Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

Haya maisha bana, ukiwa serious sana utateseka mno, kwani kabla ya hizo sufuria tumekula uchafu tani ngapi? Kuanzia kule mtaani, tuanzie kwenye mashine za kusaga, zile nyundo za kusagia mahindi kwa ni nini huwa zinaisha? Zinaongeza chuma kwenye unga?
 
Mkuu ni kweli madhara yapo Kila mahali.
Lakini kuchukua tahadhari tueleimishane na kupunguza mdahara japo kidogo Kuna ubaya?
Kama yapo yanayoepukika yaepuke.
 
Mkuu ni kweli madhara yapo Kila mahali.
Lakini kuchukua tahadhari tueleimishane na kupunguza mdahara japo kidogo Kuna ubaya?
Kama yapo yanayoepukika yaepuke.

Just saying tu, tunakula mengi sana mengine tunayapumua, mengine tunayaoga, mengine tunayapapasa, wazungu wanaangalia kitu kinaitwa ppm! Kiasi gani kina madhara makubwa na tunachoweza kuishi nacho ila kukwepa kabisa hamna namna, maana ndio maumbile ya dunia, vitu vipo ili virahisishe maisha ya watu, hata tukirudi kwenye ukale bado tutakula mchicha na majani yaliyojaa kemikali tu tena zisizopimwa kiasi chake bahati mbaya sana, unakula samaki kashiba makemikali yanayomwagwa na viwanda baharini, unakula mbuzi kashiba makemikali yanayotwa kwenye takataka na maplastiki, unakunywa maji yamepakiwa kwenye plastic za petrol, unaishi kwenye nyumba imepakwa rangi yenye lead(risasi) etc

Hamna pa kukwepa ni kuepuka kiasi chenye madhara tu
 
Kuna research yeyote iliyothibitisha kua hayo matatizo ya ugonjwa wa Kansa yamesababishwa na hayo masufuria?

Unaweza kulaumu masufuria kumbe tatizo kuu ni Pombe fake zinazouzwa huko mitaani,na watu wanazifakamia kama maji,unaweza kulaumu masufuria,kumbe tatizo ni Energy drinks.
 
Tumeishaa!
 
Haya maisha bana, ukiwa serious sana utateseka mno, kwani kabla ya hizo sufuria tumekula uchafu tani ngapi? Kuanzia kule mtaani, tuanzie kwenye mashine za kusaga, zile nyundo za kusagia mahindi kwa ni nini huwa zinaisha? Zinaongeza chuma kwenye unga?
Chuma katika kiwango sahihi hakina shida mwilini, kwanza ni sehemu ya madini yanayohitajika mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…