Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Huwezi epuka kabisa ila unaweza punguza madhara. Tumia plastic containers zenye label inasomeka "BPA free". Hizi zina afadhali. Pia epuka kuweka chakula cha moto sana kwenye chombo chochote cha plastic.Tutafanyaje na ndio vyombo tunavyomudu.
Mabakuli ya plastic ya take away yamejaa kibao wauzaji wanafungia chakula humo
Sawa.ila tahadhari ni boraHata ufanyaje
Haya upikie nini
Muda wa kufa ukifika utakufa tuuuuu
Watu hawaelewi Wala hawajaliHuwezi epuka kabisa ila unaweza punguza madhara. Tumia plastic containers zenye label inasomeka "BPA free". Hizi zina afadhali. Pia epuka kuweka chakula cha moto sana kwenye chombo chochote cha plastic.
Ni za vyakula vyote hata ubwabwa.Zile sufuria non stick ni zakupikia vyakula vyepesi kama mayai
Tafuta vyombo high grade kama una uwezo.ama tukomae na hizi non stick mbabukoTutapikia nini sasa jamani, turudi kwenye vyungu?
Wali,maharage cjui bora yapikwe kwenye stainless hata ulaya wengi wanazikataaNi za vyakula vyote hata ubwabwa.
Shida Africa tunaletewa grade za chini.feki
Sisi huku zimejaa teleWali,maharage cjui bora yapikwe kwenye stainless hata ulaya wengi wanazikataa
Hoja yako bado inahitaji mjadala mrefu, nchi zilizoendelea nyingi zina shida kubwa pia...Kwa nchi masikini kama za Africa inawezekana kwa sababu tuna huduma duni sana za Afya ila kwa nchi zilizoendelea zenye hospitali bora watu wana life span kubwa tu pamoja na matumizi ya hivi vitu.
Tufanyeje mkuuongeza na nafuta ya kulaa yana sumu nyingi sana, vyakula vya kukaangaa vyote ni vibaya mno
Tatizo liko hapo kwenye uwezo.Tafuta vyombo high grade kama una uwezo.ama tukomae na hizi non stick mbabuko
Vyombo vingi ni low grade Kwa ajili ya watu wa uchumi wa chini.sio original
Kemikali zake zinaathiri kinga ya mwili.
Zina shida kubwa ila life expectancy nayo ni kubwa sana.Hoja yako bado inahitaji mjadala mrefu, nchi zilizoendelea nyingi zina shida kubwa pia...
Miiko ya mbao ipo bwanaMiko ya mbao ipo.vyungu vimetoweka
Labda angalau masufuria ya bati
Siyo vyombo pekee, organic unayotaka kuipata, udongo umeupima? Je udongo wa jirani ya shamba lako umepimwa??Acha tu.
Mtu unajiaminisha unakula chakula organic kumbe bado shida ipo kwenye vyombo.
Unamjua malkia foods ??Mi najionea mtu ananunua sufuria set Kwa laki mbili Hadi tatu na bado zinambabukia.
Sio Tz sio kenya
Ntalia walahi😄
Sidhani kama namjuaUnamjua malkia foods ??