Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Chawa wa mbowe walizoea chaguzi zote mbowe mfalume hupita bila kupingwa na hakukuwa na kampeni kama sasa, maovu madudu ya mbowe rushwa za ngono kwa viti maalum hayakujulikans, Sasa kila baya la Mbowe lipo wazi, na hata kamati ya Roho mbaya aliyounda ikiongozwa na Mdee, Boniface, wenje kwa ajili ya kumdhoofisha Lisu imejulikana mapema tu,
 
Hata rost tamu huambatana na kiongozi mkuu akidai ni mfanya biashara mkubwa ilhali ukitafuta walipakodi wakubwa nchini ,hayumo!
 
Sana. Mtu wa hivi ni mzuri sana. Nyeupe anasema nyeupe, hana kona kona, hana mambo ya rushwa, etc. Sema kwa mazingira yetu kuwatambua watu wa hivi na kuwathamini ni ngumu sana, ndio kwanza ataonekana ni adui.
Wanaomuogopa Lissu ni wala RUSHWA na wababaishaji.
 
Na anajua mambo mengi sanaa ya Mbowe yaliyojificha ila alikuwa anamsitiri tu
Lissu anamstahi Mbowe lakini mbowe akiendelea kutaka Ligi na Lissu au Mbowe ashinikize uchaguzi uahirishwe hapo ndipo Lissu atatiririka na kuanika UOZO wote wa Mwenyekiti.
 
Na wewe ni chawa wa Lissu siyo?? Unaunga mkono hata mambo ya kijinga kwa sababu ya uchawa wako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Migambo wanaruka na kukanyagana
 
Dogo Machame moja Siyo?
 
Kumbe Mbowe Hotels hazina TIN number? Yale mashamba aliyoharibu Byakanwa na zile biashara lissu alizowahi kiri Magufuli alimharibia Mbowe kumbe ilikua uongo?
Je.,hizo tu ndio zinatoa mamilioni yote
 

Lisu naona anakosea njia sana
Mbowe huwezi kumfitini kihivyo atafute Muziki mwingine tucheze.
 
Kumbe Mbowe Hotels hazina TIN number? Yale mashamba aliyoharibu Byakanwa na zile biashara lissu alizowahi kiri Magufuli alimharibia Mbowe kumbe ilikua uongo?
Lissu akikuchukia anakupakazia na kukuzushia kitu chochote.

Akishindwa uchaguzi wa Jan 21 game yake inaishia hapo.

Atakuwa na wakati mgumu sana kwenye siasa za upinzani, mara elf aende CCM kuliko ku deal na wapinzani wawili wawili.

Shida yakr ni njaa, hana chochote na hawez biashara yeyote
 
Mbowe kamttoa mbali lissu

Hata kama kunamapungufu amfuchie aibu

Waongee kwa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…