Hahaha, umenikumbusha mbali, mboriko na iraambo,Natumia mboriko , birika kwa chai na kipata kwa mbege kishwa c.c Makiwendo , zaishose Mtoto halali na hela
Hahaha nikiwa home lazima mama aniwekee kiburu kwenye mborikoHahaha, umenikumbusha mbali, mboriko na iraambo,
Yaani bakuli na sinia
Hatari sana πVizuri tunavitaka Hela hatuna.
Ni kweli vyungu vimekuwa adimu sana. Lakini pia kwa mazingira tunayoishi siku hizi utunzaji wa vyungu ni mgumuIpo..vyungu hakuna
Mnawachelewesha funza na mchwa kupata chochote kitu.Kwahiyo tusijisumbue sio?
Wapi huko?Marahaba kwanini umekimbia kule?
Shida ni nini?
Kule kwenye ule uzi umesahau tena au unajifanyisha?Wapi huko?
Siasa za utakatifu?Kule kwenye ule uzi umesahau tena au unajifanyisha?
YesSiasa za utakatifu?
Ngoja nije.
Nili ku quote nikajua utarudi na jibuNgoja nije.
Nione yajiyojiri
Mimi ndio hata grade za masufuria sizijui. Hii thread nikirudi home nitampa wife simu aisome labda anaweza akaelewa yanayoongelewa hapa.Kununua sufuria nzuri ni kama kufaulu form fo ya zamani π
Nilimnunulia bi mkubwa lkn sio non stick naon stick Kuna namna zipo bhnTBS imekufa kabisa, nilinunua frypan ya nonstick nikaona inabanduka , nikaitupa
Aika mbeSawa meku π
Mmefikia level ya kushare account ya JF, must be nice.Mimi ndio hata grade za masufuria sizijui. Hii thread nikirudi home nitampa wife simu aisome labda anaweza akaelewa yanayoongelewa hapa.
NB: badae mkiona comments zangu ambazo hazina tones za Natafuta Ajira katika hii thread mjue sio mimi
πͺπAika mbe
Sufuria laki 5, hapo kwa kweli lazima anionyeshe risitiMmefikia level ya kushare account ya JF, must be nice.
Wanaume wengi hawaelewi sufuria kwa kweli labda wale wanaopika (wapishi) Ni kazi ngumu sana kupata quality nzuri ya sufuria, mamsapu akikwambia amenunua sufuria laki 5 usimfokee , na zinaweza kumdissapoint vile vile.
Na nimekuongezea kuwa hakuna garantii kuwa hazitomdisapointi, kwa maana hiyo baada ya muda anaweza kutaka laki 4 nyingine akanunue zingine maana zile za mwanzo zimemkera πSufuria laki 5, hapo kwa kweli lazima anionyeshe risiti