GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msajili wa vyama siasa anasemaje juu ya hili?
 
Mahakama za nchi gani?
 
Aliwahi kujinasibu hivyo Paskali mwenyewe, kwamba Lissu asijioene mwenye akili mwenyewe tu kwa sababu anashinda mahakamani, hata yeye Paskali ni wakili japo hajawahi kusimamia kesi hata moja.
😹😹😹
 
 
kuna prof mmoja alienda mahakamani kulikoni?
Alifutwa uanachama kinyume cha taratibu. Nadhani chama chetu kinapaswa kuwaondoa wahuni woooote ili kibaki kwenye mstari na kuendelea kuwa tumaini kwa watanzania wanyonge.
 
Ukitaka kupiga pesa fungua ilo shauri na pia ukitaka kupotea fungua ilo shauri...
 
Usituingize chaka eti yuko madarakani kwa nini iwe nongwa safari hii. Jiulize aliingia madarakani kwa utaratibu gani.
 
Mahakamani kote mbali, Jaji Mutungi alitakiwa asimamie sheria ya vyama vya siasa equally, sio kuwa biased
 
Hamuwezi kwenda ukweni mkataka kuoa mama mkwe badala ya binti yake!
Hata kama mkutano wa wazee kwa "ulevi" wao watashauriwa hivyo na kuridhia!

Kuweni makini! Kuvunja kanuni na taratibu hakunaga kuvunja kidogo!
 
Mahakamani kote mbali, Jaji Mutungi alitakiwa asimamie sheria ya vyama vya siasa equally, sio kuwa biased
Tatizo linakuja ni conflicts of interest.
Rais na mwenyekiti wa ccm anateua kila mteule nchi hii!
Linapokuja muda wa kumteua mteuzi wao lazima wavutie upande!
Sema wengine wanaishia kuliona tatizo kwa mwamba ngoma lakini hawana akili ya kuliona tatizo kwa wateule!
 
Aliwahi kujinasibu hivyo Paskali mwenyewe, kwamba Lissu asijioene mwenye akili mwenyewe tu kwa sababu anashinda mahakamani, hata yeye Paskali ni wakili japo hajawahi kusimamia kesi hata moja.
😂 sasa ni wakili wanini
 
hakuna uharamu wowote kwa candidancy ya Samia,shida ni kujidanganya kwa watu ambao wana malengo yao ya hovyo,ambao wanatangangaza ujinga
 
😂😂😂
 
MahakAma hii inayowasumbua chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…