Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Na usiombe ukutane na mwanamke ambaye husia kuna mpaka umulambe uchi,kuna mmoja nilimpata alikuwa mzuri vibaya mno demu kaniomba nimnyonye nikamueleza mm hizo biashara sifanyi.
Tukikutana najiangalia mie nitoe mazungu wangu yeye akitaka raha atafute wa kumnyonya.
 
na wewe ni mswahili pia ndio mnaofanya mapenz yawe ya upande mmoja
 
Bwashee kwahiyo ulitaka kujimegea kisela [emoji1787][emoji1787]
Hapana sio kujimegea kisela kwa mwanamke anayejitambua anataka nini hawezi kutanguliza njaa zake mbele. Angeacha kama kakubali sawa, sasa yeye aliweka hicho ndo kama kigezo cha kunikubalia.
 
zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
Umalaya unatokana na hali ambayo mnaitengeneza. Kwanza huna bwana mmoja unataka huduma kutoka kila kona ya mji. Mnawapanga watoto wa watu.
 
Hiyo message ya kimchongo na hii Ni Mara ya pili naiona hapa JF.
Hakuna mwanamke mwenye akili timamu ambaye anaweza kumuandikia mwenzake ujumbe wa hivyo.
 
Anamtumia kiaje, naomba msaada hapa!
 
Sasa kuna tofaut kat ya mwanamke mwny stara zake na mdangaji. Huwezi pata mwanamke wa shida na raha unayemhudumia vyema akakuacha wakati wa shida
[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sista, ungebadili jinsia kuwa mwanaume ungeyajua yote. Tumesamehe hadi ada za kusomeshea kwahao wanawake wastara. Atakayeniongopea kuhusu wanawake kipindi hiki labda aniloge.
 
Mshirikishe Mungu akuonyeshe mwanamke sahihi. Msiangalie makalio wakat wa kuchagua
 
Mshirikishe Mungu akuonyeshe mwanamke sahihi. Msiangalie makalio wakat wa kuchagua
Nyie ndio mnajua tumeangalia makalio tukiwaambia hizi mambo. Mwanaume kwenye kuoa anasahau shape na sura ya mwanamke kabisa bali anajali tabia maana anapigia maisha miaka 20 mbele wakiwa wote. Hivyo vishape vikiwa vimefifia. Inshort, wanawake wengi hamjitambui na hamna msimamo katika maisha yenu. Ila mnateteana😂😂😂😂, hongereni.
 
Hapana sio kujimegea kisela kwa mwanamke anayejitambua anataka nini hawezi kutanguliza njaa zake mbele. Angeacha kama kakubali sawa, sasa yeye aliweka hicho ndo kama kigezo cha kunikubalia.

Tatizo mnajikaushaga msipoombwa [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…