkono mtupu haulambwi. Libya, Iraq na sasa Syria walitaka mabadiliko na wakayapata lakini nadhani matokeo sio yale waliyoyakusudia. Tusiogope mabadiliko lakini tuogope unplanned change.
 
Katika nchi zenye rasilimali za madini, gesi, makaa ya mawe na chuma kupata watu wa kukusaidia kufanya regime change sio kazi ngumu sana nadhani.
 
Kwanini hizo sifa aulizwe kuwa nazo Tundu Lissu, na wengine wote kasoro Mwalimu Nyerere wasiwe wameulizwa kama wanazo?

Hebu chukulia mfano wa huyu tuliye naye sasa, halafu nipe sifa hata moja tu ya kipekee inayomtambulisha kuwa na sifa za urais?

Kwa maoni yangu, Tundu Lissu anazo sifa kumzidi Mwinyi, Kikwete na ningesema hata Magufuli, isingekuwa uigizaji wa uzalendo aliojaribu kuuonyesha.
Lissu hana sera Wala mpango wowote unaoeleweka zaidi ya kutegemea urafiki na nchi za ulaya zimsaidie. Lissu anafaa uwanaharakati zaidi kuliko urais, anafaa kuwepo bungeni zaidi kuliko kuwepo serikalini.

Kwani waliomchangia matengenezo ya gari la Lissu wanashindwa nn kugharamia mkutano wa Lissu pale mlimani City?
 
TAL ni mwanaharakati na kwasababu hiyo hafai kuwa Rais wa nchi, anafaa kuwa labda Waziri Mkuu Ili awe na mtu anaye m moderate kwenye tabia yake ya uharakati
Waziri mkuu lazima ufanye Yale Rais aliyoagiza na anayotaka na sio kupuyanga unavyotaka wewe.
 
Lissu ana vigezo vyote kuwa Rais ila ni wakati sasa chama kimfanyie branding na kimtafutie PR officer.

Kama walivyosema wachangiaji hapo juu lissu na JPM wana tofauti ndogo sana in terms of haiba.

Mnyika alikua hivyo zamani ila naona alipikwa na Mbowe Sasa yupo composed and matured kuliko zamani.

Lissu pia akiwa managed vizuri akajua mipaka ya kauli zake, kupima madhara ya Kila jambo kisiasa na kuwa "statesman" anayeweza ku bond vizuri na watu wa vyama vyote basi hakuna mtu atamzuia kuingiza ikulu.
Kiongozi hodari wa upinzani ni yule mwenye njia sahihi mbadala yenye tija ya kufanya jambo kilelile wanalolikosea viongozi walioko madarakani. Mfano, Lissu atafanyaje kutatua tatizo la mbuga ya ngorongoro na wamasai? Wakoloni waliwahamisha Serengeti na serikali ya Tanzania ya sasa ina wahamisha ngorongoro, je yeye angefanya nini ili mbuga iwepo na wamasai wawepo?
 
Mbona ameshaeleza sana nini kifanyike, ame cite kamati nyingi tu zilizoundwaga na recommendations zilizotolewa. Na alichopinga ni kuwahamisha maasai alafu unaleta wawekezaji!! Yaani kama issue ni kuondoa watu basi sio kuleta tena wawekezaji wajenge mahoteli n.k ni double standards.
 
Ustahamilivu wa kisiasa ndiyo sifa kuu ya kwanza ya Rais wa Tanzania.
 
Mbona ameshaeleza sana nini kifanyike, ame cite kamati nyingi tu zilizoundwaga na recommendations zilizotolewa. Na alichopinga ni kuwahamisha maasai alafu unaleta wawekezaji!! Yaani kama issue ni kuondoa watu basi sio kuleta tena wawekezaji wajenge mahoteli n.k ni double standards.
Kakaaa!¡ Taifa utalijengaje bila kuwa na pesa? Mbona watu wanaondolelewa kiposha uchimbaji, ujenzi wa barabarani na mabwawa na kwenye vyanzo vya maji? Tulikubaliana kikatiba kuwa ardhi ya Tanzania ni mali ya serikali na watanzania wote ni wapangaji TU. Tulikubaliana kikatiba kuwa Rais wa nchi ndiye mwangalizi mkuu wa ardhi yetu anaepanga matumizi ya ardhi yetu. Kwanini unazuia Rais kufanya kazi yako. Ngorongoro ni mali ya watanzania wote kama ilivyo mlima Kilimanjaro, bully Ankur, mwadui, msibati, nk sio mali ya wamasai ulijue hilo.
 
