Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Chawa wa mbowe walizoea chaguzi zote mbowe mfalume hupita bila kupingwa na hakukuwa na kampeni kama sasa, maovu madudu ya mbowe rushwa za ngono kwa viti maalum hayakujulikans, Sasa kila baya la Mbowe lipo wazi, na hata kamati ya Roho mbaya aliyounda ikiongozwa na Mdee, Boniface, wenje kwa ajili ya kumdhoofisha Lisu imejulikana mapema tu,
 
Hata rost tamu huambatana na kiongozi mkuu akidai ni mfanya biashara mkubwa ilhali ukitafuta walipakodi wakubwa nchini ,hayumo!
 
Sana. Mtu wa hivi ni mzuri sana. Nyeupe anasema nyeupe, hana kona kona, hana mambo ya rushwa, etc. Sema kwa mazingira yetu kuwatambua watu wa hivi na kuwathamini ni ngumu sana, ndio kwanza ataonekana ni adui.
Wanaomuogopa Lissu ni wala RUSHWA na wababaishaji.
 
Na anajua mambo mengi sanaa ya Mbowe yaliyojificha ila alikuwa anamsitiri tu
Lissu anamstahi Mbowe lakini mbowe akiendelea kutaka Ligi na Lissu au Mbowe ashinikize uchaguzi uahirishwe hapo ndipo Lissu atatiririka na kuanika UOZO wote wa Mwenyekiti.
 
Lisu haropoki chochote anaongea ukweli risasi hazijagusa ubongo anaongea ukweli kwa Akili yako ndogo ya uchawa kwa mbowe umekariri anaropoka, hakuna cha kuropoka hapo nali ukweli mmeugeuza eti ni kuropoka, hiki ni kipindi cha kampeni kila mmoja lazima aongee udhaifu wa mwenzie, sasa mapungufu udhaifu wa mbowe hamtaki ijulikane kwa kisingizio cha kijinga kuwa ni siri za chama?
Na wewe ni chawa wa Lissu siyo?? Unaunga mkono hata mambo ya kijinga kwa sababu ya uchawa wako
 
Kwa hili Lissu ni mshamba sana,

Zipo Bislashara kibao wamiliki ni ghosts for a reason.

Mazingira yeyote ya kuweka biashara zako wazi ukiwa kwenye siasa ni kitafuta kujimaliza.

Wapo wengi sana duniani hawaonekani kwenye list yeyote ya legal business lakini ni matycoon.

Yeye hajawahi fanya biashara and he knows nothing about it.....

Atulie aombe michango achangiwe aache bla bla za kishamba.

Hashangai ni yeye tu anazungusha bakuli kuomba mia mia wenzake daily Dubai, Nairobi, Dar, US etc..

Wewe unaish kwa free meal ya special political asylum card bwana wacha kujilinganisha na kila mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Migambo wanaruka na kukanyagana
 
Kwa hili Lissu ni mshamba sana,

Zipo Bislashara kibao wamiliki ni ghosts for a reason.

Mazingira yeyote ya kuweka biashara zako wazi ukiwa kwenye siasa ni kitafuta kujimaliza.

Wapo wengi sana duniani hawaonekani kwenye list yeyote ya legal business lakini ni matycoon.

Yeye hajawahi fanya biashara and he knows nothing about it.....

Atulie aombe michango achangiwe aache bla bla za kishamba.

Hashangai ni yeye tu anazungusha bakuli kuomba mia mia wenzake daily Dubai, Nairobi, Dar, US etc..

Wewe unaish kwa free meal ya special political asylum card bwana wacha kujilinganisha na kila mtu.
Dogo Machame moja Siyo?
 
Kumbe Mbowe Hotels hazina TIN number? Yale mashamba aliyoharibu Byakanwa na zile biashara lissu alizowahi kiri Magufuli alimharibia Mbowe kumbe ilikua uongo?
Je.,hizo tu ndio zinatoa mamilioni yote
 
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
View attachment 3194290
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.

Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe?

Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake.

Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya.

Pia, soma:

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Lisu naona anakosea njia sana
Mbowe huwezi kumfitini kihivyo atafute Muziki mwingine tucheze.
 
Kumbe Mbowe Hotels hazina TIN number? Yale mashamba aliyoharibu Byakanwa na zile biashara lissu alizowahi kiri Magufuli alimharibia Mbowe kumbe ilikua uongo?
Lissu akikuchukia anakupakazia na kukuzushia kitu chochote.

Akishindwa uchaguzi wa Jan 21 game yake inaishia hapo.

Atakuwa na wakati mgumu sana kwenye siasa za upinzani, mara elf aende CCM kuliko ku deal na wapinzani wawili wawili.

Shida yakr ni njaa, hana chochote na hawez biashara yeyote
 
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. View attachment 3194290
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu. Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe? Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake. Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya. Pia, soma: Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan... Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. View attachment 3194290
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu. Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe? Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake. Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya. Pia, soma: Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan... Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
View attachment 3194290
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.

Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe?

Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake.

Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya.

Pia, soma:

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
Mbowe kamttoa mbali lissu

Hata kama kunamapungufu amfuchie aibu

Waongee kwa hoja
 
Back
Top Bottom