Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,442
Sina mengi ya kusema wakuu ila hii ni kwa atakaeona inafaa wanasema kadri umri unavyoenda upande wa kike kuchagua hupungua wakati upande wa kiume kunaongezeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu unaonekana una busara sana kongole ujumbe murua huuKuna kitu nahitaji kuwafunza mabinti ambao hawajafika 30.
Ukipata mpenzi ukamuona ana hofu ya Mungu, maisha yake yapo wazi hasa tabia zake, anakupenda kwa dhati, yupo tayari kukutambulisha kwa ndugu zake na kwa familia yake.
Yamkini asiwe na kipato kikubwa sana ila ana uwezo wa kufanya wote mle na mkalala, ISHI HAPO.
Acha tamaa za kutaka uolewe na mwanaume mwenye pesa, anayefanya kazi TRA, bandari, mfanyabiashara mkubwa, mwenye muonekano fulani n.k mwisho mtakuja kuangukia kwa wanaume za watu au kwa wanaume ambao wataishia kukuchezea. Kumbuka sehemu kubwa ya mwanaume mwenye pesa, ngono anachukulia starehe tu, kwahiyo atakuchukua na kukutumia baada ya kukutamani akijua anapiga na kupita zake.
Binti yangu, huyo mwanaume wa mtu unayemuona ana pesa, hazijaja tu hivi hivi, alianza chini kabisa kama huyo kijana ambae kwa sasa wewe unamdharau.
Kama umewahi kumnyanyasa kijana wa watu kisa masikini, yeye sijui hana umbo zuri n.k moyo wake ukaumia, katafute suluhu naye sababu huenda kuna mambo yako yakafunguka.
Mabinti sio kwamba mnakosa watu wa kuwaoa ila tamaa za maisha zimekuwa zikiwatesa wengi. Mnapenda smartphones, kila wiki msuke, utolewe out n.k mnaishi maisha ya udangaji kisa mna uzuri wa sura au mna matako makubwa, kwa bahati mbaya sana, ukishazoea kudanga, mwanaume yeyote atakujua tu, udangaji ni kama ngozi, HAIJIFICHI na hata ukijitahidi, mtu atasikia tu stori zako.
Sasa hivi kijana wa 30, 31, 32 ambapo kwa sehemu kubwa ndo vijana wengi walau kwa sehemu wanaanza kuona mwanga ktk eneo la uchumi hawezi kuwa na mwanamke wa 30, lazima atafute wa 24, 25 au 26 unless awe mpumbavu.
Girls kuweni makini sana na umri, uliowatupa kisa hawana ela, wakipata ela na wao watakuona wewe sio hadhi yao. Tafuta kijana mwezio mtakaopendana, mtie moyo ktk utafutaji, mpende sana na kumpa heshima hata pale ambapo anapungukiwa, mwanaume huyo hatokusahau.
Naomba nikuzalisheHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
🤣🤣🤣🤣maua tena😳wewe una maoni gani to yeye, usije ukamtaja maua hapa nitakuchapa maana nakujua huchelewi kulianzisha wewe na lee jay
Tumelingana ila kijana wangu ana miaka 13 ,binti yangu miaka mi 5[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na sijaoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo 32 sina mtoto wala family nadunda tu.....walio wengi 30 afu hawana family ni wasomi wengi wao ....wanakua too selective....
Unashukuru nini apo[emoji16]Ninamshukuru Mungu sana.
Ingawa kWa sasa niko singali[emoji16][emoji16]
Ninarafiki yangu tuko na age sawa early 30’s lakini hana mtoto wala mchumba[emoji174][emoji174] hana furaha kabisa.
Ninamuonea huruma sana
SahihiMiaka 30 haina changamoto ktk uzazi labda uwe umejiharibu na ma p2
Unazalisha tu?Tumelingana ila kijana wangu ana miaka 13 ,binti yangu miaka mi 5[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na sijaoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walikumezea p2 mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wawili tu apo nimezalisha nini sasa😁😁😁Unazalisha tu?
Endelea wakutegue kiunoWatoto wawili tu apo nimezalisha nini sasa😁😁😁
Ngoja hawa wakue kidgo na mimi nivute chuma ndani🤣🤣🤣Endelea wakutegue kiuno
Na ulivyombeya sasa naona unataka ku him a😁😁..jua ninashukuru tuUnashukuru nini apo[emoji16]
😁😁 wala sio umbea sis ni wanafamila ndio useme ili tufurahi wote🤣🤣Na ulivyombeya sasa naona unataka ku him a😁😁..jua ninashukuru tu
Uamuzi mzuriNgoja hawa wakue kidgo na mimi nivute chuma ndani🤣🤣🤣
Ukweli upo hivyo ila wao huwa wakikaa wao kwa wao unakuta wanapeana hopes zisizokuwepo.Hakuna mwanamke ambaye ana haki ya kusema yeye hana bahati ya mahusiano kiukweli ni uongo. Wanawake wengi ule umri wa kuwa mabinti na kuwa na mvuto wao huwa wanautumia kuleta maringo na kuruka na wanaume tofauti wakiamini hakuna kuzeeka.
Mwanamke ana miaka 10 tu ya kucheza karata zake na kuwa na uhakika wa kushinda nje ya hapo ni kubet na maisha yake.
Binti ana advantage ya kufanikiwa kimahusiano akiwa kati ya umri wa miaka 16 hadi 25. Kuanzia 26 hadi 30 huo ni umri wa nenda kwa tahadhari au lala salama.
Akivuka tu hizi stage mbili ndio basi. Huko mbele ni kubahatisha kwenda mbele.
Dah [emoji849][emoji3]
Unamdanganya mwenzio kwa kumpa tu moyo. Please please. 30 is not just a number, it is a limitation in a lot of bodly and mindset perspectives. Please tuambiane ukwel 30 now na huna mtoto wala family hii sio salama hata kidogo labda kama huna mpango wa kuwa navyo otherwise it is a red flag.Miaka 30 ni namba tu, haifanyi tofauti yoyote kama ungezaa kwenye 28, 29. Kinachoshtua kwenye miaka 30 ni hiyo tatu tu.
Usiogope, timiza malengo yako.
Ni kumuomba tu Mungu asafishe hayo makando kando na afungue hivyo vifungo.Sasa solutions ni nin?
kuna watu wamefungwa kupata familia, mafanikio. Inaweza kuwa ni laana, mikosi au nguvu za giza. Donatila njoo ufafanue ili vizuri.kufungwa kivipi fafanua