Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Your spitting the right shit, which causes too much pain.And why all that trouble?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your spitting the right shit, which causes too much pain.And why all that trouble?
Sio ndefu ni endless roadKwa mtazamo huu, basi dada zetu mna safari ndefu sana.
wewe unaweza kubali mwanao kuoa mwanamke mwenye sia mbaya?Tatizo mmekariri wanawake wote wapo after money
Tatizo ni moja tu tunawapenda hamna hela na bado mnatuumiza mioyo sasa mtu anaona ya nini kugandana na mtu msaliti na hela hana anaamua zake kuwa na mtu atakae muhudumia
Kingine vijana wa rika letu hawatuoi sisi wanaoa watoto wadogo
Hivi imagine kuna watu wameanza mahusiano since shuleni wana miaka zaidi ya 8 ila mwanaume mwisho wa siku anaoa binti mwingine kabisa tena mdogomdogo…
Nyie wanaume muwaoe hao munaowachezeaa single wapungue
Hapa Ushatoka zako shift ya kupakia viroba vya unga wa kula..umejaza fuso zako 2 umelipwa elf 15 unawaza bajet zinaendaje 😂😂😂Your spitting the right shit, which causes too much pain.
View attachment 2901479
Halafu umejuaje ? Itabidi uniambie ID yako nyingine😏😏.Mbona we uli olewa ukiwa 26 🤣😀
Halaf unamshaur mwenzako atulie tu 30 hiyoo! 😂😂😂Halafu umejuaje ? Itabidi uniambie ID yako nyingine😏😏.
Jamaa alikuwa na hela nikaona nisichezee fursa
Walaa, baadhi ya watu ndio wanasababisha watu wajisikie vibaya kwa kutokuwa na familia kwa umri huo.SAwa. Ndio frustration hiz sasa kama tunavyoziona hapa.
Nina I'd moja tu, hii ya jobless pro max.Halafu umejuaje ? Itabidi uniambie ID yako nyingine😏😏.
Jamaa alikuwa na hela nikaona nisichezee fursa
Haya mambo yapo kama huamini basi ila uhalisia ndio huoacheni kutengeneza imani zisizo na msingi. yaani mwanamme na mwanamke kuishi pamoja laana inatokea wapi?. tatizo dada zetu wanataka sherehe kubwa, mwanamme mwenye kazi nzuri, mwenye magari mengi na nyumba.
Mi nime istukia hiyo, una ambiwa you can .Halaf unamshaur mwenzako atulie tu 30 hiyoo! 😂😂😂
it is very individual bhana. Sasa yeye ana malengo yake na mimi yangu yalikuwa hayo kwamba nikimpata mtu mwenye hela nalala naye mbelee😂😂Halaf unamshaur mwenzako atulie tu 30 hiyoo! 😂😂😂
Dah afu uta ambiwa tuMa na ya kutolea-😀🤣🤣.Hapa Ushatoka zako shift ya kupakia viroba vya unga wa kula..umejaza fuso zako 2 umelipwa elf 15 unawaza bajet zinaendaje 😂😂😂
Hiyo 26 sasa umeijuaje??Nina I'd moja tu, hii ya jobless pro max.
👉Guess financial services ata pokea be friending proposal😀
Haaaaah dgo ata mimi mwezi wasaba napanga ngazi ya 3umenigusa bibie financial services mwaka huu mwezi wa 7 naingia third floor aoooooooooloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo sina hata mdada wa kumpa mbeguuuu
Ni kwel, and u know why? Ni kwasababu ameomba kujua public opinions. If she kept this for her self hata asingeona kama ni tatizo (kwasababu kiuhalisi sio tatizo kama she has her own plans). But ukishataka ku publicise, then kikawaida Mwanamke umri sahihi wa kuingia ndoan na kuzaa ni kuanzia 24 years..this is proper timeWalaa, baadhi ya watu ndio wanasababisha watu wajisikie vibaya kwa kutokuwa na familia kwa umri huo.
Hayo ya burudani kwa wote ni mawazo mliyoyatengeneza vichwani mwenu tu, kwani unaweza kunijibu mwanamke akiwa na mwanaume mmoja anafaidika nini, na akiwa na zaidi anapungukiwa nini physicallyKo ni kheri awe Kama Azam burudani kwa wote au sio??.
[emoji117]Madam Sasa si wata choka kwa style hio, maana vidume 5, sio mchezo[emoji3][emoji1787].
Ni kheri mmoja, kuliko wengi maana uta onekana msambaza huduma[emoji849]
Sawa nakubali , it is very personalit is very individual bhana. Sasa yeye ana malengo yake na mimi yangu yalikuwa hayo kwamba nikimpata mtu mwenye hela nalala naye mbelee😂😂
Jamani miaka 24 si ni mwanafunzi huyo kabisa? Sema watu kwenye jamii bado wapo na mawazo yale ya zamani ambapo binti alikuwa hatakiwi kusoma. Lakini dunia sasa hivi imebadilik sana.Ni kwel, and u know why? Ni kwasababu ameomba kujua public opinions. If she kept this for her self hata asingeona kama ni tatizo (kwasababu kiuhalisi sio tatizo kama she has her own plans). But ukishataka ku publicise, then kikawaida Mwanamke umri sahihi wa kuingia ndoan na kuzaa ni kuanzia 24 years..this is proper time
Hahahahahaha...maridadi mvuto kama zamaradi..apitapo maskani awape wana midadi...Sema Jay mo na solo thang wali tushauri,
👉 kwenye nyimbo Kama una taka Dem.
Mkuu nimekuuliza swali hakuna wanawake wanaodate na mwanaume mmoja na bado hawaolewi wanaachwa, kama wanawake wanaodate mwanaume mmoja wangekuwa na tabia nzuri si mngekuwa mnawaoa sasa mbona wengi wanalialia kila siku kwa kuachwa, kama unaelewa masuala ya probability basi bila shaka utapata jibu la hilo swali lako la kwanzaKwahiyo mnadhani kudate na wanaume wengi ndo kutengeneza chances nyingi za kuolewa? Na Unadhani mdada anayedate wanaume 5 tabia zake zitakuwa sawa na mdada anayedate na mwanamme 1?