Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

Sijui kwanini watanzania tunapenda sana kujadili petty issues.

Yaani swala la watu kukutana tunapoteza muda wetu.
 
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana kujadili petty issues.

Yaani swala la watu kukutana tunapoteza muda wetu.
Basi tuache hayo na tuje kwanini unachuki na wengine humu Tena zisizo na sababu🤔.
 
Samia, suala pekee linalomtia doa ni hili liliyengenezwa na Siro na Kingai, la Mbowe. Otherwise, Rais Samia ana mengi mazuri.
Kaingizwa mkenge na Kingai , hivi kiongozi wa nchi anawezaje kudanganywa na askari duni kama hawa ?
 
Mimi ningeshauri asiombe kukutana nae bali ajumuike na watanzania wengine kumsikiliza. Akikaribishwa kuongea nae nje ya mkutano wa umma akubali. Asipokaribishwa asibembeleze.

Amandla...
 
sio ajabu wakuu,kila raia watanzania ni haki yake kikatiba kuomba au kutakwa kukutana na rais.lkn mm najiuliza kwa nn akina lisu,lema hawataki kurudi nyumbani!!?, shida Nini!!? Wanamuogopa hangaya au !!?
Kuna sheria inayosema kila raia wa Tanzania lazima aishi Tanzania?

Amandla...
 
Hawezi ataona aibu
 
Kwa maoni yangu mimi, itapendeza zaidi kama itatokea nafasi ya uwepo wa personal talk kati ya Mh. TL na Mh. Rais, achilia mbali hii ya kuongea na watanzania wote wanaoishi Ubelgiji; assuming kutakuwepo muda wa kutosha kufanya hivyo.
 
Lissu hana muda atakuwa busy na Maryam sarungi na Fatma karume kuandaa clips na twitter ambazo kwa sasa ndizo zinazoendesha shughuli za kisiasa kwa chadema
 
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana kujadili petty issues.

Yaani swala la watu kukutana tunapoteza muda wetu.
Possibly kuna kitu ambacho watu wanadhani kuwa ni cha muhimu kwenye mkutano huo, just in case utatokea.
 
Upelelezi Gani wakati waliomshambulia ni Makonda kwa kutumwa na marehemu shetani aliyezikwa chato.

Nimefurahi sana magazeti pendwa kufunguliwa. Duh jamani tulikuwa jehanum

Marehemu aongezewe moto mwingi huko aliko.

Mungu wa haki hana Shida. Husikiliza vichaa na wazima. Hana kisasi Ni mwingi wa huruma. Anajua ya wazi na yaliyofichika. Amekuona mtu mwema. Amemuona mtakatifu Lissu.


Mkuu Hakuna mtu ambaye angetumwa na Rais wa nchi apige risasi zaidi ya 1 Ni unprofessionalism. So tafuta mpiga risasi wako. Unahitaji namba ya dereva nikupatie. dm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…