Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

mkuu unaonekana una busara sana kongole ujumbe murua huu
 
Naomba nikuzalishe
 
Nipo 32 sina mtoto wala family nadunda tu.....walio wengi 30 afu hawana family ni wasomi wengi wao ....wanakua too selective....
Tumelingana ila kijana wangu ana miaka 13 ,binti yangu miaka mi 5[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na sijaoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Walikumezea p2 mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli upo hivyo ila wao huwa wakikaa wao kwa wao unakuta wanapeana hopes zisizokuwepo.
 
Miaka 30 ni namba tu, haifanyi tofauti yoyote kama ungezaa kwenye 28, 29. Kinachoshtua kwenye miaka 30 ni hiyo tatu tu.
Usiogope, timiza malengo yako.
Unamdanganya mwenzio kwa kumpa tu moyo. Please please. 30 is not just a number, it is a limitation in a lot of bodly and mindset perspectives. Please tuambiane ukwel 30 now na huna mtoto wala family hii sio salama hata kidogo labda kama huna mpango wa kuwa navyo otherwise it is a red flag.

Labda kwa mwanaume lakin kwa mwanamke huu ulikua umri wa either kumaliza uzazi kam sio umeshamaliza kabisaa na una concerntrate kwenye malezi na ku secure your own future and prosperity for kids na family.

30s for ladies, is not a joke. Is disaster.

NB
Neno langu sio sheria l. Ni mtazamo tu unatokana na experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…