Sawa lakini ni lazima tujue na tuwe na uhakika juu ya nani wako nyuma yake; nani walimshawishi kugombea uwenyekiti na nani wamegharimia mkutano wa kutangaza nia na wanatarajia fedha zao zitarejeshwaje, maana nijuavyo mm hakuna cha burebure kabisa duniani; yaani mkono mtupu haulambwi. Libya, Iraq na sasa Syria walitaka mabadiliko na wakayapata lakini nadhani matokeo sio yale waliyoyakusudia. Tusiogope mabadiliko lakini tuogope unplanned change.
Yaani ni kweli umeona UKWELI wa hakika kabisa.
 
Kuondoa watu kwa hoja ya kwamba wanaharibu hifadhi wakati huo huo unaleta wawekezaji ni unafiki. Alafu mbona kuna mahoteli mengi tu mbugani sasa hao wamaasai wamezuia nini?
 
TL anazo fikra za regime change. Ni nini maana ya regime? Ina maana sawa na serikali? Je, chadema ina miundombinu yote inayomudu kuongoza taifa? ina watu wa kutosha? ina wabunge wa kutosha bungeni? change from where to where?
Akishinda tu Urais mbona personnel wapo wa kutosha in fact usishangae CCM wote wakaomba kadi za chadema ili kulinda vibarua vyao!! Tumeona DRC jamaa alishinda urais bila bunge na bado akaweza kuunda serikali maana rais ndio kila kitu hiz nchi zetu. Anaweza hata kuvunja bunge mpaka siku apate majority
 
Sawa lakini ni lazima tujue na tuwe na uhakika juu ya nani wako nyuma yake; nani walimshawishi kugombea uwenyekiti na nani wamegharimia mkutano wa kutangaza nia na wanatarajia fedha zao zitarejeshwaje, maana nijuavyo mm hakuna cha burebure kabisa duniani; yaani mkono mtupu haulambwi. Libya, Iraq na sasa Syria walitaka mabadiliko na wakayapata lakini nadhani matokeo sio yale waliyoyakusudia. Tusiogope mabadiliko lakini tuogope unplanned change.
Unaongea ujinga mbona Tunisia na Algeria kulikua na regime change? Uliona kuna uharibifu wowote? Tofautisha impact ya vita na regime change.

Tatizo ni vita tu, ukimtoa mtu kwa bunduki ndio nchi inavurugika ila akikubali yaishe mapema kama Mugabe mbona nchi haikuvurugika.
 
nani walimshawishi kugombea uwenyekiti na nani wamegharimia mkutano wa kutangaza nia na wanatarajia fedha zao zitarejeshwaje, maana nijuavyo mm hakuna cha burebure kabisa duniani; yaani mkono mtupu haulambwi.
Kwahiyo mkutano wa million 2 tu mlimani City ndio upewe na "mabeberu" kwamba hata kuchangishana tu kwenye group la whatsapp hauwezi pata hiyo pesa?

Hii mindset ya kiafrika sana, kudhani kila changamoto imesababishwa na wazungu. Kwamba hatuwezi kudai mabadiliko mpaka tuambiwe na mzungu? Kwamba lissu haoni changamoto hadi aambiwe na mzungu achukue fomu? Embarrassing
 
Lissu hana sera Wala mpango wowote unaoeleweka zaidi ya kutegemea urafiki na nchi za ulaya zimsaidie. Lissu anafaa uwanaharakati zaidi kuliko urais, anafaa kuwepo bungeni zaidi kuliko kuwepo serikalini.

Kwani waliomchangia matengenezo ya gari la Lissu wanashindwa nn kugharamia mkutano wa Lissu pale mlimani City?
Wewe huna lolote la maana la kuchangia, naona una weweseka tu na mchanganyiko wa mambo hata yasiyo husiana.
Siwezi kuoteza muda na taka hizi.
 
Back
Top Bottom