Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

wewe unaweza kubali mwanao kuoa mwanamke mwenye sia mbaya?

Sifa na tabia njema zitakufanya uolewe, hatuoi kwa sababu ya kukuhurumia.
 
acheni kutengeneza imani zisizo na msingi. yaani mwanamme na mwanamke kuishi pamoja laana inatokea wapi?. tatizo dada zetu wanataka sherehe kubwa, mwanamme mwenye kazi nzuri, mwenye magari mengi na nyumba.
Haya mambo yapo kama huamini basi ila uhalisia ndio huo
 
Walaa, baadhi ya watu ndio wanasababisha watu wajisikie vibaya kwa kutokuwa na familia kwa umri huo.
Ni kwel, and u know why? Ni kwasababu ameomba kujua public opinions. If she kept this for her self hata asingeona kama ni tatizo (kwasababu kiuhalisi sio tatizo kama she has her own plans). But ukishataka ku publicise, then kikawaida Mwanamke umri sahihi wa kuingia ndoan na kuzaa ni kuanzia 24 years..this is proper time
 
Ko ni kheri awe Kama Azam burudani kwa wote au sio??.
[emoji117]Madam Sasa si wata choka kwa style hio, maana vidume 5, sio mchezo[emoji3][emoji1787].

Ni kheri mmoja, kuliko wengi maana uta onekana msambaza huduma[emoji849]
Hayo ya burudani kwa wote ni mawazo mliyoyatengeneza vichwani mwenu tu, kwani unaweza kunijibu mwanamke akiwa na mwanaume mmoja anafaidika nini, na akiwa na zaidi anapungukiwa nini physically
 
Jamani miaka 24 si ni mwanafunzi huyo kabisa? Sema watu kwenye jamii bado wapo na mawazo yale ya zamani ambapo binti alikuwa hatakiwi kusoma. Lakini dunia sasa hivi imebadilik sana.
 
Kwahiyo mnadhani kudate na wanaume wengi ndo kutengeneza chances nyingi za kuolewa? Na Unadhani mdada anayedate wanaume 5 tabia zake zitakuwa sawa na mdada anayedate na mwanamme 1?
Mkuu nimekuuliza swali hakuna wanawake wanaodate na mwanaume mmoja na bado hawaolewi wanaachwa, kama wanawake wanaodate mwanaume mmoja wangekuwa na tabia nzuri si mngekuwa mnawaoa sasa mbona wengi wanalialia kila siku kwa kuachwa, kama unaelewa masuala ya probability basi bila shaka utapata jibu la hilo swali lako la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…