Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Umeongea point binti kiziwi
 
zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
Kipindi hicho wanawake walikuwa na nidhamu na walikuwa wanatoa mbususu, hakunaga mwanaume mbahili kwa mwanamke mnyenyekevu.
 
[emoji1787][emoji1787] Pumbavu
Na wewe ndiye mteja wa kudumu una blue tick kule

Kantri hacha ujinga watu wanakuja PM niwape link ya group, wakati wewe unatania wenzio wanajua kweli
Wape link, labda kama haupo serious na hilo group.

Warembo wapo wengi mno, wazuri sana. Cute wife ni noma
 
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Nakupenda lakini - kupenda kwa masharti.
Kama unanipenda - Guilt triping, manipulation, anataka kukufanya uone penzi lako halijakamilika.
Sijiuzi ila - ogopa hii kauli, iyo ni akili ya kawaida inapingana na uhalisia wake.
Akuna mapenzi ya kitoto - mapenzi ni mtaji.

Angalia utaratibu wako lakini ujue mwenye dau kubwa atamchukua.
 
Kipindi hicho wanawake walikuwa na nidhamu na walikuwa wanatoa mbususu, hakunaga mwanaume mbahili kwa mwanamke mnyenyekevu.
Watu wanataka mbususu bila kumhudumia mwanamke hata dala. Wakat nature ya mwanaume ni kumdhumia mwanamke. Ss imegeuka aidha asihudumie au ahudumiwe yy
 
Hata kama mwanamke wako Ana kazi nzuri kuliko wewe...pesa ya mwanaume ni tamu..mpe mwenzio hela bwana, toa mindset ya kununua mapenzi fanya kama unampa kwa ajili ya matumizi yake apendeze ale vizuri n.k mpe hela inanogesha penzi πŸ˜‰
 
Hata kama mwanamke wako Ana kazi nzuri kuliko wewe...pesa ya mwanaume ni tamu..mpe mwenzio hela bwana, toa mindset ya kununua mapenzi fanya kama unampa kwa ajili ya matumizi yake apendeze ale vizuri n.k mpe hela inanogesha penzi [emoji6]
Sista mbona hamjatoa mindset ya kwamba mnatumiwa hamtaki kuona ni mapenzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkilianzisha mjue kuyamaliza. Hakuna kifanya wife duties mpaka ndoa vivyohivyo hamna kufanya husband duties mpaka ndoa, hamna mtu anayetaka kuonekana fala au hopeless romantic.
 
Kwan mama ako mwanaume jaman. Ila nmefurah kama unajua mamako mwanamke bora basi wapo bora pia. Asubuh njema
Asubuhi njema sista, ila huo ni msimamo wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wanawake wote akili zao ni zilezile, aliyenilea tu ndio hakufanya hivyo vitimbwi. Hamjielewi!
 
Asubuhi njema sista, ila huo ni msimamo wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wanawake wote akili zao ni zilezile, aliyenilea tu ndio hakufanya hivyo vitimbwi. Hamjielewi!
Hata ss mama zetu walitulea vyema. Ubaya hatukutoka tumbo moja mpaka uweze kuelewa. Mama yako pia ana mama yake ambae alimlea hvyo unavyoona bora. Ombea na uzazi wako watt wako wa kike wasije ambiwa wa hovyo na wanaume watakaowaona huko mbeleni kaka
 
Sawa kila mtu abaki na hamu zake....unamuona dada anapendeza unadhani ni bure bure...mpe hela apendeze zaidi usipohudumia wewe wapo wanaohudumia
 
Mb*ny* ule wewe halafu kuhudumia wahudumie wenzio!
Ndio maana mafundisho mengi ya kidini yana asa uchumba usizidi miezi sita, muwe mmesha oana ili mwanamke apate matunzo akiwa ndani ya ndoa...
Mwanamke anayeliwa kwa maana nyingine ni mtu mzima mwenye mahitaji yake.
So broo, toa huduma ila kwa kadri ya uwezo wako.
Kama uwezo wa kugharamia nywele ni Tsh elfu kumi, usijilazimishe kutoa elf hamsini.
 
Sasa mbona mnafanya tendo la ndoa nje ya ndoa?..
Ama hilo sio issue
 
Ubaya nyie ukionekana mbahili before ndo had ndoa hyo. Huhudumii familia
 
Sasa mbona mnafanya tendo la ndoa nje ya ndoa?..
Ama hilo sio issue

Hata wao pia wanatakaga baadhi ya vitu kabla ya ndoa

Na wao wenyewe wana kauli yao wanasema; tusiwape yote so ukishamuoa ndio anakupa yote

Hiyo ni kawaida tu sasa ukinogewa ukinipa yote shauri zako kila mtu aji-defense kimpango wake

Sasa hiyo kutompa yote sijui ndio inakuaje? Au wanasema kuifinyia kwa ndani yaani hatoifinyia kwa ndani mpaka umue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…