Je, ualimu ni kwa ajili ya watu maskini?

Kumfanya mmasai, mgogo, mmakonde, Muha n.k anaongea English imenyooka kama mzungu nyieeeee nyieee acheni dharau na kazi za watu


😀😀, Ukiangalia hii picha, tutaulaumu walimu, au tutalaumu FISI EMU, Miaka 60 yote hamna la maana .
 
Vitoto vyangu 2 sijawahi kusikia wameropoka kuwa wanataka kuwa walimu.
Yaani bora kazi yangu ya kushika bunduki huyu wa miaka 7 anaipemda sana.
Najitahidi kumkemea ila kakomaa hayumbishwi.
Nadhani ni utoto.
Ila ni heri MWALIMU kuliko askari.
Upo sahihi mkuu hasa SHERIA. Unakuwa unatiii tu.
Usipokuwa trafiki hela unazisikia kwenye bomba au umbambikie mtu kesi.
Muda wa kufanya mambo yako mdogo, kuhamishwa hamishwa, ukifungua duka wananchi hatuji.
Polisi kusoma ni ishu japo wapo waliojiendeleza.
Wizara ya elimu inakusanya makundi yote waliochoka, wakati na wajuu. Kuna wdlimu wapo sekta nyeti sana lakini kuna walimu wapo bushi moja hatari wanajinywea tu ulanzi, mnazi nk.
Uzuri wa ualimu unakuweka karibu sana na wananchi hivyo ni rahisi kuwa mwanasiasa, walimu wengi sana wamekuwa wabunge madiwani nk.
 

Akuna = [emoji777]
Hakuna = [emoji3514]

Mbaka = [emoji777]
Aludi = [emoji777]


Shule za kusomea ujinga.
 
Ualimu,fani za afya,vyombo vya usalama kasoro Tiss na fani za ujenzi,mifugo nk ni kazi za maskini
 
Hahahahaha bahati mbaya sana hata hiyo ajira ya ualimu ni ama uipate au uikose cha. Sio awamu ya JK hii kwamba ukapata admission na kazi iyoo usoni hata kama una Sup tatu au mbili.

Kama Ana connection sawa lkn kama anamkataza tu halafu hana lolote yaani kapuku basi atakuja kujuta mwenyewe.
 
Kwa sasa walimu ndio Kada yenye watumishi wenye maisha mazuri na yasiyo ya kufeki. Wana nyumba zao. Wana magari yao na watoto wao wanasoma shule nzuri. Hawaibi hela ya Serikali Ili "kufeki life" bali wanachukua mikopo kwa mishahara yao na wakati mwingine wachukua mikopo ya kausha damu Ili maisha yaende na kiukweli wanainjoi kuliko Kada zingine. Na wakistaafu, maisha yao hayabadiliki sana kama wale wenzangu na mie waliofeki life wakiwa kazini!
 
Zamani tulisomea ualimu Ili tupate Mshahara mapema tuzihudumue familia zetu duni.
Unategemea utamkuta mtoto wa JK ni mwalimu au wa SH?Kila mtu anapenda kazi zenye posho na marupu rupu
 
Embu fikiria, waalimu wanaenda kukopa wenyewe kwenye hizi micro finances halafu wanaelalamika kwa DED kuwa micro finances zinawapa mikopo kandamizi.

Sasa mtu unajiuliza, hivi nani aliwalazimisha kwenda kukopa? Na mkopo usio kandamizi ni ipi?.

Wengi wa waalimu wana matatizo binafsi wame relax sana, wanapenda dezo za kijinga ndio maana wanadharaulika.
 
Hivi mwalimu mnamchukuliaje nyie wapuuzi???? Imani yangu ni kwamba wanaowakashifu walimu hawana kazi yoyote iwe ndani ya public sector au private sector. Kuna kada nyingi wanafanya kazi za kawaida na wameajiriwa na serikali ila hamuwasemi.
 
For sure kada ya kipumbafu Sanaa hii although ndo inanipa kula Ila NI ya kipuuzi HAKUNA mwalimu anaejivunia kua mwalimu
Acha uhuni mkuu. Heshemu kazi ya mtu. Kama wewe hujivunii kuwa mwalimu ni wewe tu usiwasemee wengine brother.
 
Hivi mwalimu mnamchukuliaje nyie wapuuzi???? Imani yangu ni kwamba wanaowakashifu walimu hawana kazi yoyote iwe ndani ya public sector au private sector. Kuna kada nyingi wanafanya kazi za kawaida na wameajiriwa na serikali ila hamuwasemi.
Waalimu mnazingua sana, na mkiambiwa ukweli mnalia lia tu. Hilo nililolisema hapo juu limetokea sehemu nyingi za hii nchi na wakuu wa wilaya na ma ded wamewahasa sana wqlimu muache kukopa kopa hovyo.

Fani nyingine hazina mambo kama yenu waalimu, kulia lia hovyo kwa DED na wakuu wa idara. Waalimu ndio kada inayoongoza kwa kwenda halmashauri kujipendekeza na kulia lia, huwezi kwauta manesi au kadi zingine wakifanya huu ujinga. It's always waalimu.

Badilikeni mtaheshimika.
 
Hivi mwalimu mnamchukuliaje nyie wapuuzi???? Imani yangu ni kwamba wanaowakashifu walimu hawana kazi yoyote iwe ndani ya public sector au private sector. Kuna kada nyingi wanafanya kazi za kawaida na wameajiriwa na serikali ila hamuwasemi.
Acha matusi wapo walimu tunaishi nao, Kuna walimu wamekopa mpaka card wameiacha maboto, hapa tunatafuta soln hatutafuti mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…